Kuanzia Novemba Mosi Bajaji na Bodaboda marufuku kuingia Mjini

Kuchelewa ni jambo lako binafsi.
Sio lazima kuchelewa nikipata imegence nafanyaje ?

Mfano Gari yangu imepata tatizo nawai sehemu mjini nafanyaje?

Kuchelewa sio sababu pekee ya kutumia usafiri wa haraka hata wewe Kuna siku utakuwa mahali na utahitaji usafiri wa haraka kukwepe foleni.

Unaweza kuwa na mgonjwa unaweza kuwa Mambo kibao yatakayokufanya utakiwe kuwahi sehemu.
 
habari bila picha hio ni lamri
 
Hata wakati wa yule mungu wao na nabii paulo wapo hili katazo lilikuwepo sema waliruhusu kile kipindi cha masharti ya uviko maana daladala zilikuwa zikipakia level sit.
 
Hapo wanapigwa nyundo za haja halafu 2024/2025 unamskia bi Hangaya anasikitika sana kwa katazo hili na kutoa ruhusa kwa machinga na hao bodaboda kwa hotuba moja matata sana. Atapigiwa makofi na kusahaulisha mabaya yote.

2026 mnapigwa nyundo tena zaidi ya hii, Hanagaya atarekebisha 2029/2030. Mwendo ni huo huo tu wa kutengeneza tatizo na mkuu kulitatua kwa kumtupia zigo la nnya kiongozi yeyote wa kafara.
 
Naona limekugusa hili hahahahaha

Pole Rudi kijijini

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Labda Teksi za wahusika ktk maamuzi, pesa ya week imepungua sababu ya Boda na Bajaji. Khy wanataka kutetea Biashara zao.

Hembu fika jiji kama la Mumbai India, halafu angalia Boda na Bajaji zilivyo nyingi, lakini zote zinakwenda pamoja na Magari mengine.

Tatizo kubwa tulilonalo Tanzania, yeyote aliyepo ktk ngazi ya maamuzi, hata kama kitu hakijui...yeye atatoa maamuzi. Ombwe kubwa kabisa ktk maendeleo na kama Nchi. Ndio maana tunasikia kuna kudharauliana, kati ya Mawaziri na Manaibu, Makatibu Wakuu na Manaibu, Mawasiri na Makatibu wakuu nk.
 
Haha ndio nipo Rangi 3 hapa, napo ni mjini? Sijaanza kuja Posta.
Ukipanda bodaboda kutokea hapo Kama unaenda mjini inabidi uishie Keep left ya Puma.

Ukiendelea kuja mjini baada ya hapo tutakupiga virungu[emoji3][emoji3][emoji3]



Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Huku maumivu mzee wakitutolea bodaboda wanakuwa wametuvunja miguu manake ndio kitu pekee reliable na fast kuwahi appointment zetu

Naelewa sana
Ila kuwapiga marufuku kuingia ni jambo baya sana kwani boda na bajaj ndio vyombo vya haraka kwa usafiri wenu huko
 
Tatizo ni hao wanaondesha hivyo vyombo wengi wamekuwa watu wa hovyo sana wanashindwa kuthamini kazi zao ila kuwazuia hapana wangeweka course ili watu waende shule na watoe vibali kwa watakao fanikiwa ila bajaji zibaki za walemavu tu bodaboda ziwe monitoring
 
WA TANZANIA INATAKIWA MUELEWE.
maskini hatakiwi mjini yaani aludi bushi akalime mjini ni ya ma DON
 
WANGEELEZEA PIA SABABU YA BODA/BAJAJI KUINGIA MJINI,WATU WAELEWE HII

ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…