GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hata nyumba za kupanga bado ni zile zile ila kodi sio ile ile na gharama ya kujenga jengo lile lile sio zile zile. Jaribu kidogo kuficha ujinga wako.
Kodi zilezile,isipokua kwa wenye viranga vya kuishi apartment,nyumba zetu kinondoni kodi zilezile za miaka 10+ iliyopita,na bei za vyumba lodge zilezile za miaka 10+ iliyopita,mavazi yameshuka bei mno,kilo ya unga inacheza mulemule,bei ya dawa mseto, panadol ileile,bei ya fungu la dagaa ileile,kuku ileile
 
Mafuta ya kula lita sh ngapi?
Dar saruji 18000,

Sikonge nipo kila baada ya miezi miwili, nina mashamba mole. Hiyo tumbaku nailima toka 2014, hivyo usitake kuniongopea chochote. Maisha ni magumu mno huko
Mafuta gani,alizeti au korie?
 
Kweli kuu hii VAR ya Pole pole sio ya mchezo mchezo hadi wameamua kusitisha kwanza uteuzi pia utekaji maana walimrudisha kwa muda mfupi sana dadaake na Polepole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…