Havizya
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 499
- 702
ipo siku tutaimba wimbo mmoja, hao nao wanasema matatizo ya nchi hii ni ya wana CDM. Funda nyondo, ccm hoyeeeeeHayo yamezungumzwa na Abdi Issango ambaye ni mkuu wa Usalama barabarani Kanda Maalum ya Dar Es Salaam alipokuwa akihojiwa na Philip Mwihava katika kipindi cha Power Breakfast on Saturday pale Clouds Fm.
Baada ya Machinga, sasa ni bodaboda na bajaj zamu japo bajaj za walemavu zimeruhusiwa kuingia mjini.
Una maoni gani juu ya hili? Tunaelekea wapi?
View attachment 1991793