GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wali wa buku mbona upo,na tanzania siyo dar tu kwenye daladala, huku sikonge tuna baiskeli zilezile tangu 2010
 
Umesahau utekaji na uuaji kuliko awamu yoyote tangu zama za mwalimu.
 
Wali wa buku mbona upo,na tanzania siyo dar tu kwenye daladala, huku sikonge tuna baiskeli zilezile tangu 2010
Hata uwe Kijiji kipi, gharama za maisha za 2010 haziwezi kuwa sawa na za 2025.
Tena huko sikonge ndio wanaopata joto la umaskini vizuri. Mfuko wa cement ulikua 10k, Sasa hivi wanaununa 23k. Lita moja mafuta ya kula walikua wananunua 2500, sasa hivi 7000
Bora hata waliopo dar
 
Aliyetabiri mwezi wa saba kutatokea jambo kubwa apewe maua yake
 
Mfuko wa saruji bei haiwezi kuwa tofauti Kati ya sikonge na sehemu zingine, halafu nani kakwambia mafuta lita tunanunua 7000?..tuna tumbaku na mpunga, mazao ya bustani pia,ugali mama ntilie buku,wali buku jero,watu wa dar mtakula wawili
 
Kabisaa unasikika vyema mkuu kutoka Sikonge
 
Mfuko wa saruji bei haiwezi kuwa tofauti Kati ya sikonge na sehemu zingine, halafu nani kakwambia mafuta lita tunanunua 7000?..tuna tumbaku na mpunga, mazao ya bustani pia,ugali mama ntilie buku,wali buku jero,watu wa dar mtakula wawili
Mafuta ya kula lita sh ngapi?
Dar saruji 18000,

Sikonge nipo kila baada ya miezi miwili, nina mashamba mole. Hiyo tumbaku nailima toka 2014, hivyo usitake kuniongopea chochote. Maisha ni magumu mno huko
 
Anamaanisha JK,Kagame anamlia timing ile mbaya na yule jamaa huwa anatumia wakati kama huu kupita na adui wake,yaani kuasi kwamba akimdondosha anajua watanzania wengi watashangilia
watanzania wanatofauti zao, ila haihalalishi daui wa nje kufanya hujuma kwa viongozi
 
Wali wa buku mbona upo,na tanzania siyo dar tu kwenye daladala, huku sikonge tuna baiskeli zilezile tangu 2010
Hata nyumba za kupanga bado ni zile zile ila kodi sio ile ile na gharama ya kujenga jengo lile lile sio zile zile. Jaribu kidogo kuficha ujinga wako.
 
HUyo jamaa anawaza kijinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…