Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

Mtoa mada umedanganya watu , sio mnyama hatari kama uanvyodai , wanyama hatari wapo na wanajulikana , ana kiwango chake cha uhatari Ila sio hatari zaidi hata kumfikia cobra tuu
 
Yah siku nyingi,,Nashukuru Mungu niko salama mkuu.
Kabisa Chief, ni masiku mengi sana yamepita na ni jambo la furaha kwangu ninapochungulia Jf na kukutana na Maveterani wa Jf kama wewe🤣☺️. Kwasasa ID mpya ni nyingi sana, so unapotokea umebumiana na I'd za kitambo Kama hivi ni lazima ustop kwanza.
SHUKRAN KWA SALAMU SHEIKH WANGU ALLAH AKUTIE WEPESI.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Uwe na muda mwema..usiniweke sasa
Dubwasha nishalipata ila shughuli yake pevu. Limekula ndoano na chambo vyote pamoja.
Nasubiri likisinzia niwahi kulikamata mkiani niliburuze hadi mlangoni kwako 😂😂😂
 
Komodo dragon naye ni lizard. Halafu hizo sifa unazompa umezidisha. Kwamba ana sumu kuliko mnyama yoyote sio kweli.
 
Yaani kenge awekwe kwenye tano bora!? Ha ha haaa ...
 

Afuwan sheikh wangu, aamiin aamiin, nawewe Allah akulipe kila la heri.

Nikweli kabisa, kwa sasa ID mpya ni nyingi sana, Tuko pamoja sheikh wangu.

Ucku mwema
 
Umeli overrate sana hilo likenge lako mkuu, linaweza kuwa na bacteria hatari kabisa ambao wanaweza kukutoa uhai ndani ya dk tatu. Lakini sidhani kama lina uhatari kihivyo kama hao wengine maana halina speed ya kukimbizana na windo halafu mpaka likuvizie, yaani hata mimi naweza kukutana nae afu nikasepa mbio lisinipate likalala njaa kitu ambacho kwa koboko au hao akina simba/chui sahau. Sasa si bora nikutane na komodo hata kumi kuliko chui[emoji28][emoji28]
 
...Kaka, Unamfagilia Sana kupita kiasi wakati unamsoma TU kwenye Vitabu na Kumuona kwenye Runinga TU! SI afadhali Umsifie Sana Kiboko ambaye angalau Yuko kwenu lakini Wachina Wanaishia kumkata Kichwa TU Chenye Sumu na Kumfanyia Asusa??
Huyo Komodo anaweza kuwa Mkali kama Mnyama yoyote Mkali alivyo lakini ni aina TU ya Kenge Mkubwa wa Huku kwetu! Ni aina TU ya Kenge!
 
Halafu mkuu pale uliposema sumu yake inaweza kukuua ndani ya dk tatu pana ukakasi.
Imebidi niamke na hili kenge vyanzo mbalimbali mitandaoni vinadai sumu yake inaweza kukuua within hours means kuna nafasi kubwa ya ku survive attack zake kikubwa upate medical care ya uhakika maana lina uwezo wa kunusa damu au kidonda kilichoanza kuoza mpaka umbali wa 5KM! no wonder why linakula victims wake wakiwa bado hai maana sumu yake haiui haraka hivyo na pia linakula mizoga maana victims wake wanaweza kukimbia mbali baada ya kushambuliwa nae, au wanaweza kufa hata kesho yake kwa kukosa matibabu sahihi na hapo ndio hilo kenge linakuja kumalizana na prey wake kama mzoga maana lina uwezo mkubwa sana wa kutrack victims wake, unlike other predators kama mamba mnamalizana hapohapo haina kupoa[emoji28]

Zuri zaidi hili dubwana licha ya makucha makubwa lakini kupanda mti haliwezi, kama umechoka kukimbia tafuta kamti panda lazima alale njaa au atafute pengine pa kula.

NOTE[emoji116][emoji116]
""Komodo dragons are not the most powerful predators in the world, the bites they give are shallow and slashing (meno yake yapo kama shark wale wa baharini), which results in bleeding damage. This is markedly different from that of other dangerous predators like big cats and crocodiles which deal crushing damage to bones or the windpipe"".
 
Mkuu,
Unaposema huyu ndo kiumbe hatari sana kuliko wengine unakosea, kiumbe anaweza kuwa hatari zaidi ya mwengine kwendana na mazingira tofauti tofauti, hata kwenye sumu ndo hvyo hvyo - First hit, first kill.
Kuna chura wa njano ambao Ute au jasho lao juu ya ngozi ni sumu mbaya na hatari sana. Mara nyingi wawindaji humvizia huyu chura akiwa ametulia kwenye Jani Ili kupata Ute au jasho analoliacha na kulipaka kwenye mishale, ambapo sumu hii ikishaganda kwenye mshale hukaa muda mrefu mpaka windo lipatikane. Huu mkuki akichomwa binadamu au mnyama mwingine, without proper medication chance ya ku-survive ni almost impossible. Huyu chura kwa mazingira yake ni very dangerous lakini kwenye mazingira mengine ni helpless.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ana undugu na comodo huyuuuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…