Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,636
- 2,020
Hakuna deep state Tanzania na wala haikuwahi kuwepo, ni MAKADA wa CCM tu hao.
Umenena ukweli mtupu, huwa mi nashangaa sana pale watu wanapodhani kwamba nchi yetu ina espionage ya hali ya juu sana, ni kwamba nchi yetu bado sana sana ndiyo maana Kuna mambo mengi ya kifisadi yanaendeleaEti deep state, takataka,TZ hakuna Strong intelligence hamna kabsa, yaani TISS wako nyuma kwenye Artificial intelligence, computer software engineering, cyber security,IT nakadharika, hao kina Mwesigwa waliosoma UDOM eti ndo vichwa TISS, anyway
karibu Illinois -USA
Hahahaha mzee wa kububujikwa na machozi....nimetonywa hapa kwamba Lucas Mwashambwa ni mjumbe wa DEEPSTATE.
Mama si mchezo....ukijichanganya umepotea mazima!!!!!Unaoyatarajia hayapo na hayawezekani kutokea
Maana tayar ofisi kuu ya idara isharudishwa ofisi ya raisi ikulu(kwa muswada uliopitishwa na bunge recently).
Kwa Sasa,
kuanzia watumishi WA idara Hadi familia na washirika WOTE wako under presidential surveillance 24hrs
(Fuatilia vzur reshuffle iliyofanyika hivi karibuni pale HQ,
heads wengi (almost wote) wametolewa uraiani na kuhamishiwa makazi mapya waliyoandaliwa na mom wakiwa na family zao, wamepewa gari mpya Hadi furniture mpya.
Majengo mengi ya gov yaliyokua ofsin za serikali baada ya kuhamia dom kuanzia posta had magogoni, state imeyachukua na staffs wengi WA idara ndo wamepewa kuishi humo.
Hivi unadhani mom, anawapenda Sana kitengo? Jibu ni hapana, amewasogeza karibu na yeye ili aweze kuwamonitor.
Wengi wao kwa Sasa, wako bugged to the teeth, na ukibainika unakengeuka, unashughulikwa underground, Hata KELELE hupigi.
Mom sio mtu wa misifa Wala kujikweza kama alivokua mshua, mom anakushughulikia afu anakausha like nothing happened. Hata ukitoka kushughulikiwa, unakufa nalo rohoni (husemi Wala kulalamika popote).
Yaliyotokea kwa nape na kinana kumteta jiwe behind lines ndo ilikua wake-up call kwa mshua kuanzisha move ya huo muswada wa kuirudisha idara ofs ya rais ikulu,
mom alivoingia na kuona upresdaa wake uko mashakani na unalegalega, akaamua kuupitisha mswada moja kwa Moja bila kupepesa macho.
Kwa sasa, hakuna kitu idara itafanya mama asijue, all heads Kwa sasa WOTE wanaripoti Kwa mother directly iwe foreign au domestic.
Nimeona jinsi Dodoma ilivyotengenezwa kwa ajili yao wengi wapo kule na mahekalu ya maana.Hili la kuwaachia viongozi wenye maamuzi na turufu muhimu wale ili watamani aendelee kubakia kama rais liko wazi. Na ujanja mwingine ni kuhonga wale watu wenye influence kama viongozi wa dini na vyama vya upinzani. Mtu kama Zitto tayari ameshahakikishiwa viti kadhaa. Mbowe naye alishawekwa sawa ila Lissu asiyehongeka ndiye akatibua. Ujanja mwingine ni ule wa kumtumbua kiongozi halafu baada ya muda anamrudisha sehemu nyingine. Hili linafanya kusiwepo na uasi kwa wale anaotofautiana nao kwa sababu ya kutegemea kurudishwa iwapo watakuwa wavumilivu hata pale wanapotumbuliwa. Ila haya nayo yatafika mwisho kwa sababu hao viongozi wenzake wakishaiba fedha za kutosha automatically watataka madaraka. Hii ni nature ya binadamu wengi.
