Muwe mnasoma kwanza ninachokiandika kabla ya kuni quote! Huwa siwapendi watu viherehere.Je, wakati huo ambao upigaji haukuwepo ulifikiwa na fursa au mafanikio gani?
Hongo ni hela iliyoongezwa kwenye gharama za miradi, hakuna anayetoa hongo kutoka kwenye hela yake binafsi. Pesa natafuta ndio maana siombi kwa mtu na naridhika na kidogo ninachopata kwani hata ningemiliki dunia yote mwisho mitaondoka mtupu kama nilivyokujaHuyo ni WA kwanza hapa Tanzania? Mnyeti alikzipata ? PM alikzipata wapi?
Nachojua mfano Mimi ni Meneja wa TanRoads mathalani Ili mkandarasi apate kazi anakuja kunihonga Sasa naachaje kuchukua pesa ya Bure? Maana hii haihusiani na execution ya kazi ni kama dalali kukutafutia mteja tuu.
Hongo za hivi ndio wakubwa wengi wanapata Sasa hapo unakuathiri vipi wewe maskini? Tafuta pesa Mzee hakuna namna 🤪🤪
Hakuna kitu kama hiyo na kwanza hujui unachoongea.Hongo ni hela iliyoongezwa kwenye gharama za miradi, hakuna anayetoa hongo kutoka kwenye hela yake binafsi. Pesa natafuta ndio maana siombi kwa mtu na naridhika na kidogo ninachopata kwani hata ningemiliki dunia yote mwisho mitaondoka mtupu kama nilivyokuja
Sawa na wewe kuwa bilionea basi kama no rahisiTatizo la watanzania na Wanawake wengi hasa Afrika ni kufanya imagination ya vile wanavyofikiri na kuwawekea Watu wengine hizo imagination zao kwenye fikra za wengine.
Ati kama ninadhani, ninafikiri. Hayo mawazo yangu umeyajuaje? Au ndio hizo imagination zako juu ya fikra zangu?
Sawa na wewe kuwa bilionea basi kama no rahisi
Una akili mbovu kama mmeoHakuna kitu kama hiyo na kwanza hujui unachoongea.
Unajua maana ya ushindani au unadhani anaetafuta ni uko peke yako? Madereva wanaotoa hongo Kwa traffic Huwa wanaongeza nini?
Wewe Kwa akili Yako mbovu unadhani Boeng wangepata tender ya Kutengeneza ndege bila hongo? Kwenye mazingira ya ushindani bila hongo hutoboi Iko hivyo Dunia nzima
Una akili mbovu kama mmeo
Mwanamume lazima atafute pesa hilo ni jukumu tulilopewa hata kwenye vitabu vitakatifu.Wewe ndio ujipe moyo kuwa utazipata hizo Pesa unazotafuta. Pia ujipe pole Kuwa na Akili ndogo ya kudhani Watu wote Duniani wanatafuta Pesa.
Kauli za majizi ya CCM
Hatuwezi kutoboa kwa kupata Mali za duniani halafu tutazamie maisha mazuri.Lazima tutafute uso wa Mungu mwenye haki halafu hayo mengine yatatutafuta yenyeweHabari Wakuu!
Kwanza ijue nchi yako, waelewe Watu wako. Ifahamu jamii yako.
Sisi ni jamii ambayo mtu ukifanikiwa utaitwa ni Freemasonry,
Tupo kwenye jamii ambayo ukiwa na utajiri unaitwa Fisadi, Jizi au muuza madawa ya kulevya.
Tupo kwenye jamii ambayo ukimiliki vimiradi kadhaa au biashara za hapa na pale unaitwa unatumia Uchawi wa ngende. Ielewe jamii yako na watu wake.
Fanya vyovyote utakavyofanya, TOA jasho lako utakalotoa lakini elewa kuwa siku utakayofanikiwa watanzania wengi watakuweka kwenye mojawapo ya makundi hayo hapo juu.
Kwa kweli Taikon Master tangu nimezaliwa mpaka umri nilionao sijawahi kumuona Tajiri au mtu aliyefanikiwa hapa nchini ambaye Watu wanasema amepata Pesa kihalali. Hiyo sijawahi kusikia. Itakuwa mara yangu ya Kwanza na ambayo nitaiandika kwenye kumbukumbu zangu na pengine kuandika kitabu cha huyo mtu ambaye Watu watamsema amepata Mafanikio yake Kwa halali.
