Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

Eti deep state, takataka,TZ hakuna Strong intelligence hamna kabsa, yaani TISS wako nyuma kwenye Artificial intelligence, computer software engineering, cyber security,IT nakadharika, hao kina Mwesigwa waliosoma UDOM eti ndo vichwa TISS, anyway

karibu Illinois -USA
Sidhani kama unaelewa vizuri maana halisi ya 'Deep State'. Je, unaelewa uhusiano uliopo kati ya Artificial intelligence, computer software engineering, cyber security,IT na dhana ya Deep State?
 
Kiuhalisia,
Mwesigwa tangu amerudi bongo, ameiharibu sn Tiss kwa kuipoliticize mno.

Role yake ndani ya tiss imekua beneficial Sana Kwa watawala, ndo maana umeona akipanda vyeo kwa Kasi Sana, na ndo head of politics in tiss na ndo mshauri mkuu WA mama in politics.

Ila kumlaumu yeye pia ni kumuonea maana nae ni zao la uvccm, Tena uvccm kindaki-ndaki, (UKOO WAKE WOTE).

Mwesigwa anaifanyia Kazi ideology aliyozaliwa na kukuzwa nayo

Mwesigwa kasomea politics, ni expert & experienced in politics, anaipenda sn politics na anaipenda Sana CCM (from his heart).

Mtu Kama uyo ni asset kubwa Sana Kwa viongozi WA CCM na nchi wenye lengo la kusalia madarakani na ndo think tank ya pale TISS Kwa Sasa, (He's in touchable).
Iv Deep state ni TISS? au TISS ni Deep State ?
 
Umefunga ukurasa mkuu. Kila mtu aende akajifunze siasa za kikomunist zinaendaje, twende China 🇨🇳, Russia 🇷🇺, North Korea nk
Je, ni sahihi kusema kwamba siasa za kikomunisti za China 🇨🇳, Russia 🇷🇺, na Korea Kaskazini zinavumilia au kustahimili ufisadi, wizi wa mali ya umma, na rushwa kama ilivyo katika baadhi ya mifumo ya kisiasa ya Tanzania.
 
Amepunguza tu mashaka lakini bado hajatibu tatizo kuu!

Ukitaka kuwa salama fuata maelekezo ya waliokupa dola na sio ujifanye smart kuliko dola!!

Sasa idara ina compromise na Hadi mashirika ya idara za kimataifa Sasa anaweza ku monitor CIA,Mossad,M16 na wengineo!!?

Atahangaika na panzi anaowateua yeye je wale mafia walio nje ya nchi wanaoratibu yanayotokea huku atawaweza!!?

Kile kilichopangwa kutokea kitatokea hata kama atainyumbua serikali yake Hadi January ili aendelee kuwa amiri jeshi kitatokea TU wala hakitachelewa kama wamepanga yatokee!!

CCM na idara imekuepo kabla ya urais wake 2021,huwezi ku was outsmart waliokuwepo enzi enzi!!
"Wanaozijua becoin za nchi sio Diwani,Hayati china Wala mama"de'levis anaandika!!

Kuhusu mkurugenzi wa tiss wapo wanne ambao hawajui na hawripoti kwake Wala kwa Raise na wapo nje ya nchi!!anafafanua de'levis!!

ULINZI PEKEE KWAKE NI KUFUATA MAELEKEZO,NA KAMA ANAHISI AMEKENGEUKA AWATATFUTE AWAELEZE NA AWAACHIE Wafanye yao wanayoyataka!!

Nawaza!
Serikali ndani ya Serikali (Deep State), Dola (State/Governmen) & TISS (Usalama wa Taifa)
 
Serikali ndani ya Serikali (Deep State), Dola (State/Governmen) & TISS (Usalama wa Taifa)
"Kitambaa cheusi ndani ya Bunge la marekani"!!!kurefusha muda wa vikao ndani ya jengo hilo hapo jana!?Ina trigger kwa kiasi gani funga na fungua semi hapo mwanzo wa hii paragraph!!?
 
Rostam,Azam group, asas et al huwawezi watoa kwenye Equation as far as deepstate is concerned.
 
Nimeona jinsi Dodoma ilivyotengenezwa kwa ajili yao wengi wapo kule na mahekalu ya maana.

Siku zijazo Dodoma itakuwa yatawaliwa na wale elites tu security organs na vyombo vingine nyeti.

CCM itashinda uchaguzi ujao lakini ukweli wabakia kuwa palepale, hautakuwa uchaguzi huru na wa haki bali ni kwa maslahi ya wachache.
Umempa ukweli mchungu ambao hataki kuusikia
 
Mkuu, Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye "espionage" ya hali ya juu barani Afrika.