Mkuu, Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye "espionage" ya hali ya juu barani Afrika.Umenena ukweli mtupu, huwa mi nashangaa sana pale watu wanapodhani kwamba nchi yetu ina espionage ya hali ya juu sana, ni kwamba nchi yetu bado sana sana ndiyo maana Kuna mambo mengi ya kifisadi yanaendelea
Wengi wachanganya sana maana halisi ya neno Maslahi ya Taifa. Pia kuna maslahi ya Umma.Ukizungumzia "Uchaguzi huru na haki" tambua Hilo sio MIONGONI mwa "maslahi ya taifa" . USIJITIE MGUMU KUELEWA
Sure indeed 😁Ukingia mtandaoni unaweza zani nchi IPO kwenye taharukii,,afu ukiwa KITAA mambo ni normal watu wanakula konyag na kupiga mishe hawana mpango na no reform wala kutiki
Nakuelewa sanaKwa anachokifanya Kwa Sasa,
Ndicho wenye mamlaka walimtuma kwenda kukisomea ughaibiun,
jamaa keshahitimu na kesharudi home na anaderiver jinsi waliomsomesha wanavyotaka.
Sasa Nyie WA tabaka jingine,
Labda nanyi tafuteni mtu wenu mkamsomeshe uko ughaibuni.
Nae aje pale TISS kumcounter-deriver mwesigwa.
Kitu ambacho ni nearly impossible Kwa mwendo wa siasa za nchi unapoelekea
😁😁😁😁🙌Sijapotoka mkuu,
Wee ndio unaepotoka Kwa kuamini kua serikali yetu tayar ilishaachana na mfumo wa UCommunist.
Ni sawa na uoe single mother,
Kafu Kila wikend akuage anaenda kumtembelea mzazi mwenzie.
Afu nawe uamini kua anaendaga tu kujadili maendeleo ya Mtoto wao, Wanajiheshimu, hawavuki mipaka
😁😁😁😁Wanaoipigania democracy ndo hao hao waanaokuletea check&balance Kwa ajili ya kulinda maslahi yao nchini kwako.
Mf:
utaskia EU wanachangia kwny bajeti yetu, wakati huo huo,hao ndo wanaowadhamini wakuu wa vyama vikuu vya upinzani.
Wapinzani wakionewa wanakimbilia balozi za nchi za eu (eg Belgium),
Ila pia serikali wakitaka mikopo wanakwenda huko huko walikotoka wenzao (Belgium embassy)
Ukitazama Kwa kina hiyo democracy haipo that's why wao pia wamesha waumiza watu wengi sana waliokuwa wanaipinga system Refer -- kifo Cha Malcom x And the likesNakuelewa sana mkuu. Tumelishwa matango pori kuwa Marekani inaendeshwa kwa kuzingatia Democracy kumbe ni corporate oligarchy.
Kuna UDOKOZI, WIZI NA UJAMBAZI. Ni kweli free election haipo ulimwengunu na hili ni sababu ya imperfection by nature za Wanadamu.Mifumo yote ina limitations - sababu ya ubinadamu.Hiyo free and fair election?
Unazungumzia ya nchi gani mkuu?
Uwe unatoa mifano kabisa ili tusipotoshane, zitaje nchi zenye free and fair election, Kisha turejee definition halisi ya neno "democracy"
Nikutoe TU tongo-tongo,
Hakunaga kitu kitu kinaitwa free&fair election katika hii dunia tuliyomo.
Mkuu we juchanganye tu kwamba jf ni anonymous ?Unachopaswa kufahamu mkuu,
Mama ni taasisi, na taasisi iko pale pale Kwa maslahi ya taifa, not otherwise
Hayo mengine yakufikirika unayoyazungumzia, mi siyajui.
Labda Wewe mwnywe ulete ushahidi mezani Maana jf ni open forum and anonymous
(where we dare to talk openly)
Nafahamu maana ya Deep State.Tafadhali
Unajua maana ya deep state?
Wakati JF ina wapuuzi tu, ambao unaona ni watanzania washamba wenye loyalty na nchi jirani.
They can’t even tell kwamba wana acha tracę ya pattern zao.
Huko kusema nchi ina maafisa usalama acha kujifurahisha.
Hakuna kitu zaidi ya ujinga mtupu, at senior level; trust me.
Kama hivi tu ndiyo unawaza...!Nawaza!
Hakika mkuuUkitazama Kwa kina hiyo democracy haipo that's why wao pia wamesha waumiza watu wengi sana waliokuwa wanaipinga system Refer -- kifo Cha Malcom x And the likes
Hakunaga democracy Duniani maana binaadamu ni kama kiumbe wengine sote tuna tawaliwa na tamaa iliyovuka mipaka