Kuanzia Novemba Mosi Bajaji na Bodaboda marufuku kuingia Mjini

Msijali maana wabongo ni wasahaulifu sana, 2025 katikati na 2026 mtaingia nazo barabarani kabla ya kufungiwa tena. Tuendelee kujisahaulisha tuu
 
Boda boda kwa kweli wanaendesha vibaya sana mjini wacha wabaki huku vichochoroni serikali ya awamu ya sita oyeee
 
Mimi ofc mathalani ipo Sokoine Drive, mchana natakata niende Kinondoni makaburini fasta kwenda nakurudi, kwa hiyo sina haki ya kupanda boda?

Hivi sisi abiria wa katikati ya miji wanatuchukuliaje?
 
WA TANZANIA INATAKIWA MUELEWE.
maskini hatakiwi mjini yaani aludi bushi akalime mjini ni ya ma DON
Wakimalizana na bodaboda zetu naomba wafikirie pia kuzuia gari kama IST, Passo na jamii yote ya baby walker za mjapani kuingia mjini zimezidi kuwa nyingi nazo ni kero !
 
Je wanavunja katiba ya nchi kuingia na vyombo vyao vya usafiri?
 
Chadema meno yote nje kwa furaha maana bodaboda ,machinga na bajaji vyuma vimelegea hela zitajaa mifukoni mwao baada ya tamko hili
 
kwa dar fresh tu ila kwa mikoani ziingie tu
 
Sio mjini , wao wamemaanisha katikati ya mji, city center
 
Sawa, tutakata leseni za kuingia mjini, maana haiwezekani mtu ununue pikipiki kwa ajili ya kusaidia transportation kwenye biashara halafu umwambie asiende mjini, hizo parcel abebe kichwani?
 
Tengeneza tatzo halafu uchaguzi ukikaribia tatua hapo unapanda kisiasa😃😃
 
TAFSIRI YA MJINI NI IPI LAZIMA MIPAKA IWE WAZI ILI MWENYE BODA NA BAJAJ AJUE
 
Safi sanaaaaaaaa! Nimeipenda hii move. Na Sasa hivi vibanda vya ajabu kando ya barabara hakuna tena.

Ngoja 2025 ifike tuone kama hawajabadili maamuzi.
Vijikura vya ajabu vya kuharibu mfumo viogopwe CCM tupo million 10,kura zetu zinatosha
 
"Mjini " wangetaja jina la eneo / maeneo husika kuliko kusema mjini
"Mjini" its too general kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…