ipo siku tutaimba wimbo mmoja, hao nao wanasema matatizo ya nchi hii ni ya wana CDM. Funda nyondo, ccm hoyeeeeeHayo yamezungumzwa na Abdi Issango ambaye ni mkuu wa Usalama barabarani Kanda Maalum ya Dar Es Salaam alipokuwa akihojiwa na Philip Mwihava katika kipindi cha Power Breakfast on Saturday pale Clouds Fm.
Baada ya Machinga, sasa ni bodaboda na bajaj zamu japo bajaj za walemavu zimeruhusiwa kuingia mjini.
Una maoni gani juu ya hili? Tunaelekea wapi?
View attachment 1991793
Ni jambo. Utaratibu huu upo hata kwa nchi za wenzetu. Pale Perth, Australia, kuna sehemu moja yenye biashara nyingi, na watu wengi, ni marufuku magari, pikipiki au baiskeli kuingia. Kule electric bikes, kama huna uwezo wa kutembea unazichukua, unazitumia, ukimaliza unaacha sehemu hiyo hiyo. Magari yanaruhusiwa kuingia kuanzia saa 6 - 11 usiku kwaajili ya kuingiza bidhaa.Hayo yamezungumzwa na Abdi Issango ambaye ni mkuu wa Usalama barabarani Kanda Maalum ya Dar Es Salaam alipokuwa akihojiwa na Philip Mwihava katika kipindi cha Power Breakfast on Saturday pale Clouds Fm.
Baada ya Machinga, sasa ni bodaboda na bajaj zamu japo bajaj za walemavu zimeruhusiwa kuingia mjini.
Una maoni gani juu ya hili? Tunaelekea wapi?
View attachment 1991793
Vijana wengi ni machinga na bodaboda. Tena kuna hadi watu wa makamo tuko nao hapa posta ni bodaboda. Sasa mtu kama huyo unafikiri anapenda kuwa bodaboda!? Ni kwa kuwa ndiyo option aliyobaki nayo.Kuna watu wameshiba humu ila kwa kua hawaja wahi kupambana hawataelewa umeandika nn.
Ukiona mtu anafikiria alipoanzia kufikiria na siyo alipoishia utajua kuna tatizo mahali, subiri.
Mshebzi mwili mzima, mlete mamako tumchagueNilisema! CCM imeshaishiwa pumzi subiri matokeo! Ombi wapinzania legend mtu mwenye uwezo kwa wananchi! Msituletee watu wa ovyo kama Lisu!CCM hawa wapesi sana!
Umewaza nini?mpaka ukaandika ivyoMara paaaap!!! JPM anatokea na kusema "Nilikua nawachora tu"
Sipati picha, mbona kitaumana ndani kwa ndani [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni mpumbav kwel yaanBajaj za walemavu wameruhusiwa wabaki.
Ukiwaunga mkono bodaboda city center maana yake wewe si mkazi wa Dar huwelewi shida wanazoleta hao jamaa ingawa siyo wote.
Mpumbavu Baba yako mzazi kima wewe.Wewe ni mpumbav kwel yaan
Wengi wa hao walemavu hawana leseni. Hao wangewasaidia wakasome.Tatizo ni hao wanaondesha hivyo vyombo wengi wamekuwa watu wa hovyo sana wanashindwa kuthamini kazi zao ila kuwazuia hapana wangeweka course ili watu waende shule na watoe vibali kwa watakao fanikiwa ila bajaji zibaki za walemavu tu bodaboda ziwe monitoring
Ni kweli walitucheka. Tukawajibu huyo mwendawazimu anayejiita makala kwenye huu utawala wa wapiga dili atawashukia muda si mrefu.Maeneo tulimo hamishwa sie machinga wenzetu wa bajaji ndio wamegeuza kuwa vituo.
Vijana wengi ni machinga na bodaboda. Tena kuna hadi watu wa makamo tuko nao hapa posta ni bodaboda. Sasa mtu kama huyo unafikiri anapenda kuwa bodaboda!? Ni kwa kuwa ndiyo option aliyobaki nayo.
Ndizo ajira zenye mitaji nafuu zaidi. Bodaboda na bajaji zina wamiliki na hawa wanapeleka hesabu tu. Hapo mtaji ni ujuzi wa kuendesha chombo.Kwa nini vijana wengi na hata watu wa makamo ni wamachinga na bodaboda? Wamachinga na bodaboda ni mtaji wa wanasiasa.
Wanasiasa wanatengeneza tatizo halafu wanalitatua huku wamachinga na bodaboda wakidemka.
Siku hizi vijana wengi hawafikirii zaidi ya umachinga na bodaboda huku wanasiasa wakiendelea kutesa.
MatajiriMimi ofc mathalani ipo Sokoine Drive, mchana natakata niende Kinondoni makaburini fasta kwenda nakurudi, kwa hiyo sina haki ya kupanda boda?
Hivi sisi abiria wa katikati ya miji wanatuchukuliaje?
Usafiri wa bodaboda unatakiwa upigwe marufuku jijini Dar. Huwezi kutengeneza usafiri wa mwendo kasi huku ukitegemea usafiri wa pikipiki kwenye sehemu za jiji.Ni jambo. Utaratibu huu upo hata kwa nchi za wenzetu. Pale Perth, Australia, kuna sehemu moja yenye biashara nyingi, na watu wengi, ni marufuku magari, pikipiki au baiskeli kuingia. Kule electric bikes, kama huna uwezo wa kutembea unazichukua, unazitumia, ukimaliza unaacha sehemu hiyo hiyo. Magari yanaruhusiwa kuingia kuanzia saa 6 - 11 usiku kwaajili ya kuingiza bidhaa.
Huu utaratibu ungeweza kufanyika hata eneo la soko la Kariakoo.
Hayo yamezungumzwa na Abdi Issango ambaye ni mkuu wa Usalama barabarani Kanda Maalum ya Dar Es Salaam alipokuwa akihojiwa na Philip Mwihava katika kipindi cha Power Breakfast on Saturday pale Clouds Fm.
Baada ya Machinga, sasa ni bodaboda na bajaj zamu japo bajaj za walemavu zimeruhusiwa kuingia mjini.
Una maoni gani juu ya hili? Tunaelekea wapi?
View attachment 1991793
Kiongozi/chama ambacho kuwepo madarakani hakutegemei kura za wananchi kamwe hawezi kuwanyenyekea hao wapiga kura.Nilisema! CCM imeshaishiwa pumzi subiri matokeo! Ombi wapinzania legend mtu mwenye uwezo kwa wananchi! Msituletee watu wa ovyo kama Lisu!CCM hawa wapesi sana!
Sababu ya kuwazuia boda kuingia mjini ni nini?Vijana wengi ni machinga na bodaboda. Tena kuna hadi watu wa makamo tuko nao hapa posta ni bodaboda. Sasa mtu kama huyo unafikiri anapenda kuwa bodaboda!? Ni kwa kuwa ndiyo option aliyobaki nayo.
Basi hao wapeleka hesabu wataendelea kuwa maskini. Wamiliki wa bodaboda ambao baadhi yao wana vitega uchimiNdizo ajira zenye mitaji nafuu zaidi. Bodaboda na bajaji zina wamiliki na hawa wanapeleka hesabu tu. Hapo mtaji ni ujuzi wa kuendesha chombo.
Nipo kaka. Ova. Tutafutane.Mambo vp
Upo mzee
Ova