Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #221
Komodo ana venom. Mnyama akishakuwa na venom ina maana ana sumu tayari.Dah uongo uliopitiliza komodo hana sumu. Ila mate yake yamejaa bacteria na hii imesababishwa na uchafu wa kinywa chake. So akikuuma anakuachia bacteria ambao watakushambulia na itachukua muda kufa na si kwa dkk 3 au 5 ni zaidi ya masaa kadhaa. Acha uongo
Unataka wangapi nikuletee?Nimempenda aisee
Yah huko ndio kwao sasa. Hii habari ya afrika magharibi haikuwa na uhalisia.Wapo mpaka indonesia huko
Wawili tu wananitoshaUnataka wangapi nikuletee?
Nipe anuani ya unapoishi nikuletee wawili kwa bure.
Gharama za usafiri na manunuzi ni zangu πππ
Ndio maana vitabu vitakatifu vinasema alifurishwa kutoka kule kwa muumba kwa utundu wa ke wa kuonja onja tnda la mti wa katikati... yaani, ni hatari sana huyu mnyama binadamu... na sasa kajitengenezea hata nyuklia ya kujimaliza mwenye...Mnyama hatari duniani ni binadamu tu asipowekewa mipaka
ππππ Basi umepata, shaka ondoa da cessie kibonge.Wawili tu wananitosha
Kurasini karibu na liquid..kituo uhasibu..ukifika ulizia cessie kibonge utanipata.
π€£π€£π€£π€£π€£Nitafurahi nikiwapata leoππππ Basi umepata, shaka ondoa da cessie kibonge.
utapewa yule anaefungiwa na zip, sumu yake ikikuingia una vimba miezi tisaπ€£π€£π€£π€£π€£Nitafurahi nikiwapata leo
Ndo namalizia kuosha gari nikawakamate. Wanapatikana maeneo ya bondeni kati ya kigogo na magomeni. Chakula chao kikubwa ni balangulu π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Nitafurahi nikiwapata leo
π€£π€£π€£π€£ Nimecheka hadi nimebanjautapewa yule anaefungiwa na zip, sumu yake ikikuingia una vimba miezi tisa
ππππ Kama Hana madhara ile madhaara ukiachana na sumu ya kuniingia miezi sifa..fresh tuπ€£utapewa yule anaefungiwa na zip, sumu yake ikikuingia una vimba miezi tisa
ππππ Can't wait kuwaona..maana nimeshaandalia kajumba kao kadogo dogo kenye joto na tuchumvi chumvi ..si wanapenda kulamba lamba chumvi eeh..maana huo ulimi wake πNdo namalizia kuosha gari nikawakamate. Wanapatikana maeneo ya bondeni kati ya kigogo na magomeni. Chakula chao kikubwa ni balangulu π€£π€£π€£π€£
Wataimaliza hiyo chumvi ππππππππ Can't wait kuwaona..maana nimeshaandalia kajumba kao kadogo dogo kenye joto na tuchumvi chumvi ..si wanapenda kulamba lamba chumvi eeh..maana huo ulimi wake π
wataumana ndimiVipi akikutana na mamba ,maana mamba ana ngozi ngumu
Mamba hana ulimiwataumana ndimi
Basi hapo wataheshimiana tu πππ sema bwana mdogo komodo akizingua anachezea nakozi ya mkiaMamba hana ulimi