Kondomu za siku hizi ni ndogo hazitoshi kwenye uume

Wahaya mna sifa za kipunda sana.Mpira unaovutika size 15 inches haukutoshi?Basi wewe ni kilema umebeba mguu katikati ya mapaja.
 
😂
 
Sizikumbuki tena ndomu, I haven't used it in a long time !
Kumbe zishafanywa ndogo!
Kikubwa tangazo limefika wateja wengi.
Bila condom unawezaje kuepuka magonjwa na mimba wakati wa kusex na mwanamke ambae sio mkeo, na hatumii njia ya uzazi wa mipango.
 
Anachosema mtoa mada ni kweli

Nimekumbana na hiyo hali pia hivi karibuni

Kuhusu harufu mbaya ya Kondomu, hilo sijakutana nalo

Ukikoswa koswa na UTI ya DSM basi Gonorrhea/HIV/AIDS haiwezi kukuacha iwapo hutumii Mpira.

Kama unafanya unprotected sexual intercourse, unaingia kwenye risk ya ku-contaminate hayo maradhi hata kama utatumia virainishi kama Vijana wengi wanavyodanganyana
 
Kabisa hali ni mbaya
 
Hongera mkuu kwa kuendelea na matumizi na condom. 🤣
 
Bila hii kitu Wazee tungekuwa hatuponi UTI zao

Maana kama unakumbuka hadi Mwaka 47 hakukuwa na huu ugonjwa wao wa UTI 🤗
Hivi UTI ya Dar inaweza kupukutisha kabisa? Sisi zama zetu tuliogopa kaswende na ndugu zake, baadae miaka tunaoa 83 huko likaja kubwa ndio tukaogopa kabisa🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…