Kuanzia 2023-2025 CHADEMA itampa wakati mgumu sana Rais Samia

Kama unadhani Magufuli alipambana na mafisadi wewe ndio mpumbavu, hakuna raisi aliyeiba waziwazi akishirikiana na ndugu zake kina Doto kama Magufuli.
 

Juzi Kikwete alisema toka moyoni kuwa CCM wategeme uchaguzi mgumu sana mwaka 2025….Chadema kwa sasa iko mioyoni mwa watu …unaweza kuona pamoja na kuwa kimya muda mrefu wakiandaa mikutaano yao hata hiyo ya ndani muitikio ni mkubwa sana ….. na wamechangamka sana ..
Hotuba ya Mh Mbowe juzi marekani imetoa mwelekeo mpya …..kitendo cha kuwa kimya kusubiri waone muafaka …kinawapa nafasi kujipanga na hata mwakani wakianza kuwasha moto watakua na nafasi ya kuwaambia wananchi kuwa wao ni chama cha Amani na walitoa nafasi kwa ccm kufanya maridhiano na hawakuitumia …
Nimegundua kuwa kuna hadi viongozi wakubwa sana ndani ya ccm wanatamani sana chadema waanze kuwasha moto ..kwakuwa kuna mambo mengi yanaendelea kwa sasa hawayapendi ….wanataka chadema wayapigie kelele ….
 
Wewe ndiye mpumbavu haswa uliyevuka viwango vya ujinga kwa 100% udhaniaye kuwa kuna mtu mwema na jambo jema laweza kutoka CCM...!

Samia Suluhu Hassan na John P. Magufuli tofauti yao ni jinsia tu, kwamba hili ni jike na hili ni dume lakini ni uchafu uleule toka CCM...
 
Bahati mbaya Mzee lofa na kidevu aka Jiwe wamekata moto....Chedama bado ipo.....unajisikiaje kenge wewe?
 
Hawawezi, mwenyekiti wa kikundi chak cha uharifu mbowe kalamba asali ya nyuki wadogo
 
Alisamehewa Kwa kosa Gani?
 
Watu wana njaa, dhiki imetawala na kila mtu anatafuta akale nini
Africa wanatawaliwa kwa njia moja tu Njaa

Kama kuna njaa nani ana Habari na siasa
 
Sisi watanzania wazalendo tunaoona mazuri ya serikali ya Rais Samia Suluhu tupo na mama na kama unavyojua mama hayumbishwi hao Chadema wameshaanza kulamba asali hawana jipya tena maendeleo ya awamu ya sita yanaonekan kila sekta kwaiyo kaa kwa kutulia uone watanzania tunasimama na mama
 
Sijawahi wapa kura CCM tokea 2010

Ila kuna vijana wa Chadema wanarudisha watu nyuma
Sana vijana wengi wa Chadema hawajui maana ya upinzania wanajua upinzani ni kupinga kila kitu na sio kupinga mambo yasiyo faa kwaajili ya maendeleo kwa tabia zao hizo wataona CCM ya Rais Samia Suluhu inazidi kupepea
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Kajifunze kuandika kwanza, yaani kama Chadema wanapigiwa kampeni natu kama wewe basi huu ni mkwamo mkubwa.
 
Mkuu nakufananisha na yule mwendakuzimu aliyepita, sijui kama kwako ni sifa au kashfa.
 
Mbowe Jana amerudia Ile kauli nisoipenda Eti sa100 ni msikivu!!!

Angekuwa msikivu, Leo MAKAMBA, nape na mwigu wasingekuwa mawaziri.

Mbowe Rudi Kwa mstari.
So wewe ndiye unafaa kuwa waziri na akili zako za kisukuma gang
 
Wewe ni Sukuma gang ambaye hujui hata kujenga hoja
 
So wewe ndiye unafaa kuwa waziri na akili zako za kisukuma gang
Usikaririshwe,

Hiyo gang uloitaja ni imagination, haipo,

Kilichopo ni Wananchi wanapambana kupata HAKI zao, na kundi la Watawala WAOVU linazuia.

Mgawanyiko ni huo, WENYE NACHO Kwa njia zisizo halali VS WASIONACHO.

Badilikika usiwe KASUKU, Yeye hurudia vile vile alichosikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…