Kosa la Rais Samia ambalo watanzania wengi hawalitaki ni hili

"Kosa" lingine la Samia ni kuacha mikutano ya vyama vya upinzani iendelee kwa na kuruhusu uhuru wa kutoa maoni kwa mujibu wa Katiba na sheria ya nchi. Vitu hivi viwili mtangulizi wake aliviogopa kuliko tunavyo ogopa ukoma.

Lakini uvumilivu wake wa kukosolewa na matusi ndiyo unaomfanya awe Rais bora kabisa. Maana yule kichaa angekuwa hai sijui leo Tanzania ingekuwa nchi ya namna gani
 
Nikisoma comments kama hizi huwa nacheka sana.Watu kama ninyi nawaona aidha ni wajinga sana au mnatetea uovu.

It is a fact kwamba Shetani ukimuabudu anakutajirisha.Na alimuambia haya hata Bwana Yesu.So because Freemasonry is Satan worship,if you are in Freemasonry utatajirika,na Freemasons wenyewe wanakiri hilo,unabisha nini.

Na kwani si kweli kwamba Shetani huyo huyo through witchcraft anatajirisha watu,and he admits it,na watu wenyewe wanakiri.Sioni basis kabisa ya ubishi wako.

Ni hivi mkuu,utajiri wa kuhangaikia mwenyewe can never be excessive.Utajiri mkubwa no doubt about it una misingi aidha ya dhuluma, ushirikina au uovu mwingine kama wizi, uuza ngada etc.etc.The Bible and history of very reach people shows this very clearly.Usitetee uovu mkuu
 

Shetani Yeye utajiri kautoa wapi Mkuu?
 
Shetani Yeye utajiri kautoa wapi Mkuu?
Shetani kazi zake ni kuiba,kuua na kuharibu.So Anaweza kuibia wengine kwa kutumia China ulete akakuletea wewe au akatumia agents wake waka-print excessive money,iwe US $ or whatever wakakuletea.
 
Umeenda OP kabisa kwenye hili umejitungia swali mwenyewe na umeingia chakamwenyewe...ni kivumbi.
 
Shetani kazi zake ni kuiba,kuua na kuharibu.So Anaweza kuibia wengine kwa kutumia China ulete akakuletea wewe au akatumia agents wake waka-print excessive money,iwe US $ or whatever wakakuletea.

Wakati shetani anaiba Mungu anakuwa wapi?Kwa nini asimzuie asiwaibie viumbe wake?

Siku ukigundua Mungu ndiye huyohuyo shetani ni kipi utafanya?
 
Ndio maana wenye AKILI KUBWA tunataka KATIBA MPYA ili ujinga kama huo wa wachache kula Fedha za UMMA ukomeshwe
Kwa hiyo katiba mpya ndio itakuja na takukuru mpya au...tuliza akili mkuu.
 
JPM alikubalika na wengi Kwa kuwa alijaribu kuwafanya maskini na matajiri wawe kitu kimoja

Matajiri waliishi kama mashetani
 
Kwa hiyo unataka kusema hakuna wezi wa kodi zetu na wakwepa kodi Kuna wapambanaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…