Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Una mawazo duni sanaHamjambo!
1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana.
2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana ajira za kueleweka.
3. Nachelea kusema sio muda hapa kuna wahuni watapita na hii trend ya huu mtindo kufanya uhalifu.
Ni hayo tuu.
TaikonMaster
Tip- Top Manzese, Dar es salaam
Sasa mbona ujaweka picha ya hizo kofia? Au Unadhani wote humu ni vijana wanazijua?Hamjambo!
1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana.
2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana ajira za kueleweka.
3. Nachelea kusema sio muda hapa kuna wahuni watapita na hii trend ya huu mtindo kufanya uhalifu.
Ni hayo tuu.
TaikonMaster
Tip- Top Manzese, Dar es salaam
AfisaInasikitisha sana
CCM mmechokonoa mlichokatazwa na wenye hekima kama Warioba.Hamjambo!
1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana.
2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana ajira za kueleweka.
3. Nachelea kusema sio muda hapa kuna wahuni watapita na hii trend ya huu mtindo kufanya uhalifu.
Ni hayo tuu.
TaikonMaster
Tip- Top Manzese, Dar es salaam
Nimeziona nyingi sana bodaboda huku mtaani wanazivaaHamjambo!
1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana.
2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana ajira za kueleweka.
3. Nachelea kusema sio muda hapa kuna wahuni watapita na hii trend ya huu mtindo kufanya uhalifu.
Ni hayo tuu.
TaikonMaster
Tip- Top Manzese, Dar es salaam
Na inafikirisha sana.Inasikitisha sana
Nimeziona nyingi sana bodaboda huku mtaani wanazivaa
Wanawake wanazitumia mbadala wa sunscreen.
Vipi wale wa kwenye ripoti za CAG wanaopiga mabilioni ya shilingi, nao wanavaa kofia zibauso?