Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

Tupiako kapicha basi.
 
Picha tafadhali ya hiyo kofia
 
Gentleman,
sasa sisi wa huku milimani na kuna baridi hivi, tuache kuvaa sio?

wakati tunazihitaji zaidi huku kwetu na watengenezaji walau waongeze nyuzi zaidi ziwe nzito zaidi ili tusipigwe baridi sana,

maana baridi ya huku bila kustua na gongo No.1, inaingia hadi maskioni aise achilia mbali puani πŸ’
 

Huku Dar hakuna baridi Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…