Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

Ndugu yangu ivi wewe unadhan MWENYEZI MUNGU ni mwanadamu mwenzio, hebu kuwa na hofu kidogo bas


Acha mizaha ndugu yangu, acha kabisa
Acha kuambia watu wawe na hofu.
Bora umshauri apunguze ukali wa maneno kwa heshima ya ninyi waamini uzushi wa dini.
 
Kwahiyo Mungu anaupendeleo?mimi Mungu ninayemjua hana upendeleo anambariki mtu yoyote kwa Muda wowote.
 
Ngoja yake Sasa shauli zako. Wew huogopi key board jihadist?
 

Kwa Tanzania wao na Israeli huwaambii kitu . Ukifsnya research utagundua wa Iran wamefanya paper nyingi sana MAeno mbali mbali lakin ukiwa mlokole kamwe Hilo hutaliona maana brain washed ni kubwa
Tatizo lenu ni story za vijiwe vya gahawa na kalimati zisizo na facts

Drop the facts sio bla bla za vijiweni
 
Bado walibondwa na iran kwa zaidi ya missel 110
Ajabu ni kwamba hizo missles zote zililenga makazi ya watu lakini zikaishia vichakani kwa kukosa teknolojia nzuri ya tareting.

Ni mtu moja tu alifariki ambae ni mpalestina aliedondokewa na kombora lililofeli

Israel harushi makombora, wanatuma marubani tena ni wa kike kwenda Iran, walichofanya wale watoto wa kike mpaka leo umeme umekuwa ni tatizo Iran
 
njia ya muongo ni fupi mno, huna facts wacha nikugonge kwa facts

Ma ceo wa kampuni kubwa nyingi kuanzia Google, Ibm, Youtube, n,k ni wahindi, wamiliki ni wayahudi

Huko vijiweni mnapotoshana sana, kuna kijiwe niliwahi kupita nikasikia eti wanasifia Iran wanaongoza kwa uchumi mkubwa dunia nzima

 
Either wewe ni mdini,mjinga ama Mpumbavu au*vyote* kama wale wakristo wachache wanaoamini Israel ni taifa lao,wakati dini kubwa pale ni Judaism na IslamπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜‚πŸ€£
Hizi hapa statistics za largest economy in the world,............
Hivi unajua ya kua top 5 strongest currencies in the world 80% zinatoka middle east na Israel haipo?
Bado hauamini kua wewe ni mpumbavu?πŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ€£
 

Attachments

  • Screenshot_20241223-230900.png
    502.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241223-231126.png
    239.7 KB · Views: 3
Mpaka sasa ukienda YouTube , Instagram, Tiktok, X na mitandao yote ya kijamii imejaa video za makombora ya Iran yakipiga base za kijeshi za Israel, lakini hakuna hata video moja inayo onesha kipindi hizo ndege za Israel zilivyo kuwa zinaipiga Iran.

Badala yake kuna video zinazo onesha makombora yakidunguliwa.
 
Hao sio wa Israeli wa kweli Hao ni mamluki kutoka ulaya mashariki wanaitwa khazarian au Ashkenaz sio wayaudi wa kwenye biblia wala hawana Uhusiano kabisa hao ni fake
walijipeleka ulaya ?
 
Kwa Tanzania wao na Israeli huwaambii kitu . Ukifsnya research utagundua wa Iran wamefanya paper nyingi sana MAeno mbali mbali lakin ukiwa mlokole kamwe Hilo hutaliona maana brain washed ni kubwa
Ushahidi please
 
Either wewe ni mjinga,mpumbavu,mdini ama vyote..............
Hivi unajua >60% ya misaada U.S anatoa inaenda Israel...........Iran Wala Saudi Arabia hawaishi kwa msaada.
Msaada anaopewa Israel kuendesha maisha hata angepewa Msumbiji ingekua Dunia ya kwanza.
Hauamini kuwa wewe ni mpumbavu?πŸ˜†πŸ˜ƒπŸ˜…
 

