GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
We kusoma hujui hata picha hauioni
 
Ushauri wa maana kwa bimkubwa awaachie tu kiti akapumzike hii mikikimikiki yote ya nini??? Ameshakaa miaka 4 ameshaweka historia basi. A good dancer should know the time to the stage.

Kama ningekuwa mimi ndo bimkubwa nawachonganisha huku nikiacha alama kudadeki.

Kwa mfano....
Mimi sasa ndo bimkubwa:..Katiba ya Mzee Warioba ipo wapi,..? nataka ile original.
Wao sasa:..Hii hapa mama!.
Mimi:.okk, hii sindo waliyoipitisha wananchi wakataka iwe hivi???
Wao: ehhh
Mimi: Kesho toa taarifa nataka kuongea na Taifa.
Wao: Kwani kuna nini mama!!
Mimi: Nimesema toa taarifa...
Kesho sasa mwanawane natokea kama Shwaznigaa kudadeki ndandandaa ndaaaa.
Picha linaanza nimeshika katiba ya warioba mkononi. Natangaza: ...Kwa ajili ya kuleta mshikamano na kuponya Taifa lisipasuke namfungulia Lissu, pili; kwakuwa muda ni mfupi uliobaki kwenda katika uchaguzi naipitisha katiba ya warioba iliyopitishwa na wananchi ili tuitumie katika uchaguzi huo, tatu natangaza kutogombea uchaguzi huu napisha nafasi Chama kiteue mtu mwingine.
Nafunga press nasepa. Najua wao Watatoa mlio saaaana, lakini kwa wananchi bonge la shangwe.
Hii inaitwa mwaga ugali nimwage mboga.
 
Taja idadi ya uliowaskia wakiuawa kipindi cha jiwe na wa kipindi cha deaf frog. Hakuna uhuru wwte ni kutekana tu na kufunga makanisa
 
Much love 👌
 
Ushauri wa maana bimkubwa awaachie kiti akapumzike hii mikikimikiki yote ya nini ? Ameshakaa miaka 4 ameshaweka historia basi. A good dancer should know the time to the stage.
Yatamkuta kama ya Mbowe,,,atalia kilio Cha kusaga meno
 
Yaani ukisoma humu Jukwaani na huku mtaani ni mbingu na ardhi...huku mtaani watu tunaishi kwa amani mustarehe na sisi wafanyabiashara tunamtaka mama kwa miaka 100+mbele kwasababu now biashara zimefunguka na pesa ipo ...kiukweli na tunaweza hata kufungua branches nchi nyingine.. tofauti na kipindi cha jiwe..
Mama tunampenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…