Kosa la binti huyu mwanachuo lilikuwa nini mpaka atekwe na kuuawa mkoani Mbeya?

Wewe utakuwa umeanza kunijua jana saa nane usiku. Ni wapi ulishawahi nikuta nina sapoti au kutetea maswala ya CCM kuwa wanapatia?πŸ€” Au swali la msingi zaidi,huyo binti ni CCM au mjumbe wa kamati yoyote ya CCM? Au kwasababu baba yake umeona ni mtu wa CCM hapo? So mzazi wake kuwa CCM ina halalisha huyo binti kufanyiwa huo ukatili?πŸ€”
 
Kama hauna ugeni na siasa za Afrika kwa ujumla utakuwa umeeleewa dukuduku langu.

Ningekuwa na mamlaka, ningeanza upelelezi wangu kwao na huyo binti kwanza, hasa baba mtu.

Mwaka wa uchaguzi makafara huwa mengi sana.

Ni dukuduku tu, human nature.
 
Nachojua wauwaji lazima watapatikana maana Tanzania tunao uwezo huo, walitaka pesa tu ni watekaji kama watekaji wengine

USSR
Kwa kutumia Polisi gani wa Malawi au?
 
Mtoto wa watu amewakosea nini
Ukiachilia mbali wamembaka sana kabla ya kumuua na kumchoma moto ili kupoteza ushahidi, usisahau Mbeya kulikua na wale jamaa wanachuna watu ngozi, usisahau Mbeya kulikua na wale jamaa wanapiga watu Nondo, kwa hio haijaanza jana wala juzi hua inapumzika tu
 
Wasiojulikana wakipiga tukio hilo limeisha, labda kama walidakwa kwenye video basi itawalazimu waconfirm kwenye page yao.

Ila kama hawajahusika watasolve hii case fasta sana.

Pole tena kwa familia na ndugu wa karibu wa huyo binti. Nikiwa Morogoro tukio kama hili lilitokea ila yule binti hakuchomwa moto. Sijui hata kama haki yake yule binti alipata.
 
Nachojua wauwaji lazima watapatikana maana Tanzania tunao uwezo huo,
Watapatikana ikiwa issue affiliated na watekaji na wauaji wengine kama waliompiga risasi Tundu, kinyume na hapo tutaona ujuzi wa polisi kupiga danadana Afu 3 kwa daki sekunde 10! Rest easy Shyrose, pole kwa Familia, ndugu, jamaa na marafiki!!
 
Ningekua her brother i would spend every minutes in this green earth to make sure kila aliyehusika analipa alichokifanya hio ingekua my purpose regardless the outcome until ningepata inner peace.
 
Kama hauna ugeni na siasa za Afrika kwa ujumla utakuwa umeeleewa dukuduku langu.

Ningekuwa na mamlaka, ningeanza upelelezi wangu kwao na huyo binti kwanza, hasa baba mtu.

Mwaka wa uchaguzi makafara huwa mengi sana.

Ni dukuduku tu, human nature.
Mmmmhmn mzee hii haiwezi kuwa kweli. Kwamba hili tukio nyuma yake ni kafara? Are you even serious?πŸ€”
 
Kula Nauli za Wanaume au
Mzazi wake katapel watu
 
Kiukweli ni muhimu uchunguzi ufanyike majibu yapatikane.

Inawezekana ni maswala ya mahusiano pia. Vijana wa siku hizi wapo soft sana. Wanaweza kujiweka kiherehere kumpatia binti vitu kisha wakiona binti hatoi ushirikiano wanaamua kimkomoa.

Motives zinaweza kuwa ni nyingi sana hapa.
 
Kula Nauli za Wanaume au
Mzazi wake katapel watu
Definitely hizi zinaweza kuwa motivation ya huu uharamia,why mtu arukie mtoto wa mtu na kumuua hivi kikatili?πŸ€”
 
Ningekua her brother i would spend every minutes in this green earth to make sure kila aliyehusika analipa alichokifanya hio ingekua my purpose regardless the outcome until ningepata inner peace.
But muhimu sana kucontrol hasira maana unaweza jikuta umepita hata na ambao walimuona siku ya tukio na hawakumwambia aende home badala ya kwenda mazingira hatarishi.
 
Kuna wale wa Moshi na Arusha matukio kama matatu ya namna hii hajawahi kuripotiwa mrejesho wake hadi leo.
 
Ndo maana kuna muda nawaza kutokuleta mtu kwenye this shitty earth and its getting shittier every day.....

pole kwa wafiwa.
Mhhh wewe lete watu si mtu. Watu hufa kwa sababu mbalimbali. Wale waliopigana vita ya kwanza ya dunia waliobaki kama wapo ni wa kuhesabu. So ni kawaida na faida ni nyingi za kuleta watu kuliko kutokuleta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…