Hautamsikia Samia akijigusa wala kuchukua hatua.Shyrose alitekwa siku ya Jumamosi na watu wasiojulikana na wakaanza kumpigia Baba yake simu kumuomba Pesa ili wamuachie huru huku wakimtumia Video fupi wakimuonesha wanavyomtesa.
Baada ya kupata Video hizo Baba Mzazi Dkt. Mabula Mahande alituma kiasi kidogo cha pesa ili Mwanae asiumizwe lakini baada ya Muda Mwili wa Shyrose ukapatikana akiwa amechomwa moto lakini pia akiwa amechomwa Visu Mgongoni.
Shyrose alianza Elimu yake ya Chuo cha Tumaini, Arusha ambapo alikuwa anasomea Shahada ya Sheria lakini kutokana na Matatizo ya kiafya ilibidi ahame akasome Chuo karibu na nyumbani ambapo alihamia Chuo kikuu cha Mzumbe Tawi la Mbeya, Hapa alianza Mwaka wa Kwanza na mpaka Umauti unamkuta 😢💔
Shyrose amefariki akiwa na umri wa Miaka 21 tuu, too young 😭
Msiba upo Nyumbani kwao Mbeya, Uzunguni karibu na Desderia Hotel na kwa Taarifa za awali kuzika ni Jumamosi ila Mahali pa Kuzika bado hapajakuwa-confirmed
View attachment 3475619
Sidhani kama ina uwezo wa kumpa mapato ya kuchezea kwenye siasa kihivyoKumbe ana hospitali kabisa. Basi bila shaka pesa ipo.
... some clues! Kunaweza kukawa na issues za ukabila na ukanda ...!Kwa taarifa nilizoona Facebook ni mtoto wa mgombea ubunge kupitia CCM Mbeya mjini... Baba yake ni Doctor Mabula Michael mahandeView attachment 3475625
Baba Mzazi Dkt. Mabula Mahande
Absolutely!! Watu wenye pesa chafu, wanafanya kazi chafu. Kwenye kazi chafu ukidhulumiwa huwezi kumpeleka mtu Polisi kumshtaki. Kimjini mjini watu humalizana.Uchunguzi unapaswa kuanzia kwake.
Siyo kwa ubaya, bali ni ktk kuutafuta ukweli wa mambo.
... CLUES!Lakini kwenye matukio yote ya utekaji unakuwa mkali hivi au ndio ikitokea CCM unapandwa na hasira? Nakumbuka Gwajima aligusia hiki kitu kwa kusema, vipi ikitokea kwa watoto wenu?
Mdude alichukuliwa mbele ya mke wake na watoto, kibao alichukuliwa ndani ya usafiri wa umma, matukio ni mengi hivyo tusichukulie kawaida yanapotokea apande mmoja na upande mwingine tikiona ndio muhimu zaidi.
... you're giving CLUES!Nilivyosikia tuu ni mtu wa CCM... Sikuendelea tena kufuatilia. CCM wanafurahia watanzania wakitekwa na kupotezwa dawa iwaingie vizuri
... mtia Nia au mteuliwa?
Eye For An EyeBut muhimu sana kucontrol hasira maana unaweza jikuta umepita hata na ambao walimuona siku ya tukio na hawakumwambia aende home badala ya kwenda mazingira hatarishi.
Ni sahihi. Hutakiwi kushindana wala kutumia polisi. Unanyamaza tu ila hata kwa miaka 3 mbele lazima walipe gharama.Wewe ndo kama mimi tu, nitatumia resource zangu na zinazonizunguka kuwapata kisha mmoja mmoja namsababishia maumivu makali sana
Nawe bwege nini? Yaani uchaguzi ndio justification ya mauaji?Mwaka wa uchaguzi huu, na baba mtu ni mgombea ubunge.
Kwani haiwezi kuwa viceversa?
Haiwezi ikawa "Sympathy Seeking"?
Sema nimeshindwa kujibu maswali sio "nachat ma nyumbu basi umeshinda".Kumbe na chat na nyumbu basi umeshinda.