Leo sitaki kuwasumbua Sana,
Mama Samia kosa alilofanya ni Kutumia Ile Kanuni ya kila MTU ale urefu wa kamba yake. Kauli ambayo watanzania hawatakuja kuitaka Kwa sababu watanzania ni jamii ya kijamaa. Watu ambao wanataka kula kamba Kwa kushirikiana.
Watanzania wanavutiwa zaidi na viongozi ambao wanataka kuwafanya Watu wote kuwa Sawa ndani ya jamii. Yaani matajiri na Maskini wote wawe Sawa. Wavivu na wachapakazi wawe Sawa. Wenye bahati na wasio na bahati wawe sawasawa. Hilo Kwa Samia halipo, hiyo sio falsafa yake. Hapo ndipo anapopishana na upendo wa watanzania.
Samia anatumia Ile falsafa ya Yesu isemayo kila MTU abebe msalaba wake. Kila mtu ajikune pale mkono wake unapofikia.
Samia hawezi kumshusha wa juu ili afanane nawa Chini. Hiyo sio falsafa yake. WA Chini akitaka kwenda juu apambane kivyake vyake. Wakati vivyohivyo.
Wenye bahati wabaki wenye bahati Yao mpaka bahati Yao itakapokwisha. Wasio na bahati waendelee kuhenyeka mpaka bahati Yao utakapokuja yenyewe au Kwa wao kuitafuta.
Watanzania kama jamii hainaga Tabia ya ku- appreciate uwezo wa waliofanikiwa. Hata hapo kwenu wewe ukifanikiwa bado watakuona kama aidha umebahatisha, huna uwezo, au umetumia ndumba, au umebebwa bebwa.
Samia hiyo falsafa yake hawezi kutoboa kwenye mioyo ya Watanzania. Na sidhani kama yeye ni wale Watu wanaotafuta kupendwa au kulazimisha kukubalika.
Eeeh! Acha nipumzike tuu.
Ijumaa Kareem
Mambo uliyoongea ni ya kibinafsi zaidi kuliko ya kitaifa,unaongelea watu watu watu muda wote watu watu,SAMIA ni Rais na Rais amebeba matarajio ya watu,kuna mambo ambayo ni common kwa Taifa ukiyachezea unakuwa umetengeneza ugumu kwa kila mtanzania,hawa watanzania ndio walipa kodi wa kila siku,tusiwadharau kiasi hicho hasa kwa kumtumia Rais dhaifu na UTENDAJI wake dhaifu na serikali yake dhaifu.Ukibeba matarajio ya watu KAZI yako kama kiongozi ni kurahisisha maisha yao ndicho watu wanachotarajia na si kufanya maisha yao kuwa magumu.Tuombe sote tupate KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI ili nchi ipate serikali na viongozi wanaotoka kwa wananchi na sio wanaojichagua.Habari Wakuu!
Kwanza ijue nchi yako, waelewe Watu wako. Ifahamu jamii yako.
Sisi ni jamii ambayo mtu ukifanikiwa utaitwa ni Freemasonry,
Tupo kwenye jamii ambayo ukiwa na utajiri unaitwa Fisadi, Jizi au muuza madawa ya kulevya.
Tupo kwenye jamii ambayo ukimiliki vimiradi kadhaa au biashara za hapa na pale unaitwa unatumia Uchawi wa ngende. Ielewe jamii yako na watu wake.
Fanya vyovyote utakavyofanya, TOA jasho lako utakalotoa lakini elewa kuwa siku utakayofanikiwa watanzania wengi watakuweka kwenye mojawapo ya makundi hayo hapo juu.
Kwa kweli Taikon Master tangu nimezaliwa mpaka umri nilionao sijawahi kumuona Tajiri au mtu aliyefanikiwa hapa nchini ambaye Watu wanasema amepata Pesa kihalali. Hiyo sijawahi kusikia. Itakuwa mara yangu ya Kwanza na ambayo nitaiandika kwenye kumbukumbu zangu na pengine kuandika kitabu cha huyo mtu ambaye Watu watamsema amepata Mafanikio yake Kwa halali.
