Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

Angesema baibubi zinasababisha uhalifu nisingemuunga mkono ila angesema baibubi ni mzigo kwa watoto wadogo ningemuunga mkono. Kila hoja na muktadha wake.
Ya kwamba baibui ni mzigo kwa watoto kuliko kilo mbili za rasta watoto wa upande wa pili wanazo kuwa amezibebelea kichwani?
 
Hata askari wetu wanapenda kufanya hivyo sio bodaboda pekee
 
Ya kwamba baibui ni mzigo kwa watoto kuliko kilo mbili za rasta watoto wa upande wa pili wanazo kuwa amezibebelea kichwani?
Rasta wanabebeshwa pande zote tu, hata hivyo mimi ni anti-rasta na anti-mawigi, wote ni ulimbukeni tu, naamini kila mwanadamu anapaswa kuishi na nywele zake natural.
 
Rasta wanabebeshwa pande zote tu, hata hivyo mimi ni anti-rasta na anti-mawigi, wote ni ulimbukeni tu, naamini kila mwanadamu anapaswa kuishi na nywele zake natural.
Sasa ww ni mribelari gani unaye kerwa na mtu aliye amuwa kutumia uhuru wake kuvaa anacho kitaka?
 
Sasa ww ni mribelari gani unaye kerwa na mtu aliye amuwa kutumia uhuru wake kuvaa anacho kitaka?
Unaweza kuheshimu na kutambua uhuru wa watu wengine katika maamuzi yao mbalimbali bila kuyapenda au kupendezwa na hayo maamuzi. Natambua na naheshimu ndoa za mitaala/polygamy ila mimi binafsi sipendi ndoa za aina hiyo.

Naheshimu uhuru wa watu kuwa na imani/dini zao ila sipendezwi na mfumo mzima wa dini za mashariki ya kati au tabia za watu kuingiza mambo ya dini zao katika shughuli za umma au majadiliano kujenga hoja zao.
 
Kwa kilichotokea 29.10.2025 lolote laweza kutokea, mimi ni mmoja wa watu ambao sikuamini kuwa yaliyotokea siku ile yangetokea. CCM wanakaza fuvu na kumsikiliza kiumbe kama huyu ambaye tayari ana uraia pacha wa duniani na Jehannam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…