Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

Ukizungumzia "Uchaguzi huru na haki" tambua Hilo sio MIONGONI mwa "maslahi ya taifa" . USIJITIE MGUMU KUELEWA
Tulikuwa tunakwenda vizuri, lakini sasa naona unajichanganya mwenyewe. Soma tena pale mahali pa "Amiri Mkuu" ulivyoandika huko juu. Hayo maneno sasa unayakana?

Na haya mambo ya "maslahi ya taifa..."; hivi huwa mnaelewa maana ya maneno hayo kweli mnapo yatumia?

Ni maslahi gani ya taifa yanayokataza waTanzania wasiwachague viongozi wanaowataka wao wawaongoze kwa kuwachagua wao katika uchaguzi ulio HURU na HAKI?
 
Unaoyatarajia hayapo na hayawezekani kutokea

Maana tayar ofisi kuu ya idara isharudishwa ofisi ya raisi ikulu(kwa muswada uliopitishwa na bunge recently).

Kwa Sasa,
kuanzia watumishi WA idara Hadi familia na washirika WOTE wako under presidential surveillance 24hrs

(Fuatilia vzur reshuffle iliyofanyika hivi karibuni pale HQ,

heads wengi (almost wote) wametolewa uraiani na kuhamishiwa makazi mapya waliyoandaliwa na mom wakiwa na family zao, wamepewa gari mpya Hadi furniture mpya.

Majengo mengi ya gov yaliyokua ofsin za serikali baada ya kuhamia dom kuanzia posta had magogoni, state imeyachukua na staffs wengi WA idara ndo wamepewa kuishi humo.

Hivi unadhani mom, anawapenda Sana kitengo? Jibu ni hapana, amewasogeza karibu na yeye ili aweze kuwamonitor.

Wengi wao kwa Sasa, wako bugged to the teeth, na ukibainika unakengeuka, unashughulikwa underground, Hata KELELE hupigi.

Mom sio mtu wa misifa Wala kujikweza kama alivokua mshua, mom anakushughulikia afu anakausha like nothing happened. Hata ukitoka kushughulikiwa, unakufa nalo rohoni (husemi Wala kulalamika popote).

Yaliyotokea kwa nape na kinana kumteta jiwe behind lines ndo ilikua wake-up call kwa mshua kuanzisha move ya huo muswada wa kuirudisha idara ofs ya rais ikulu,

mom alivoingia na kuona upresdaa wake uko mashakani na unalegalega, akaamua kuupitisha mswada moja kwa Moja bila kupepesa macho.

Kwa sasa, hakuna kitu idara itafanya mama asijue, all heads Kwa sasa WOTE wanaripoti Kwa mother directly iwe foreign au domestic.
Huu ni mtazamo wako..hakuna kisichowezekana.
 
Amepunguza tu mashaka lakini bado hajatibu tatizo kuu!

Ukitaka kuwa salama fuata maelekezo ya waliokupa dola na sio ujifanye smart kuliko dola!!

Sasa idara ina compromise na Hadi mashirika ya idara za kimataifa Sasa anaweza ku monitor CIA,Mossad,M16 na wengineo!!?

Atahangaika na panzi anaowateua yeye je wale mafia walio nje ya nchi wanaoratibu yanayotokea huku atawaweza!!?

Kile kilichopangwa kutokea kitatokea hata kama atainyumbua serikali yake Hadi January ili aendelee kuwa amiri jeshi kitatokea TU wala hakitachelewa kama wamepanga yatokee!!

CCM na idara imekuepo kabla ya urais wake 2021,huwezi ku was outsmart waliokuwepo enzi enzi!!
"Wanaozijua becoin za nchi sio Diwani,Hayati china Wala mama"de'levis anaandika!!

Kuhusu mkurugenzi wa tiss wapo wanne ambao hawajui na hawripoti kwake Wala kwa Raise na wapo nje ya nchi!!anafafanua de'levis!!

ULINZI PEKEE KWAKE NI KUFUATA MAELEKEZO,NA KAMA ANAHISI AMEKENGEUKA AWATATFUTE AWAELEZE NA AWAACHIE Wafanye yao wanayoyataka!!

Nawaza!
 
Sijapotoka mkuu,

Wee ndio unaepotoka Kwa kuamini kua serikali yetu tayar ilishaachana na mfumo wa UCommunist.

Ni sawa na uoe single mother,
Kafu Kila wikend akuage anaenda kumtembelea mzazi mwenzie.

Afu nawe uamini kua anaendaga tu kujadili maendeleo ya Mtoto wao, Wanajiheshimu, hawavuki mipaka
😂😂😂
 
Anajitoa ufahamu tu, kwani Hajui Rais aliapa Kuilinda Katiba ya JMT na pia aliapa Kuilinda Katiba ya Chama chake kuhakikisha kinabaki madarakani ni mwenyekiti gani wa CCM atakaeruhusu Chama kimfie madarakani kwake yaani awasaliti wenzake? Ilihali organs zote zipo chini yake? Never
Ukizungumzia "Uchaguzi huru na haki" tambua Hilo sio MIONGONI mwa "maslahi ya taifa" . USIJITIE MGUMU KUELEWA
 
Unaoyatarajia hayapo na hayawezekani kutokea

Maana tayar ofisi kuu ya idara isharudishwa ofisi ya raisi ikulu(kwa muswada uliopitishwa na bunge recently).

