Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

Maajabu ya mwaka haya!

Kumbe huwa unaandika sentensi zaidi ya moja 😂.
 
Sahihi kabisa. Tatizo ni CCM, pia asisahau kuwa akikata mizizi, shinda na matawi vitakauka vyenyewe.
 
Sahihi kabisa. Tatizo ni CCM, pia asisahau kuwa akikata mizizi, shinda na matawi vitakauka vyenyewe.
Ni kweli kuwa tatizo la msingi ni CCM.

Lakini hakuna CCM bila watu.

Kwa hiyo, kwenye haya mauaji yaliyotokea, kwenye huu utekaji unaoendelea sasa hivi, kwenye huu ubambikiwaji wa kesi za uhaini uliopo, na kwa ujumla hali mbaya ya demokrasia iliyopo sasa hivi, mtu anayewajibika moja kwa moja ni Samia.

Samia hawezi kukwepa kuwajibika kwa damu aliyoimwaga.
 
Kiranga, umemaliza! Nchi hii imeanza kuharibikiwa na anayeitwa Baba wa taifa Nyerere, na sifa zote anazopewa, lakini jinsi alivyoijenga nchi katika kuendesha siasa, ndio umetufikisha hapa tulipo! Viongozi wote wa CCM wanacheza hapo hapo tu! Na wanajua maana ya Reform, ndio maana hawataki kuisikia kabisa.
 
Alijenga MIIKO YA UONGOZI, MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA na AZIMIO LA ARUSHA.

Wamefuta zote.

Kubadilisha hayo mengine nini kinazuia??

Mnaomlaumu Nyerere aliyetoka madadakani mwaka 1985 na kufafiki mwaka 1999 ni MAJUHA na WAPUMBAVU.
 
Naona hujanielewa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…