GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
God lead the way to fulfil these wishes.
 
Swadakta haya ndo mambo tuyatakayo, nchi isiwe mikononi mwa mtu bali mikonon mwa taasisi nyeti za nchi. Kwa kufanya hvyo tutakuwa salama zaidi
 
Amka utajikojolea kijana
 
Dogo Una mikwara mbuzi wakati kichwani mweeeuuupeee
 
Wee Jamaa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜πŸ€£πŸ€£
 
Lema amewapoteza sana, yupo Cadana anakula tonetone lakini ameacha urithi mbaya sana wa watabiri tambitambi.
 
NA IWE HIVYO INAVYOTABIRIWA,UPEPO UNAPEPEA NA MATAKO YA KUKU YA DHAHIRI.
 
Mkuu mtoa mada updates tafadhali! Ile kazi ya kusafisha miji inaningoja ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…