Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

😂😂😂😂

Unaweza kuta MELO ndio Jasusi Namba 1 linawachora tu na kukusanya taarifa zote huku linazuga linatetea DEMOKRASIA na HAKI ZA BINADAMU 😎

Mie nipo pale nasubiri hukumu yangu ya kukatwa kichwa maana sina pa kukimbilia..... 😃😃😃 bora Nyani Ngabu yuko zake uRaya 😀😀😀

cocastic jiandae kuvunjwa ugokoo kwa kosa la kumsimanga chalamila 😃😃

Cc: Lamomy Extrovert Mbaga Jr
 
CCM haitashinda bali itajitangaza mshindi. Ni masikitiko makubwa jinsi ''kila mtu'' anavyosema Samia anapendwa na amefanya mengi lakini bado wanaogopa uchaguzi huru!
 
Mna
MNatongoza tongoza wadada hovyo huko DM ndio maana your cover is being blown up very easily. Otherwise being anonymous is possible. Just stick to rules of the game.
 
Unauliza makofi polisi,kwamba ulifikiri Max ni raia mwenzetu? Wake up from that big deep sleep my Brother hiki kijiwe chake cha gahawa na utakuta ana ID zake feki kibao tu humu za kuchokonoa jambo wanapohitaji infos Mimi nilisanuka kipindi kile cha Uncle nikasema "Kweli Trust No Buddy"
 
Yaani huu ni Uchaguzi Mkuu wa 13 Tanzania, lakini watu wana porojo kibao. Nchi hii ni imara na itaendelea kuwa imara. Tunakunywa Konyagi tunaendelea kunywa raha mustarehe hadi Serikali Mpya ya CCM itakapoingia madarakani!
Kuna starehe gan kwenye konyagi mkuu?
 
Mungu ndiye anatawala. Akiamua jambo hakuna cha TISS wala Deep state wala nani!
 
Mwamba kwa miaka 20 pale Ufipa 😂😂
 
Mimi nina hakika CCM hatuwezi kuhalalisha uchaguzi Mkuu kwa kutumia CHAUMA na ACT Wazalendo.

Jumuiya za ndani ya nchi na za kimataifa zinakitambua CHADEMA kuwa ndiyo Chama kikuu Cha upinzani.

Jumuiya hizo pia zinatambua kuwa taratibu za uchaguzi haziko sawa.

Ikumbukwe kuwa Magufuli,pamoja na ubabe wake,lakini alihakikisha Chadema kinashiriki uchaguzi Mkuu.Hii ni kwa sababu katika nchi yoyote jambo linaloangaliwa kwa unzito mkubwa na wananchi na Jumuiya za kimataifa ni uchaguzi Mkuu.

Tujiulize kama nchi tunaweza kumudu uchaguzi utakaogharimu fedha yote halafu ustambuliwe na Watanzania walio wengi na Jumuiya ya kimataifa.Ni sawa na kupanda shamba kubwa na usivune chochote.

Madhara yake ni kutengwa na Jumuiya ya kimataifa,kukosa uwekezaji,kukosa misaada na mikopo.Hatuwezi kumudu kujiendesha bila misaada au mikopo.
Mapato yetu bado yako chini mno.
 
..ZINGATIA SINGLE MOTHER ANAISHI NA WATOTO WAKE NA HIYO NDIO MAANA YA SINGLE MOTHER KULEA WATOTO BILA MZAZI MWENZA....NIKO TAYARI KUSAHIHISHWA.
 
Ukizungumzia "Uchaguzi huru na haki" tambua Hilo sio MIONGONI mwa "maslahi ya taifa" . USIJITIE MGUMU KUELEWA
Mbona mara hii unajigeuza kuwa mbuzi. Mimi nilidhani unacho kitu kichwani, kumbe ni mtupu?
Sasa wewe tueleze hayo "maslahi" unayoyajuwa wewe ni yapi?
Hujui kuwa "maslahi" yanaanzia kwa watu/wananchi?
Kukariri vikaratasi vya hivyo vikozi vifupi vifupi ndiko unadhani kunakufanya wewe ujue "maslahi" ya taifa ni kitu gani?

Hopeless Kabisa!
 
TISS yenyewe bado ina muundo wa kikomunist, yaani dola bado ipo kikomunist,kilichobadilika ni mazingaombwe ya demokrasia
Na unajuwa wazi kwamba Samia Suluhu Hassan na GENGE lake hawapo popote katika mifumo hiyo uliyoitaja wewe, au hujui?
 
Mkuu, Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye "espionage" ya hali ya juu barani Afrika.

Isipokuwa kama aelezavyo DeepPond mazee wametulizwa na watunzwa na kutuzwa vema.

Lakini "Espionage" ipo "intact" palepale.
Acheni MZAHA vijana wa CCM, nchi ambayo umasikini na njaa bado ni tatizo kubwa, inapata wapi pesa za kuwekeza kwenye "intelejensia" ambayo kimsingi inahitaji very delicate and expensive technology?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…