Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

wine haijawahi kunichosha!, ila makali duh! kama vipi wine kunywa sparkling wine ama champagne..🤣
Mimi alcohol persistence yangu ni kubwa / yaan hii ipo genetically Mimi bia haiwezekani/ haziwezi kunipa stimu yeyote...

So mpaka vilevi vya spirit/ alcohol ndio vinanipa level🎚️/ stimu so wine 🍷 mpaka ninywe nyingi Sana ndio iniweke sawa ndio maana Ina ma hangover sanaaa ...inakata hamu ya kula/ kichwa kinauma Sanaa 😊 yaani balaa
 
Usinywe Saint Anna kunywa fortified wine yeyote utaiona kali na utalewa haraka kuliko bia.
Hakuna kero za kupiga kojo kila dakika hadi ukipishana na watu unanuka kojo yale matone yanayo dondokea kwenye underwear.
Kapime sukari (diabetes).
Fortfied ndo kama zipi?

Kwamba unasusu hadi unanuka mkojo, hiyo sasa ni kujikojolea bro
 
Ndiyo shida ya bia za bure... Unanyweshwa bia unaenda kuliwa bure... Kwanin usikojoe hovyo kama bata...
Anyways una dalili za kisukari, mind your health
 
Yote haya Utopolo 🐸 🐸 kasababisha....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…