ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,979
Ikulu aihami.Visasi vitalisaidia nini taifa? Au wapinzani watafaidika na nini kwa visasa kama sio kuendelea kuumia?
Ni heri ujifanye mjinga lakini una malengo na mipango. Mda mwingine inabidi ujipime unaepambana nae anauwezo gani unaokuzidi.
Nelson Mandela alifungwa jela miaka 27 na hata baada ya kuachiwa na kuwa rais pale RSA hakuwahi kulipiza kisasi hata siku moja wakati uwezo alikuwa nao.
Wewe jamaa siku zote nilikuonaga ni mtu mwenye akili na niliwashangaa waliokuita POPOMA lakini na mimi leo nime confirm kuwa sio POPOMA tu bali pia ni POYOYO.
Angeenda kuona familia.
Akaenda kwenye ibada kumshukuru muumba wake kwa kumpa uvumilivu, ujasiri afya njema.
Pia kwa kuwapa hekima viongozi wa dini na hawa wa serikali kuliona jambo hili.
Halafu Jumatatu hata Jumanne angeenda Ikulu akiwa na viongozi wa dini waliojitahidi kumuombea kwa mkuu wa nchi na hatimaye,Mahakama kupitia DPP akaandika Nole Prosequi.