DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Na ndio ukweli na uhakika, pamoja sn mkuu👍Umeandika kweli tupu, nina ithibati ya baadhi ya uliyoandika.
Na ndio ukweli na uhakika, pamoja sn mkuu👍Umeandika kweli tupu, nina ithibati ya baadhi ya uliyoandika.
Mpaka muda huu hajaingia bungeniSiasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali.
Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje?
Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya Newton. Ya kwanza, ya pili au ya Tatu.
Kuanzia leo nafikiri itakuwa ni wakati wa kuona uwezo na nguvu ya deep state kama kweli dhana hiyo ipo kwenye siasa za nchi yetu.
Wabillah Tawfiq

🙃 Haram, Abdul get the Rocks !
Kuna Act ame assent Rais mwaka 2023 na kupitia hio act kuna reform nyingi zimefanyika mojawapo ni Kuwa kutakuwa kuna Deputy DGIS wawili mmoja anatoka Bara mwingine anatoka Zanzibar, Pia Tiss imepewa jukumu la kuwalinda Viongozi wakuu Wa Nchi na Immediate family zao,
Ila pia Tiss imerudishwa Ofisi ya Rais na Wizara itabaki responsible kwa mambo ya Kibudget tu itafute uisome
Mpaka tuandae watu wetu wenyewe ndipo tutakuwa na Hali tunayohitaka. Hivi, Unatagemea Mossad wawape ilimu Kenya intelligence (KI) ambayo inaweza kuwafanya KI wajitegemee bila kuhitaji msaada wa Mossad Hata kama wamewalipa ada ya bajeti ya nchi ya miaka mitatu!? Lah hasha...!!...hivi! Au ni expert wa kuharibu na ukilaza?
Kama si gere...shusha huo uzuri huo hapa.......mzuri mara milioni moja ya kuliko hapa walipo.
Tulikuwa tunakwenda vizuri, lakini sasa naona unajichanganya mwenyewe. Soma tena pale mahali pa "Amiri Mkuu" ulivyoandika huko juu. Hayo maneno sasa unayakana?Unachopaswa kufahamu mkuu,
Mama ni taasisi, na taasisi iko pale pale Kwa maslahi ya taifa, not otherwise
Hayo mengine yakufikirika unayoyazungumzia, mi siyajui.
Labda Wewe mwnywe ulete ushahidi mezani Maana jf ni open forum and anonymous
(where we dare to talk openly)
😂😂😂😂😂😂Astaghafirurah!!
Kuna machawa wa CCM humu ni matokeo ya mimba kutungwa kwenye mambo ya namna hii na mikesha ya mbio za mwenge.
CCM ni baba wa uovu.
CCM ni laana.
Utakumbuka kilio cha mtu mzima sio?Sio Hitler, bali anafanya kile kinachotakiwa kufanya akiwa kama Raisi aliyeko madarakani
Uraisi ni magumu Sana hasa kama wanaokuzunguka wanaamini kua hautoshi kwny nafasi uliyopo na WAnahisi wanakumudu kukufanyia hujuma.
Tangu mwaka 2023 umeanza, mother anakitumikia kiti Cha uraisi Hata zaidi ya jiwe na hacheki na kima wa aina yoyote on her way.
UKIJICHANGANYA TU, KIMEKULAMBA
Maumivu yake utakwenda kulilia peke ako chooni na hakuna utakayemwambia Nini kimekupata
Hiyo ndo maana halisi ya kuwasogeza karibu ili kufanya monitoring.Anacho fanya bi tunu ni kuhakikisha walio ariund her wanakula na kushiba ,yani security wanao move na ekila sehemu wana pesa hatari saivi
Sawa nitaacha mkuu.Eti asije umaliza mwendo, acha kumtisha mwenzio😂😂
🙂🙂🙂Kwa kuhamisha magoli sikuwezi.Anyways, ni aibu ya kukiri kushindwa tu ila nadhani umejifunza.Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha ya ujamaa na ucommunist,
Ukibisha na Hilo Basi TU, umeamua kubisha
Hili la kuwaachia viongozi wenye maamuzi na turufu muhimu wale ili watamani aendelee kubakia kama rais liko wazi. Na ujanja mwingine ni kuhonga wale watu wenye influence kama viongozi wa dini na vyama vya upinzani. Mtu kama Zitto tayari ameshahakikishiwa viti kadhaa. Mbowe naye alishawekwa sawa ila Lissu asiyehongeka ndiye akatibua. Ujanja mwingine ni ule wa kumtumbua kiongozi halafu baada ya muda anamrudisha sehemu nyingine. Hili linafanya kusiwepo na uasi kwa wale anaotofautiana nao kwa sababu ya kutegemea kurudishwa iwapo watakuwa wavumilivu hata pale wanapotumbuliwa. Ila haya nayo yatafika mwisho kwa sababu hao viongozi wenzake wakishaiba fedha za kutosha automatically watataka madaraka. Hii ni nature ya binadamu wengi.Hiyo ndo maana halisi ya kuwasogeza karibu ili kufanya monitoring.
Refa katoa extra time hadi Agost 3. Muda huu watu huwa wanakomboa magoli hata matatu na kuongeza. Here we go with the so called deep state.Siasa huwa zinaweza kubadilika ndani ya wiki moja mambo yakawa zilongwa mbali zitendwa mbali.
Kutokana na changamoto za miradi ya kimkakati, deni la Taifa, vita ulimwenguni, kubanwa kwa ujamaa na mabepari n.k ngoja tuone uchaguzi wetu utakuwaje?
Tutajua tuku kwenye kanuni ipi ya mwendo ya Newton. Ya kwanza, ya pili au ya Tatu.
Kuanzia leo nafikiri itakuwa ni wakati wa kuona uwezo na nguvu ya deep state kama kweli dhana hiyo ipo kwenye siasa za nchi yetu.
Wabillah Tawfiq
ReformsRefa katoa extra time hadi Agost 3. Muda huu watu huwa wanakomboa magoli hata matatu na kuongeza. Here we go with the so called deep state.
Ni kweli China kuna maendeleo makubwa ila hiyo imetokana na zero tolerance kwa ufisadi, mafisadi wakibainika hunyongwa chap.Ila tusisahau CCM ya kule china (CCP) ndio imeiletea maendeleo makubwa Sana yote tunayoyaona kule china.
Kwa kiwango cha ufisadi ndani ya ccm hilo haliwezekaniUCommunist sio mbaya Kama ukisimamiwa vizur, Kwa malengo na uzalendo
Ni aibu nchi kuongozwa na wahuni na walio waadilifu kuwekwa kando rejea VP MpangoDeep state imepigwa kufuri na kufuri la kike
Uko sahii mkuuNi kweli China kuna maendeleo makubwa ila hiyo imetokana na zero tolerance kwa ufisadi, mafisadi wakibainika hunyongwa chap.
Kwa ccm ukisema unyonge mafisadi wataisha wote.
Hiyo ndiyo tofauti ya CCP na ccm
Kwa kiwango cha ufisadi ndani ya ccm hilo haliwezekani