Kuchelewa kwangu kunanitisha sana

Pole sana mkuu, ulivyokuwa unaandika nikahisi unaniandika mimi kabsa maana ulichondika ndyo Maisha yangu mimi na umri wangu ni hvyo hvyo.

Sina mchumba, sina kazi, sina asset yeyote Ila bado sijakata tamaa. Wadogo zangu wanafamilia zao na watoto Ila mimi naamini kuwa wao ni tofauti na mimi.

Pamoja na nilivyo siachi kupanga yajayo.

See you at the top
 
Mkuu inaonekana una uthubutu sana wa kujaribu mambo na hicho ndicho kitu cha msingi.
Katika maisha hakuna aliyewahi au aliyechelewa ni uthubutu na maisha ni bahati ma nasibu ipo siku utalamba Dume.
 
Huu msemo wa hakuna kuchelewa..... Acha tu. Inauma Sana kuona mtu ipo 30+ hakuna asset ya kutegemea. Upoupo tu, dili hazishikiki
 
Mkuu nakushauri uoe, maybe nyota yako haitaki kufikia lengo alone. Ukioa akili itakuwa na ubunifu zaid ya kulalama,
 
Huu msemo wa hakuna kuchelewa..... Acha tu. Inauma Sana kuona mtu ipo 30+ hakuna asset ya kutegemea. Upoupo tu, dili hazishikiki
Umeona eeeenh ... kuna ktu knanong'oneza kabisa kuna mambo hayako sawa haiwezekan Kijana 30 bado unaona malue lue..
 
Mkuu inaonekana una uthubutu sana wa kujaribu mambo na hicho ndicho kitu cha msingi.
Katika maisha hakuna aliyewahi au aliyechelewa ni uthubutu na maisha ni bahati ma nasibu ipo siku utalamba Dume.
Amina... mkuu nashukuru
 
Mkuu nakushauri uoe, maybe nyota yako haitaki kufikia lengo alone. Ukioa akili itakuwa na ubunifu zaid ya kulalama,
Unaanzaje kuoa wakat hata ww pesa ya kula haikutosh... kwang mm haiko sawa.. mkuu.. mtoto wa watu yuko ndan na ww hujui pesa unaenda kuipata wap ... kuna mda uwoga n akili ya kujpanga
 
Laizer katoboa miaka 52
 
Tupeane pole mkuu... na tuendelea kusoma mashauli ya wenzetu naamin tutapata mwanga ...
 
Ujumbe mzito kwake, ni dhambi kukata tamaa kabla hujafa, uhai ni utajiri tosha, kikubwa ni kuongeza juhudi mambo yatakua poa tu.
 
Umenena vzuri kaka
 
Hakuna msiba usiokuwa na mwinzie

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
yaani kwa kifupi UMECHELEWA punguani wahed wewe, umekaa kwenu unasubiri mafao ya dingi yako? Hovyo kabisa
 
Watoto wanaokufa kila siku hospitaini wamefikisha miaka 60?!
Kifo ni another story ,sijawah ona post ya mfu humu ndani..

Mungu ni samehe ..kama nakufuru ila nashukuru ni mzima sasa ndan ya uzima wang ni kwer kunausahihi wa maisha ninayoishi au hakuna tofaut na hao wafu .. astakufulah ...

Sidhan kama n sahihi mtu wa miaka 30 kumpa value ya mtoto under 18...

Kla miaka inamajukum yake... na yanatakiwa kukamilishwa

Umri wa kucheza mpira wa makalatasi ushapita

Sasa nko 30 ila shida sina sifa..
 
Nmekuelewa sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…