Kwa Sasa,
kuanzia watumishi WA idara Hadi familia na washirika WOTE wako under presidential surveillance 24hrs

(Fuatilia vzur reshuffle iliyofanyika hivi karibuni pale HQ,

heads wengi (almost wote) wametolewa uraiani na kuhamishiwa makazi mapya waliyoandaliwa na mom wakiwa na family zao, wamepewa gari mpya Hadi furniture mpya.

Majengo mengi ya gov yaliyokua ofsin za serikali baada ya kuhamia dom kuanzia posta had magogoni, state imeyachukua na staffs wengi WA idara ndo wamepewa kuishi humo.

Hivi unadhani mom, anawapenda Sana kitengo? Jibu ni hapana, amewasogeza karibu na yeye ili aweze kuwamonitor.

Wengi wao kwa Sasa, wako bugged to the teeth, na ukibainika unakengeuka, unashughulikwa underground, Hata KELELE hupigi.

Mom sio mtu wa misifa Wala kujikweza kama alivokua mshua, mom anakushughulikia afu anakausha like nothing happened. Hata ukitoka kushughulikiwa, unakufa nalo rohoni (husemi Wala kulalamika popote).

Yaliyotokea kwa nape na kinana kumteta jiwe behind lines ndo ilikua wake-up call kwa mshua kuanzisha move ya huo muswada wa kuirudisha idara ofs ya rais ikulu,

mom alivoingia na kuona upresdaa wake uko mashakani na unalegalega, akaamua kuupitisha mswada moja kwa Moja bila kupepesa macho.

Kwa sasa, hakuna kitu idara itafanya mama asijue, all heads Kwa sasa WOTE wanaripoti Kwa mother directly iwe foreign au domestic.
Tiss ipo chini ya ofisi ya Rais miaka yote, labda wewe ndio ulikuwa hujui.
 
Kiuwajibikaji, ndio kilikua office ya raisi.

Ila kiutendaji, kilikua kinasimamiwa na wizara ya ulinzi

Hii ilileta Sana contradiction, hasa katika kuunganisha utandaji na uwajibikaji ktk shughuli wazifanyazo tiss.

Maana Waziri WA wizara husika alkua Hana mamlaka yoyote Kwa watumishi WA ngazi za juu za tiss, na Mara kibao walivimbiana.

Hata bajeti ya tiss ilkua haitokani na bajeti ya wizara ya ulinzi, Bali ilitoka kwenye mengineyo ya bajeti ya ikulu.

Pia, Kuna watumish WA tiss walikua wanaripoti Moja Kwa moja kwa waziri ulinzi, na wengine Kwa mawaziri wengine kienyeji.

Yule mama aliyetoka pale ulinzi, aliruhusu uhuru WA manyani kwa maofisa wengi wa tiss, kias kwamba idara ya ulinz wa rais iliyumba Sana.
(Siri za ikulu zilivuja Sana)

Hii ilileta Sana shida
Unachanganya mambo, JWTZ wana kitengo chao cha usalama hawapo chini ya DGIS.

Tiss wa Eagle house wanaojurikana rasmi wana kitengo chao pia cha ulinzi wa Rais kinaitwa PSU.

Tiss wanareport kwa Rais direct kwa kwa channel ya kuanzia kwa DSO kwenda kwa RSO kuna Zonal Dar then kwa DGIS everyday, ndio maana ya vikao vya kila siku vya morning call.

Check ur facts.
 
Ni CCM iliyobaki na muundo wa Kikomunisti, amoja na kwamba utendaji na utekelezaji wa mambo siyo wa kikomunisti, kama ilivyo kwa CCP (China Communist Party).
Kilichobaki sasa ni chama kinacholindwa na hao TISS na mitutu ya Bunduki dhidi ya vyama vya upinzani na waTanzania kwa ujumla.
CCP, hata siku moja hawaendi mitaani kuwahonga wananchi baiskeli na mifuko ya matakataka yenye picha ya Xi.
TISS yenyewe bado ina muundo wa kikomunist, yaani dola bado ipo kikomunist,kilichobadilika ni mazingaombwe ya demokrasia
 
Tabia ya ulawiti au uuaji inaweza kua ni sifa ya mtu flani,

Ila suala la kwamba ni sifa nzuri au sifa mbaya, inategemea na mambo kadha wa kadha:-

1. Itategemea mfanyaji analifanya Kwa maslahi ya nani. Kama Hayo maslahi hayakuhusu, laZima tu utachukia.

2. Wewe mpokeaji umelipokea Kwa mtizamo UPI, Kwa wanasiasa walio Wengi, mwesingwa kwao ni hero, mlio nje ya siasa hamuwezi kuelewa..

Kama hujui siasa za kikomunist zinaoperate vipii, utamchukia Bure mwesigwa au mtoa mada
au wewe ndio Mwesigwa, nimekufutilia yaani toka mwanzo unamsifia gmhuyo jamaa, inawezekana mdio wewe
 
Back
Top Bottom