Kocha wa Makipa Simba SC na wengine 8 wakamatwa na Dawa za Kulevya
Kwa lile Bata la Wachezaji wa Cambiaso Soccer Academy, Hadhi yao na Mengineyo sishangai leo kusikia kuwa kumbe Mmiliki ni Drug Baron na anashirikiana na Watu wengine.

Shikamoo sana Kocha wa sasa wa Kagera Sugar FC Mecky Mexime ( ambaye ulikuwa Kocha wa Cambiaso Soccer Academy) kwa kuwa Mjanja, Kushtuka, kutoa Ushirikiano na kusepa Mapema kabka ya Msala Kukukuta.
Kwa kweli ameshtuka na kwa hili alikuwa akwepeki kujumuishwa na huwenda Ni yey kawapa taarifa Hawa wanaojita dcea
 
Eddo Kumwembe, Shafii, Salama Jabir, Mkude, Tshabalala, Manula, ts a matter of time watadakwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkude kijna wa kinondoni Sina mashaka nae na edon na kipa manula na. Mohamed hao pia nawatilia mashaka Sana baada ya hi ripot kutoka nimewaza mbli San jinsi alivyo weze kufanikisha biashra zake kwa kuwatumia vijana
 
Mmiliki wa Cambiaso fc bwana Zuber alijaribu kuhonga Hela Kwa Kusaya Ikashindikana.
.
Ni vile Kusaya ni Tiss na mkorofi Sana so Jamaa hakufanikiwa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Na kweli jamaa Ana nusa haswa nakumbuka kipindi fln aliwai nusa utakatishaji pesa kweny kampuni ya stawisha ya kuingiza pesa kuwapa chadema kufanya kampeni huyu kusaya alikuwa ndio katibu mkuu wizara ya kilimo kwa wakt ule

Kampunihyo iko hapo uyule ya waolanzi
 
Watu wengi wa masaki na osterbay nje watu ndani nyoka! Kyna jirani yangu mmoja hapa upanga anabadilisha magari kila siku na si hizo kama ist zenu ni hizi ranger rover jana amenunua land discover namba E halafu ana biashara ya kipuuzi tu kariakoo
Babu mripotie achunguzwe
 

Simba's goal keeping coach Muharami Said Mohammed Sultan among those being held​


Tanzania’s Drug Control Enforcement Authority (DCEA) has arrested 11 suspects including Simba’s goalkeeping coach Muharami Sultan (40) for allegedly being in possession of 34.89kg of heroin and 50 biscuits made from marijuana.

Speaking at a press conference,the Commissioner General of DCEA ,Gerald Kusaya named the other suspects as owner of Cambiasso Sports Academy in Tuangoma, Kambi Zuberi seif, Said Matwiko a resident of Magole, Maulid Mzungu aka Mbonde(54) a resident of Kisemvule and John John aka Chipanda(40) a scout at Cambiasso Sports Academy.

The others are Rajabu Dahabu (32) a resident of Tabata, Seleman Matola Said (24) a resident of Temeke Wailes, Hussein Pazi (24) a businessman and Ramadhani Chalamila (27) a resident of Kongowe.
Ogopa San vijan watemeke ogopa Sana nikisikia mtu anakah tmk namfikiria vibay san
 
Napitia page za wachambuzi. Naona wote wamepiga kimya. Shaffii alikuwa ameandika naona kafuta. Wale wa maswali kwanini the so called wachambuzi wanaacha kazi Azam na kwenda kwenye vilabu, mmepata majibu
Mm ndio niliye pandisha ule Uzi sas leo nimepata majibu why and soo
 
Lakini kwa Simba viongozi wao kufanya hivi siyo ajabu, Marko Masanja mpaka Leo yupo jela China huko
na hawa macho ndogo unaowaona wamejaa kariakoo na tanzania kwa ujumla ya baada ya yule mtoto wa namba moko wakati ule kushikwa kule kwa wa wamandarin.
 
Huu ndio ukweli. Matajiri wengi wa Bongo wana historia chafu na hatari sana. Unakuta utajiri wake haueleweki. Vyanzo vikuu vya mtaji havijulikani wala kueleweka 😂, kumbe vyanzo halisi ni pesa chafu/haramu
1. Pesa ya ufisadi
2. Biashara haramu/magendo (madawa, ujangili)
3. Kuwepa kodi
4. Utapeli
5. Utajiri wa uchawi
6. Utajiri wa connection na wakubwa
7. Tenda za wiziwizi
8. Kuchezea mikopo ya mabenki
9. Umafia
10. Dhuruma
11. Kuleta vitu feki
12. Kujiuza/kudanga
13..............
Mtaendelea kujaza wenyewe.



Halafu mtu akitajirika kwa mbinu hizo anasema vijana fanyeni kazi, changamkia fursa 😂😂😂, nilianza na mtaji wa aftatu leo nina mtaji wa bilioni tatu 😂😂
Majambazi ndio.tunaita waheshimiwa.
 
Majambazi ndio.tunaita waheshimiwa.
Hahaha

Ova
Screenshot_20221115-124852.jpg
 
Back
Top Bottom