Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

Enzi za Mahita aka ngunguri, ilikua ukionekana na hizo Sofia unakamatwa na kufunguliwa mashtaka
 
Police wahumarishe ulinzi ndo kazi hai sio watu kuwazuia mavazi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…