Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Kumbe ana hospitali kabisa. Basi bila shaka pesa ipo.Aligombea kwenye kura za maoni alashindwa na Patric Mwalunenge. Lakini huyu Mabula amekuwa anagawa sana hela wakati wa kampeni zote including ile ya 2020.
Swali langu, je Mabula anapata wapi pesa za kuchezea? Najuwa ana hospitali pale karibu na ukumbi wa Mkapa, lakini hospitali haiwezi kumpa hizo pesa anachezea
Hivi kwa mfano iyo kesi ya mdude, mmeshindwa kufuatilia mpaka mlitegemee jeshi?Lakini kwenye matukio yote ya utekaji unakuwa mkali hivi au ndio ikitokea CCM unapandwa na hasira? Nakumbuka Gwajima aligusia hiki kitu kwa kusema, vipi ikitokea kwa watoto wenu?
Mdude alichukuliwa mbele ya mke wake na watoto, kibao alichukuliwa ndani ya usafiri wa umma, matukio ni mengi hivyo tusichukulie kawaida yanapotokea apande mmoja na upande mwingine tikiona ndio muhimu zaidi.
Acha uongoMkuu inaonekana umekuwa mtu mzima hivi karibuni.
Watu wameanza kutekwa na kuombwa pesa muda mrefu sana na kuna wengine walishakamatwa na hivi karibuni mtoto maeneo ya huku Goba alitekwa ni mtoto wa Chekechea kwa kutumia Bodaboda na wahusika baadae walikamatwa maeneo ya Chalinze wakiwa wanampeleka Tanga. Hivyo tuwaachie vyombo vya ulinzi na usalama wafanyekazi zao ila sisi tuwasaidie kama tuna taarifa muhimu za matukio.
Sasaa kuna umuhimu gani wa jeshi la majisifa na majigambo? Tambo kibao kesi km hizi hawajui waanzie wapi wala waishie wapi?Hivi kwa mfano iyo kesi ya mdude, mmeshindwa kufuatilia mpaka mlitegemee jeshi?
Chadema wana kikosi chao cha ulinzi red brigade,wameshindwa kufuatilia hili?Sasaa kuna umuhimu gani wa jeshi la majisifa na majigambo? Tambo kibao kesi km hizi hawajui waanzie wapi wala waishie wapi?
Ingekuwa chadema wangekuwa wamesha kamatwaWatu wamepiga simu,wakatuma video WhatsApp na wakatumiwa pesa ila mpaka sasa hawajakamatwa!!
Mawazo yako ni sawa sawa kabisa na yangu.Hii habari ilipaswa iwe kubwa sana.
Lakini ni kama hakuna kilichotokea.
Tumefika hapa kwa sababu ya mamlaka kupuuzia mambo ya utekaji, anatekwa mtu kisha mamlaka zinasema amejiteka.
Mtu anashushwa kwenye bus mchana, kesho yake anapatikana amekufa, mamlaka zinatoka na kusema "Kifo ni Kifo tu".
Ndiyo maana hata hili ni kama halijawashtua watu.
Unatafuta nikutukane huko unapoelekea utapokea tusi zito, uliona kule polisi wale ni green guards wale si wanalipwa kodi zetu, matakoChadema wana kikosi chao cha ulinzi red brigade,wameshindwa kufuatilia hili?
Mazafaka kabisa weweKifo kimoja tu mna lalamika,, kifo ni kifo. Msizue taharuki.
Mazafaka againKama bunge linge jadili haya tusinge fika hapa.
Mfano raia wanaona kabisa wazi kuwa hili tukio ni la utata ila wao wanafusha uongo hadharani kusema wanachojua wao ambacho hata mtoto wa kidato cha 4 anaweza jua ni uongo.Taarifa babaifu na nusunusu ndio zikoje mkuu?
Uchunguzi unapaswa kuanzia kwake.Aligombea kwenye kura za maoni alashindwa na Patric Mwalunenge. Lakini huyu Mabula amekuwa anagawa sana hela wakati wa kampeni zote including ile ya 2020.
Swali langu, je Mabula anapata wapi pesa za kuchezea? Najuwa ana hospitali pale karibu na ukumbi wa Mkapa, lakini hospitali haiwezi kumpa hizo pesa anachezea
Mkuu kwani wewe ni mgeni wa siasa za Afrika?Mmmmhmn mzee hii haiwezi kuwa kweli. Kwamba hili tukio nyuma yake ni kafara? Are you even serious?🤔
Waliowateka kina mdude hawajapatikana bado, huo uwezo wa kuwapata ukwapi?Nachojua wauwaji lazima watapatikana maana Tanzania tunao uwezo huo, walitaka pesa tu ni watekaji kama watekaji wengine
USSR
Kisasi sawa ila kafara hapana.Mkuu kwani wewe ni mgeni wa siasa za Afrika?
Kwa akili za kibinaadamu zinakataa, lakini kwa akili za nje ya box lazima utaona haya mauaji yameegemea zaidi kwenye ulingo wa visasi, baba mtu ni mwanasiasa na mfanyabiashara, lazima kuna chanzo cha haya yote tu, huu siyo utekaji wa kutafuta pesa.
Kumbe na chat na nyumbu basi umeshinda.Mfano raia wanaona kabisa wazi kuwa hili tukio ni la utata ila wao wanafusha uongo hadharani kusema wanachojua wao ambacho hata mtoto wa kidato cha 4 anaweza jua ni uongo.
Mfano tukio la lissu kushambuliwa, unaweza kutuambia lipoti ya polisi ilisemaje?
Mo dewji alipotekwa unakumbuka kilichotokea?😂
Je ripoti za matukio ya watu kupotea huwa unaletewa mrejesho mwenzetu?
Vipi yule binti Akwilina unakumbuka ripoti yake ilisemaje?
Kuna binti alibakwa hapo Dodoma video yake ikaonekana je,mlifikia wapi na lile tukio?
Narudia tena kusema "polisi mnahusika sana kusababisha utekaji na mauaji kushamiri kwenye jamii yetu" maana nyinyi wenyewe siyo mfano wa kuigwa kwenye kudhibiti haya matukio.Loh!! Na wewe acha uvivu wa kufikiri