We inakukera nini??
Tupiako kapicha basi.Hamjambo!
1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana.
2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana ajira za kueleweka.
3. Nachelea kusema sio muda hapa kuna wahuni watapita na hii trend ya huu mtindo kufanya uhalifu.
Ni hayo tuu.
TaikonMaster
Tip- Top Manzese, Dar es salaam
Tupiako kapicha basi.
Wakulaumiwa ni serikali yako ya CCM maana hizo kofia hazitengenezwi hapa, wameshindwaje kuzizuia zisiiingie hapa nchini?? Nani mwenye malmlaka ya kuzuia??Huwezi nielewa
Wakulaumiwa ni serikali yako ya CCM maana hizo kofia hazitengenezwi hapa, wameshindwaje kuzizuia zisiiingie hapa nchini?? Nani mwenye malmlaka ya kuzuia??
CCM ni wajinga kama waliruhusu Bodaboda ambazo ni hatari zaidi sembuse hizo maskSio muda utasikia milio
Leo nimeshuhudia ajali mbaya Sana ya bodabodaCCM ni wajinga kama waliruhusu Bodaboda ambazo ni hatari zaidi sembuse hizo mask
Picha tafadhali ya hiyo kofiaHamjambo!
1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana.
2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana ajira za kueleweka.
3. Nachelea kusema sio muda hapa kuna wahuni watapita na hii trend ya huu mtindo kufanya uhalifu.
Ni hayo tuu.
TaikonMaster
Tip- Top Manzese, Dar es salaam
Gentleman,Hamjambo!

Gentleman,
sasa sisi wa huku milimani na kuna baridi hivi, tuache kuvaa sio?
wakati tunazihitaji zaidi huku kwetu na watengenezaji walau waongeze nyuzi zaidi ziwe nzito zaidi ili tusipigwe baridi sana,
maana baridi ya huku bila kustua na gongo No.1, inaingia hadi maskioni aise achilia mbali puani 🐒
ipo siku watu watalalamikia vijana waio na ajira na uvaaji kondom za msd
aah,Huku Dar hakuna baridi Mkuu
aah,
kumbe ni dar tu,
nilidhani kote nchini gentleman 🐒
uko sahihi,Ninyi wa Njombe na mafinga huko uhalifu wa boshori haufanyi kazi kwani mnambinu za kijadi kujilinda
uko sahihi,
kwasababu kila moja ana boshori tena lile lenye maskio kabisa 🐒
sina maoni gentleman 🐒Mafinga hapo niliwahi kukaa mwezi na nusu hapom sio poah
Angekuwa ameongelea baibui unge muunga mkono kwa nguvu sana.Una mawazo duni sana