Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

Ikulu aihami.
Angeenda kuona familia.
Akaenda kwenye ibada kumshukuru muumba wake kwa kumpa uvumilivu, ujasiri afya njema.
Pia kwa kuwapa hekima viongozi wa dini na hawa wa serikali kuliona jambo hili.
Halafu Jumatatu hata Jumanne angeenda Ikulu akiwa na viongozi wa dini waliojitahidi kumuombea kwa mkuu wa nchi na hatimaye,Mahakama kupitia DPP akaandika Nole Prosequi.
 
Safiii kiongozi.Mwambie Huyo Pusi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siasa sio uadui.watu wachache wasioielewa siasa ndio wanaofikiria siasa ni uadui.Ata hivyo kwa maisha haya ya kibongo lazima tukubali kua rais ni mtu mkubwa.kwahiyo ni sawa mbowe kwenda kuonana na rais kwa ajili yakutoa mawazo yake kwa ajili ya maslahi ya nchi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila hapo Pa kwenda ikulu bila hata kufika kwake, hapajakaa sawa ki itifakhi lol
 
Wewe mbona umevimbiwa unafiki na watu hawakufungulii thread?
 
Binafsi sikupenda Mbowe kwenda Ikulu mara baada ya kutoka gerezani. Hata hivyo, hizo sifa zote hata wewe zinakuhusu hasa hiyo ya unafiki.
Mkuu kitendo cha Mbowe kuitika wito wa Mama kwenda Ikulu ni kitendo cha busara kabisa.Binafsi sijaona kumepungua nini,kazi iko pale pale.
 
Mkuu usijali Upinzani uko palepale!
 
Wewe niliccm tena lililokubuhu!! Nawala hujawahi kuipenda chadema! Nawewe ulikuwa unashabikia mbowe kuwa nigaidi sasa leo umeishiwa hoja unakuja nahuu upuuzi wako!! Ok nawewe kawe mpinzani ili uyafanye hayo unayoyaona wengine wanakosea!! Kimburu
 
Hakuna upinzani Tanzania, vyama vyote hivyo vilianzishwa na "system".


Wapinzani wa kweli walishatangulia mbele ya haki, walikuwa Christopher Mtikila na Kighoma Malima.
 
Alipokuwa anavumilia mateso ya jela na kutenganishwa na familia yake.nyie wapinzani mlifanya nini huko nje?sehemu zingine za dunia kiongozi mkuu wa upinzani awekwe ndani kwa mashitaka ya kubambikiwa nchi haikaliki.je hapa mlifanya lipi?kama si unafiki.mlitaka aozee mazabe huku nyie mnainjoi na familia zenu?
Naikubali sana siasa za lisu na mbowe
Angekuwa dk slaa damu ingekuwa ishamwagika zamani sana
Wanafiki ni Zito.lipumba.mrema.cheyo. na wengine ambao hawana hata umuhimu nisije wapa kiki za bule kwa unafiki wao
 
Kuna uzi uliandika kuwa Kwa jinsi ushahidi ulivyokuwa unatolewa Mbowe hachomoki sasa amechoka hutaki apatane na watesi wake sisi washabiki wako tushike lipi.Maana chadema wamejaribu kuitisha maandamano hatujitokezi.tufanyeje mkuu
 
Na hiyo ndio sifa kubwa inayokutofautisha wewe mwanasiasa mwanaharakati wa mitandaoni na Magwiji wenyewe wa siasa, the front line generals in the thick and thin of political battles! Ref: Long walk to freedom by Nelson Mandela MADIBA na speech ya Bill Clinton akimkaribisha Madiba White House 1998 (You tube). Mwanasiasa aliyeiva anaangalia malengo mapana, na hesabu zake ni za mbali Sana sio pia na mdomo! Magwiji wa Siasa they never SULK, Huwa Hawasusi, kila hatua ni mchakato; ndivyo walivyopatikana kina Madiba, Nkrumah, Mugabe, Kenyatta, Modibo Keita, Lumumba na wengine wengi; they keep their eyes on the trophy! Bila kuchoka, bila kukata tamaa, bila kususa na bila kulalamikia tuu, kwa kuwa it is in them kwamba "When it gets tough, you are near the top" halikadhalila "When the going gets tough, you are near the top". Hard nosed political animals never quit! Best wishes
 
Usikeleke Gentamycine rafiki yangu, hata Mandela aliyefungwa kipindi kirefu alifanya haya, huu ndio ukomavu tunaoutaka
 
Warumi 13:1

Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
 
Usifananishe Mandela na katuni tulizokuwa nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…