Isipokuwa kama aelezavyo DeepPond mazee wametulizwa na watunzwa na kutuzwa vema.

Lakini "Espionage" ipo "intact" palepale.
Anaibeza tz kwasababu analala vizur, Ila ukizungumzia ukanda huu WA EAC, Tz Iko mbali Sana, Hilo Hadi majirani wanalijua
 
😁😁😁😁

Hapa ni sawa na kusema kwamba wana tufanyia divide and rule , Yaani wao kazi Yao ni kupiga Ngoma tu ili sisi tuicheze
Sahii kabisa, walipotupa uhuru.

Walihakikisha tunapata uhuru WA bendera TU, Ila Siri Yao kubwa ya Kuendeleza exploitation imefichwa kwenye democracy.

Democracy IPO ili kuwamonitor viongozi walioko madarakani, kuhakikisha wanatekekeza maslahi yao

Ukikengeuka, unawekewa vikwazo uku rivals wako kisiasa wanawezeshwa ili wakung'oe madarakani,na unapigwa chini.
 
Tatizo Umereply Kwa jazba Sana mkuu,
Mbona mara hii unajigeuza kuwa mbuzi. Mimi nilidhani unacho kitu kichwani, kumbe ni mtupu?
Sasa wewe tueleze hayo "maslahi" unayoyajuwa wewe ni yapi?
Hujui kuwa "maslahi" yanaanzia kwa watu/wananchi?
Kukariri vikaratasi vya hivyo vikozi vifupi vifupi ndiko unadhani kunakufanya wewe ujue "maslahi" ya taifa ni kitu gani?

Hopeless Kabisa!
 
Sahii kabisa, walipotupa uhuru.

Walihakikisha tunapata uhuru WA bendera TU, Ila Siri Yao kubwa ya Kuendeleza exploitation imefichwa kwenye democracy.

Democracy IPO ili kuwamonitor viongozi walioko madarakani, kuhakikisha wanatekekeza maslahi yao

Ukikengeuka, unawekewa vikwazo uku rivals wako kisiasa wanawezeshwa ili wakung'oe madarakani,na unapigwa chini.
Exactly uko sahihi kabisa ,, Wana kuambia umekiuka mkataba huu na huu, Umeshindwa kulinda haki za raia na haki za kibinaadamu so haufai kutawala , Wana kupiga chini faster ,

Usipo kubali kuwapa Rasilimali wanazo zitaka Wana kuletea Rebels nchini kwako nchi inakuwa haikaliki Kwa amani na kama hauto kuwa tayari kuwa sikiliza hao rebels watakutoa madarakani Kisha Wana wapa power wale ambao watakuwa tayari kuishi chini ya matakwa yao
 
Ni anonymous kwakua hawana shida na wewe siku wakiwa na SHIDA na wewe utajua hujui
Mna

MNatongoza tongoza wadada hovyo huko DM ndio maana your cover is being blown up very easily. Otherwise being anonymous is possible. Just stick to rules of the g
 
Je, ni sahihi kusema kwamba siasa za kikomunisti za China 🇨🇳, Russia 🇷🇺, na Korea Kaskazini zinavumilia au kustahimili ufisadi, wizi wa mali ya umma, na rushwa kama ilivyo katika baadhi ya mifumo ya kisiasa ya Tanzania.
Haiwezekani hao jamaa ume mention wako serious sana na mali za umma tofauti kabisa na hapa kwetu

Huku kwetu watuwanajali matumbo yao, familia zao na small circles zinazowazunguka
 
Siasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali.

Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje?

Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya Newton. Ya kwanza, ya pili au ya Tatu.

Kuanzia leo nafikiri itakuwa ni wakati wa kuona uwezo na nguvu ya deep state kama kweli dhana hiyo ipo kwenye siasa za nchi yetu.

Wabillah Tawfiq

Hivi lini kulikuwa na uchaguzi tz? Unafikiri Huo unaokuja unaitwa uchaguzi? Fikiria tena
 
Unauliza makofi polisi,kwamba ulifikiri Max ni raia mwenzetu? Wake up from that big deep sleep my Brother hiki kijiwe chake cha gahawa na utakuta ana ID zake feki kibao tu humu za kuchokonoa jambo wanapohitaji infos Mimi nilisanuka kipindi kile cha Uncle nikasema "Kweli Trust No Buddy"
Kwa Kiswahili chetu cha lahafudhi ya kinyiramba huwa tunashangaaga na kusema Kumbiii !!!!??? 😳🙄
Eniwei maisha yanaendelea 😳 !!🤣🤣
 
Back
Top Bottom