Kuanza leo usiku mpaka Nov ndio tutajua kama nchi hii nayo ina Deep State au namna gani?

Ile act yao ya 1996 ilimpa Minister Nguvu ya Kuoperate ndani ya Idara ila Hii act aliyo assent President Samia 2023 imeweka Clear kabisa kuwa Minister atakuwa responsible na issue za Budgetary na Mambo mengine ya Kisera tu.
Kwa hiyo Samia Suluhu Hassan kajihakikishia; atabaki madarakani kwa kuitumia hiyo TISS, waTanzania watake, au wasitake?
Atawaua sana waTanzania safari hii wakati akitimiza lengo lake hilo.
 
Kwa hiyo Samia Suluhu Hassan kajihakikishia; atabaki madarakani kwa kuitumia hiyo TISS, waTanzania watake, au wasitake?
Atawaua sana waTanzania safari hii wakati akitimiza lengo lake hilo.
Sheria imetungwa na Bunge Mkuu, Rais yeye ame assent, Lakini usisahau Pia Rais Ni amiri jeshi mkuu ivo Kutumia Security organs kwa Interest ya Taifa ya interest yake binafsi vyote anaweza, She is in Charge
 
Hii game ili iwe fair na Tuepushe walafi wengi ni lazima tu create mifumo thabiti ya Kufanya check and balance ya mambo, Leo kuna watu wako beyond constitution na Hakuna wakuwazuia wanaitwa washika hatamu
Wanaoipigania democracy ndo hao hao waanaokuletea check&balance Kwa ajili ya kulinda maslahi yao nchini kwako.

Mf:
utaskia EU wanachangia kwny bajeti yetu, wakati huo huo,hao ndo wanaowadhamini wakuu wa vyama vikuu vya upinzani.

Wapinzani wakionewa wanakimbilia balozi za nchi za eu (eg Belgium),

Ila pia serikali wakitaka mikopo wanakwenda huko huko walikotoka wenzao (Belgium embassy)
 
Usiseme maneno hayo mkuu, unakosea
Kwa hiyo Samia Suluhu Hassan kajihakikishia; atabaki madarakani kwa kuitumia hiyo TISS, waTanzania watake, au wasitake?
Atawaua sana waTanzania safari hii wakati akitimiza lengo lake hilo.
 
Sheria imetungwa na Bunge Mkuu, Rais yeye ame assent, Lakini usisahau Pia Rais Ni amiri jeshi mkuu ivo Kutumia Security organs kwa Interest ya Taifa ya interest yake binafsi vyote anaweza, She is in Charge
Sahii kabisa,
Wengi wetu humu hawayajui madaraka ya raisi, wanahisi ana operate sawa na mwenyekiti WA mtaa. Which is totally wrong!
 
Nakuelewa sana mkuu. Tumelishwa matango pori kuwa Marekani inaendeshwa kwa kuzingatia Democracy kumbe ni corporate oligarchy.
 
Mkuu DeepPond siku mbili tatu hizi za karibuni umefunguka Sana.
Kama siyo wale ...
Kama upo ndani ya ardhi Ile ya wamatumbi nakusihi punguza mwendo usije ukaumaliza mapema.
Nilikosoa mradi flani wakati wa mjomba mkali Sana, akaja mchangiaji mmoja na kuchomekea "Kama fulani".
Hiyo fulani ni password yangu ya kuingia JF.
Hiyo nahisi ilikuwa onyo "Tunakujua and we will come for you".
 
Sheria imetungwa na Bunge Mkuu, Rais yeye ame assent, Lakini usisahau Pia Rais Ni amiri jeshi mkuu ivo Kutumia Security organs kwa Interest ya Taifa ya interest yake binafsi vyote anaweza, She is in Charge
Kama nimekuelewa vizuri, maana yako ni kwamba sisi kwa ujumla wetu, wakiwemo na hao "vyombo" ni mali ya huyo mhushimiwa!
Kuanwanaoamini hivyo; na kuna wasio amini kamwe kuwa hilo ndilo lililo sahihi, na wapo tayari kukataa kuwa mali ya mtu yeyote.
 
Mkuu, Tanzania yetu, hata chini ya Nyerere haijawahi kuwa nchi ya kikomunisti. Narudia tena: Tanzania haijawahi kufuata siasa za kikomunisti tangu tupate uhuru. Wewe unachanganya siasa za mwalimu Nyerere za ujamaa au African socialism na ukomunisti. Uliza mtu yoyote atakuelewesha.
 
🤣🤣🤣
 
 
Nakuelewa sana mkuu. Tumelishwa matango pori kuwa Marekani inaendeshwa kwa kuzingatia Democracy kumbe ni corporate oligarchy.
Sahii kabisa mkuu,

Aende Hata uingereza,

Anambie Kwanini UKOO wa elizabert umeng'ang'ania madarakani Hadi Leo hii.

Anambie Kwanini nao wale Kwa jasho Kama familia nyingine za waingereza

Kwanini familia ya malkia ndo wamuidhinishe waziri mkuu punde TU anapochaguliwa
Worry out
 
Kuna mstari mwembamba sana unaotenganisha ya ujamaa na ucommunist,

Ukibisha na Hilo Basi TU, umeamua kubisha
 
Eti asije umaliza mwendo, acha kumtisha mwenzio😂😂
 
Unachopaswa kufahamu mkuu,
Mama ni taasisi, na taasisi iko pale pale Kwa maslahi ya taifa, not otherwise

Hayo mengine yakufikirika unayoyazungumzia, mi siyajui.

Labda Wewe mwnywe ulete ushahidi mezani Maana jf ni open forum and anonymous
(where we dare to talk openly)
Nimekosea wapi, kama kaunda vifaa vya kujilinda yeye mwenyewe mabli na
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…