Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
You can go to hell
 
HUJUI UNALOZUNGUMZA. GENTAMYCING MTU UNAYEHESHIMIWA SANA JF LAKINI UNGEVAA VIATU VYA MWENZIO HUNGEYASEMA HAYO. HUZIJUI VILE VILE SIASA ZA KIAFRIKA. UMESAHAU MAPEMA TULIKOPITIA MIAKA SITA ILIYOPITA. VERY SORY.
 
Siasa zenu za kukariri mbaya sana, kajipendekeza? what for?

DPP na aliemuita ikulu labda ndio wamejipendekeza kwake, wakati akitaka maridhiano ulidhani yangekuja bila wao kukutana?

Grow up.
Sijui kama huyo popoma kakuelewa
 
Binafsi sikupenda Mbowe kwenda Ikulu mara baada ya kutoka gerezani. Hata hivyo, hizo sifa zote hata wewe zinakuhusu hasa hiyo ya unafiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwamba kasujudu kizembe sana!

Yani kakaza miezi yote 8 alafu anakuja kulegea kizembe namna hii

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Visasi vitalisaidia nini taifa? Au wapinzani watafaidika na nini kwa visasa kama sio kuendelea kuumia?

Ni heri ujifanye mjinga lakini una malengo na mipango. Mda mwingine inabidi ujipime unaepambana nae anauwezo gani unaokuzidi.

Nelson Mandela alifungwa jela miaka 27 na hata baada ya kuachiwa na kuwa rais pale RSA hakuwahi kulipiza kisasi hata siku moja wakati uwezo alikuwa nao.

Wewe jamaa siku zote nilikuonaga ni mtu mwenye akili na niliwashangaa waliokuita POPOMA lakini na mimi leo nime confirm kuwa sio POPOMA tu bali pia ni POYOYO.
Sasa yale mapovu ya wana bavicha kwa zito yalikuwa ya nini sasa?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Hao unaowalaumu ulishawahi kuvaa viatu vyao ujione ungekuwa wewe?

Mara ngapi wanatuomba Wananchi tuwaunge mkono lkn tunajificha na kuwavunja moyo?
Maandamano mengi watu tumekimbia tumeshindwa kuwaunga mkono,

Pia kaa ukijua kwenda Ikulu siyo kosa Wala siyo usaliti, yapo mengi Sana yakumweleza mtesi wao bilashaka ilikuwa fursa nyingine kumweza baada ya fursa na Lissu,
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
KICHAA KIMEKUPANDA MCHANA KWEUPEEE
 
Juha ni yule asiyejua kusamehe na mtu mwenye visasi, Juha ni yule asiyejua kwamba kukaa mezani ndiyo njia pekee ya kutatua matatizo kati ya pande mbili zinazosigana hasa haya ya kisiasa.
Kumbuka kuna maelfu wafuasi wa CDM wanasota magelezani kwa mambo haya ya ki siasa, hao nao je bila maridhiano hujui kwamba wataendelea kusota?

Wewe ulitaka Mbowe ama Lissu akatae wito wa IKULU? Afu kitokee kipi?

Kumbe huna maana kiasi hiki ndugu.
Ombi la upinzani siku zote nikumtaka SSH akutane nao. Yametimia. Tatizo liko wapi? Tusubiri matokeo.
 
Juha ni yule asiyejua kusamehe na mtu mwenye visasi, Juha ni yule asiyejua kwamba kukaa mezani ndiyo njia pekee ya kutatua matatizo kati ya pande mbili zinazosigana hasa haya ya kisiasa.
Kumbuka kuna maelfu wafuasi wa CDM wanasota magelezani kwa mambo haya ya ki siasa, hao nao je bila maridhiano hujui kwamba wataendelea kusota?

Wewe ulitaka Mbowe ama Lissu akatae wito wa IKULU? Afu kitokee kipi?

Kumbe huna maana kiasi hiki ndugu.
Mwamba kasujudu kizembe balaa

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mambo mazuri yanakuja..kama rais ameamua kuwa mstaarabu akaomba audience mapema ili kuwepo na maelewano, ya nini kupinga. Mbona rais alienda ubeligiji akaomba audience na Lissu hukupinga. Tuachie nchi yetu, wewe rudi kwenu kwa Kagame
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Duh
 
P

Sawa, pamoja na hayo yote uliyokaririshwa na wajinga wenzio ulitaka Mbowe afanye nini?
Akili yako hiyo ya matope ndio maana uko hapo ulipo.
Maisha yanaendelea kama ulidhani labda ni jambo kuuuuuubwaaaa! imetoka hiyo!
Sawa mimi mjinga, lakini mbona unashindwa kujibu hoja? Samia hakuuthibitishia Ulimwengu kupitia BBC kwamba Mbowe ni Gaidi?
 
Tanzania hii, mpinzani wa kweli na mwenye misimamo alikuwa Mchungaji Mtikila peke yake. Huyu alisimamia anachokiamini. Japo watu wengi hawakumelewa. Hakuwa na tamaa ya mali, hakuwa mbinafsi, bali alisimamia masilahi ya Taifa.
 
Waingereza wana msemo “ To evade a blow is not cowardice” yaani kukwepa ngumi unapopigana sio woga bali ni umahiri!
Waingereza wanafiki unawasikiliza?
Angekuwa amesema Mjerumani sawa.
 
Umechelewa sana kujua! Pole lakini ni muhimu ukajua kuwa siasa huwekwa akilini siyo moyoni! Tanzania hakuna upinzani wa kweli! Siku zote popote ulipo chagua kuwa chama tawala na faida yake utaiona! Sasa subir uone mbowe na wafuasi wake wa pale juu utakavyobadikika!
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Acha upagani Wewe,,Ujui na ni mbumbu Mkubwa,, Duniani Kote mashujaa husamehe na kusahau Wala hawaweki visasi..Pusi kabisa Wewe.
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Unachoongea ni kweli kabisa lakini kumbuka vita huisha kwa njia ya mazungumzo na kusameheaana.Hata hii vita ya Urusu vs Ukurein itamalizika kwa njia ya mazungumzo tu ,kwangu mimi kwa Nchi yetu ilipokua imefikia ni busara kwa yaliyotokea kwa Sababu kama nchi tunatakiwa kuwa na umoja wa kitaifa.
 
Pumbavu....!!!!!!
Dogo vipi wapinzani wa kwenu RWANDA???

Uhusiano wao na "PAKA" ukoje???🙄🙄

Rudi kwenu RWANDA Kwenye siasa za KUUA NA KUFUNGA wapinzani!😂🤣

Kwa taarifa yako PAKA siku siku zake zinahesabika.

Ngoma tunampa FAUSTINE KAYUMBA NYAMWASA, ambaye PAKA akisikia tu jina lake "M.A.V.............I yanagonga CHUPI. 🤣😂🤣😂

Mbowe anaanza alipoishia palepale!!!
 
Back
Top Bottom