Kwa lile Bata la Wachezaji wa Cambiaso Soccer Academy, Hadhi yao na Mengineyo sishangai leo kusikia kuwa kumbe Mmiliki ni Drug Baron na anashirikiana na Watu wengine.

Shikamoo sana Kocha wa sasa wa Kagera Sugar FC Mecky Mexime ( ambaye ulikuwa Kocha wa Cambiaso Soccer Academy) kwa kuwa Mjanja, Kushtuka, kutoa Ushirikiano na kusepa Mapema kabka ya Msala Kukukuta.
 
Halafu huyu kocha wa makipa si ndio huwa wanatumia mipira mingi sana kwenye mazoezi..kwahiyo inawezekana ikawa wakisafiri..anyway sijui nilitaka nisemeje.!
Na wanamichezo hawakaguliwi...... ukiona wamebeba mipira mingi wakishuka tu airport mipira wakubwa wanaichukua fasta..... muulize Mwameja aligoma kuwapa mpira waliposhuka airport.........wakambembeleza na kumpa chake ndiyo akawapa mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…