hizo kondom zije ili tuchague kulingana na ukubwa wa uume tulizonazo na harufu ya kupendeza pamoja na maelezo yakeSio size tu hadi bei na harufu zinatofautiana. Mfano condom nyingi zinazosambazwa bara la Asia ni small size kwa sababu wale jamaa ni wana uume mdogo kulingalisha na West Africa.....soma taarifa zake ziko nyingi tu aisee.
Kanuni ya kwanza ukiingia duka la dawa muulize muuzaji ana condom za brand ipi na material ipi mfano latex au la? Na baada ya kupewa kagua expiry date. Unashauriwa kujifunza na kutambua brand sahihi kwa matumizi yako hasa kama wewe ni mzee wa mikito. Ukishajuwa brand ikufaayo sasa kila ukienda dukani uliza hiyo na kama hakuna Acha kuzini siku hiyo. Maisha ni yaka na upwiru ni wako kwa hivyo utachagua utakachoEndelea kutupa elimu
Kimbe zinatofauti hizo na siyo free size kama tulivoaminishwa
Asante kwa elimu nzuri MkuuKanuni ya kwanza ukiingia duka la dawa muulize muuzaji ana condom za brand ipi na material ipi mfano latex au la? Na baada ya kupewa kagua expiry date. Unashauriwa kujifunza na kutambua brand sahihi kwa matumizi yako hasa kama wewe ni mzee wa mikito. Ukishajuwa brand ikufaayo sasa kila ukienda dukani uliza hiyo na kama hakuna Acha kuzini siku hiyo. Maisha ni yaka na upwiru ni wako kwa hivyo utachagua utakacho
Kanuni ya pili ni kwenye uvaaji,Asante kwa elimu nzuri Mkuu
Elezea kuhusu kanuni hizi mkuuKanuni ya pili ni kwenye uvaaji,
Kanuni ya tatu ni kwenye kutumia,
Kanuni ya nne kwenye kuivua,
Kanuni ya tano jinsi ya kuhifadhi na kutupa condom yenye sperms zako. Hapa ni muhimu sana kwa maisha yako ya sasa na ya baadae ....
Kwenye kanuni ya pili inashauriwa ufanye uzinzi ukiwa timamu yaani usilewe kupitiliza au usifanye ngono za kulipiza kisasi ili uweze kutetea maisha yako. Hakikisha unachana pembe ya package baada ya kuiminya condom isogee mbali ya pembe ili iwe salama pale unapochana. Kama una kucha ndefu uwe makini. Hakikisha utoa hewa nje kwa kuminya chuchu ya condom. Pia hakikisha condom iko uelekeo sahihi ili usije kuvaa condom ndani nje na nje ndani yaani hapa kupasuka nijambo la kawaida. Hakikisha condom imefika kwenye shina na ku fit vizuri vinginevyo hiyo sio size yako kama itabana sana hadi kuleta maumivu au kukupwelepweta.Elezea kuhusu kanuni hizi mkuu
Tujifunze
Asante sana nimejifunzaKwenye kanuni ya pili inashauriwa ufanye uzinzi ukiwa timamu yaani usilewe kupitiliza au usifanye ngono za kulipiza kisasi ili uweze kutetea maisha yako. Hakikisha unachana pembe ya package baada ya kuiminya condom isogee mbali ya pembe ili iwe salama pale unapochana. Kama una kucha ndefu uwe makini. Hakikisha utoa hewa nje kwa kuminya chuchu ya condom. Pia hakikisha condom iko uelekeo sahihi ili usije kuvaa condom ndani nje na nje ndani yaani hapa kupasuka nijambo la kawaida. Hakikisha condom imefika kwenye shina na ku fit vizuri vinginevyo hiyo sio size yako kama itabana sana hadi kuleta maumivu au kukupwelepweta.
Pole sana mkuuHali ni mbaya mkuu
Kinga hazikingi tena
Ni kweli zinabana sijui kwanini, nilifikiri mi pekeyangu ndo nakutana na hii hali, zinabana hadi raha huisikii wakati unadinyana.Condoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya
Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote
Sijui kuna agenda ya kutuua kimya kimya, kwa kututengezea kondomu zinazovutia na kumtosha kila mwanaume na zisizo na harufu ya kukarahisha
Wizara ya Afya jaribu kujali afya zetu wanaume tutakufa kwa HIV/ AIDS na UTI kali
Tutajie majina yakeNunua condom bei inayoanza na 5,000 zingine ni mfano wa condom
Nilijua niko mwenyewe, zinaishia kati kati yani hazifuniki nanilii yoteCondoms za siku hizi zimekuwa ndogo, zinabana na zinatoa harufu mbaya
Yaani nikivaa kondom siku hizi inaweza funika tu nusu ya uume nusu ikaingia ukeni bila kufunika uume wote
Sijui kuna agenda ya kutuua kimya kimya, kwa kututengezea kondomu zinazovutia na kumtosha kila mwanaume na zisizo na harufu ya kukarahisha
Wizara ya Afya jaribu kujali afya zetu wanaume tutakufa kwa HIV/ AIDS na UTI kali