Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoi

Kwaiyo sasa hivi Kuna raha gani?kila kitu kimepaa bei,maisha magumu au mrija wa asali umefika nyumbani kwako?
 
Lakini sasa hivi tunahenyeka na mgao wa umeme watu wanafunga biashara,hela haina thamani kila kitu kimepanda bei,rushwa kwenye ofisi za umma imerudi kwa kasi,miradi mingi ya ujenzi wa barabara imesimama,deni la taifa limeongezeka maradufu,huku mwanza machinga wamerudi barabarani na hamna cha kuwafanya maana mnajua mkiwatoa safari hii ndio itakuwa mwisho wa mama ushungi watu wataingia barabarani maana hali ya uchumi kwa wananchi ni mbaya.magufuli alikuwa sahihi “poteza washenzi 500 ili wengine milioni 55 waishi kwa amani” sasa hivi imekuwa vise vesa
 
Duniani hapa mtu mwenye akili ya kimavi mavi ndo huwa anaweza kufurahia kifo cha mwenzake.lakini kumbukeni mungu ha
 
Kwa Uzi huu;CCM itatawala miongo mingi sana.Yaani wamewafanya watanzania waamini kuwa wao ni masikini na wao wameamini kuwa wao ni masikini kweli[emoji1787]ila cha ajabu uyo anayewahubiria watanzania kuwa ni masikini anakusanya Kodi Yao na kununua magari ya kifahari ya kutembelea!
Magufuli alijitolea kuwafungua macho kwa vitendo ili muwajue watesi wenu wanaowafukarisha ila nyinyi mumeamua kusimama na watesi wenu wanaowafukarisha kuemdelea kuamini kuwa nyinyi ni masikini.Kwa mwendo huu Mimi mwaka 2025 nasema kura nyingi kwa CCM iendelee kutawala taifa la vijana wapuuzi.
Kama hao Wana Msoga ni wazalendo kwanini pesa zao wanaficha ughaibuni?kwanini wasilete nchini na wawekeze kwenye kilimo cha kisasa na kufungua viwanda Ili watanzania wapate ajira?
Alafu unakuja humu kumponda Whistleblower John Magufuli iliyekuwa anatuamsha usingizini,una akili kweli wewe?
Nchi ina vijana wa ovyo sana hii, Magufuli ni akili kubwa,alikuja kutukomboa ila kwakuwa akili zetu ndogo tukamuona mbaya!
Suala la watu kupotezwa ilo lipo Duniani kote,ukijifanya unapingana na system lazima upotee,ata ukileta ujinga Marekani unapotezwa tu, Magufuli alikuwa sahihi tu.Taifa alijengwi kwa kuchekeana na wapuuzi,ata China ingechekea wapuuzi isingetikisa Dunia kiuchumi.Endeleeni kuimba iyena iyena!
 
Bring back 1.5trilion
 
Kwaiyo sasa hivi Kuna raha gani?kila kitu kimepaa bei,maisha magumu au mrija wa asali umefika nyumbani kwako?
Utajaza mwenyewe maana maisha kila mtu anajua anavyo yaendesha
 
Lazima sukuma gang mtetee upuuzi wa kuwalinda majambazi na watukanaji wa watanzania waliokuwa tofauti na mawazo yenu ya kibaguzi
 
Utajaza mwenyewe maana maisha kila mtu anajua anavyo yaendesha
Kwani kuanzia 2015-2021 ni serikali ilikuwa inaendesha maisha yetu?Acha propaganda za kitoto!
 
Kwani kuanzia 2015-2021 ni serikali ilikuwa inaendesha maisha yetu?Acha propaganda za kitoto!
Ccm janga la kitaifa inabidi wananchi tuikatae kweli kweeli
 
Christmas imepoa sana. Imagine kuna familia hawana uwezo mzuri, watamudu vipi kulisha wageni sikukuu hii mchele kilo ikiwa 3800 hadi 4000. Nyama kilo tshs 12,000 hadi 15,000. Soda 700 kwa 600. Hivi life inakuwaje rahisi kwa mfano?
 
Unyoofu Ni upi? Madili gani hayo?
 
Saizi mnajifichia kwenye umeme tuu 😁😁😁😁.

Namba zinaongea zenyewe 👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…