Kwa hiyo Samia Suluhu Hassan kajihakikishia; atabaki madarakani kwa kuitumia hiyo TISS, waTanzania watake, au wasitake?Ile act yao ya 1996 ilimpa Minister Nguvu ya Kuoperate ndani ya Idara ila Hii act aliyo assent President Samia 2023 imeweka Clear kabisa kuwa Minister atakuwa responsible na issue za Budgetary na Mambo mengine ya Kisera tu.
Atawaua sana waTanzania safari hii wakati akitimiza lengo lake hilo.