GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mheshimiwa SAMIA SULUHU HASSAN ni Rais wa Tanzania na ndie watanzania watamchagua aendelee. UKIKOSA WA KUKUHASHUA UKIJIHASHUA MWENYEWE SIO MBAYA. Endeleeni kujihashua.
 
Mheshimiwa SAMIA SULUHU HASSAN ni Rais wa Tanzania na ndie watanzania watamchagua aendelee. UKIKOSA WA KUKUHASHUA UKIJIHASHUA MWENYEWE SIO MBAYA. Endeleeni kujihashua.
Sisi hatutamchagua sema atajitangaza kwa mabavu usitung’ang’anize tafadhali!
 
NImeona dada mkuu akisema walitofautiana na Mr. O kidevuni. Kisa alikuwa na timu ya wtu wake alochagua Kama ni hivyo zile tetesi za mr o kuja live na kutema bungo

.
 
Kama
Siasa ni umafia tu.
Huko CCM hawaaminiani.
wahuni wengi wako huko CCM wenye madili haramu, mafidadi yote yamejificha humo.

kinachoumiza wale wazalendo CCM ndiyo hao hawana nguvu yoyote ila wapo tu kimaslahi watafanyaje sasa?
Kama dada yenu aliyopo Kenya anafanya kwa ajiri ya matumbo ya Mabwanyenye...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…