Leo sitaki kuwasumbua Sana,
Mama Samia kosa alilofanya ni Kutumia Ile Kanuni ya kila MTU ale urefu wa kamba yake. Kauli ambayo watanzania hawatakuja kuitaka Kwa sababu watanzania ni jamii ya kijamaa. Watu ambao wanataka kula kamba Kwa kushirikiana.
Watanzania wanavutiwa zaidi na viongozi ambao wanataka kuwafanya Watu wote kuwa Sawa ndani ya jamii. Yaani matajiri na Maskini wote wawe Sawa. Wavivu na wachapakazi wawe Sawa. Wenye bahati na wasio na bahati wawe sawasawa. Hilo Kwa Samia halipo, hiyo sio falsafa yake. Hapo ndipo anapopishana na upendo wa watanzania.
Samia anatumia Ile falsafa ya Yesu isemayo kila MTU abebe msalaba wake. Kila mtu ajikune pale mkono wake unapofikia.
Samia hawezi kumshusha wa juu ili afanane nawa Chini. Hiyo sio falsafa yake. WA Chini akitaka kwenda juu apambane kivyake vyake. Wakati vivyohivyo.
Wenye bahati wabaki wenye bahati Yao mpaka bahati Yao itakapokwisha. Wasio na bahati waendelee kuhenyeka mpaka bahati Yao utakapokuja yenyewe au Kwa wao kuitafuta.
Watanzania kama jamii hainaga Tabia ya ku- appreciate uwezo wa waliofanikiwa. Hata hapo kwenu wewe ukifanikiwa bado watakuona kama aidha umebahatisha, huna uwezo, au umetumia ndumba, au umebebwa bebwa.
Samia hiyo falsafa yake hawezi kutoboa kwenye mioyo ya Watanzania. Na sidhani kama yeye ni wale Watu wanaotafuta kupendwa au kulazimisha kukubalika.
Eeeh! Acha nipumzike tuu.
Ijumaa Kareem
Mambo uliyoongea ni ya kibinafsi zaidi kuliko ya kitaifa,unaongelea watu watu watu muda wote watu watu,SAMIA ni Rais na Rais amebeba matarajio ya watu,kuna mambo ambayo ni common kwa Taifa ukiyachezea unakuwa umetengeneza ugumu kwa kila mtanzania,hawa watanzania ndio walipa kodi wa kila siku,tusiwadharau kiasi hicho hasa kwa kumtumia Rais dhaifu na UTENDAJI wake dhaifu na serikali yake dhaifu.Ukibeba matarajio ya watu KAZI yako kama kiongozi ni kurahisisha maisha yao ndicho watu wanachotarajia na si kufanya maisha yao kuwa magumu.Tuombe sote tupate KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI ili nchi ipate serikali na viongozi wanaotoka kwa wananchi na sio wanaojichagua.
Hatuwezi kutoboa kwa kupata Mali za duniani halafu tutazamie maisha mazuri.Lazima tutafute uso wa Mungu mwenye haki halafu hayo mengine yatatutafuta yenyewe
Bro rejea nchi zilizoendelea kama China, Korea, Japan, USA, Britain n.k
wako makini na rushwa wanajua jinsi inaharibu maendeleo
in Africa njia rahisi kuwa billionaire ni kuwa mwana siasa kwa sababu huku kuna rushwa na hili mama 100 kaliweka wazi tena hadharani
Lkn nchi nyingne na wenye akili kuliko wewe brother mjinga wanakemea viongozi weny rushwa wanataka uadilifu.
Binafsi kuona unatetea rushwa naumia, bora ukae kimya.
Next time uweke namba yako wakujue kbsa
Mwanamume lazima atafute pesa hilo ni jukumu tulilopewa hata kwenye vitabu vitakatifu.
Utatunzaje familia yako ikiwa hutaki kufanya kazi uingize kipato?
Hata wakàti wa Nyerere upigaji ulikuwapo tofauti ni dimension. Hata wakati wa "shujaa feki" mwendazake watu walipiga wakiongozwa na mwenyewe.Tatizo upigaji kwa wachache umeongezeka, huku maisha ya wengi yakiendelea kudidimia. Katika hili, ajiandae tu kusikia kelele kutoka kila kona ya nchi.