Attachments

  • images (26)_1.jpeg
    49.6 KB · Views: 3
Shilingi moja ya kitanzania ni sawa na won 0.6 ya Korea kusini, tumewapita kiuchumi ??

channe ya youtube hata wewe unaweza kuweka Tanzania ni nchi ya kwanza kiuchumi, Source ikiwa story za vijiweni

Source ya uhakika wikipedia kwa backup ya imf statistics


 
Yes jamaa yupo Sahihi,linapokuja sual la science pale middle east Iran yupo mbele ya mudaπŸ˜ƒπŸ˜„
 

Attachments

  • Screenshot_20241223-232540.png
    214.5 KB · Views: 3
Sasa hapo ya kwanza ni parokia ya Roman catholic?,.......πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜ƒ
Katika nchi zote hizo Waislam ni 99%πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜‚
 

Attachments

  • Screenshot_20241223-232820.png
    199.5 KB · Views: 3
Wajinga wanaandika papers kila Leo...........salute kwao
 

Attachments

  • Screenshot_20241223-232540.png
    214.5 KB · Views: 3
Iran wamefunga internet kwa muda mrefu sana ni ngumu kuona videos zao isipokuwa za maafisa wa serikali

Iran ilirusha makombora 110 kuelekea makazi ya watu, Guess what ? Ni mtu mmoja tu alifariki tena ni upande wa Palestina.

Israel haikurusha makombora, waliwafuata huko kwao na ndege tena kwa kuwatumia marubani wa kike, unajua kilichotokea ??

Mawaziri kupitia chombo cha Al Jazeera walikiri (siongei maneno matupu chanzo hiki hapa )

  1. Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
  2. Radar zimeteketezwa
  3. Viwanda vya makombora vimelipuliwa
  4. Viwanda vya drones vimelipuliwa
Baada ya muda ikagundulika vinu vya kutengeneza umeme navyo vilipigwa, hadi sasa kuna tatizo sugu la umeme Iran

 
Huko nako wameshikilia vilivyo,

Kiwanda cha Pilau huingiza dola bilioni 12 (Trilioni 28) kwa mwaka

Kuna orodha iliwahi kutolewa hapa nchini ya mitandao inayotembelewa zaidi 😁 ngoja nikae kimya
Akili huna wewe, newton,keynes,galileo, socrates,adam smith etc walikua wayahudi?..aliyekwambia ukiwa myahudi unakua na akili nani?
 
Yes jamaa yupo Sahihi,linapokuja sual la science pale middle east Iran yupo mbele ya mudaπŸ˜ƒπŸ˜„
Innovation efficiency ni kipimo kisicho kamilifu, hata Wakenya wana rank nzuri

Ukitaka kujua hilo niambie Iran wana kampuni gani ya Tech inayokimbiza, Israel wana kampuni nyingi za Cyber security na Kilimo zinaongoza duniani

Iran kuna start ups ngapi kama ilivyo kwa Israel yenye utiriri wa startups kiasi cha kuitwa startup nation ?

Kampuni gani kubwa imeweka reseach na development centers Iran kama ilivyo kwa makampuni mengi makubwa kuweka ofisi zao Israel ?

Kitu kingine uwe unajibu ulichoulizwa sio kuanzisha vingine, Huyo jamaa yako kasema Iranian-Americans ndio most successfull immigrants, jamaa wameshika post za Scientist kote Usa kuanzia Google, IBM, Nimempinga kwa facts kwamba Ceos ni wahindi na owners ni Wayahudi, nadhani ungeenelezea hapo sio kuanzisha mada nyingine
 
Daaa! Haya mambo mnayatoaga wapi jamani. Hiyo mifano yako sielew hata mmoja labda wa Hitler tuuu. Watu mko deep sana
 
Hao sio wa Israeli wa kweli Hao ni mamluki kutoka ulaya mashariki wanaitwa khazarian au Ashkenaz sio wayaudi wa kwenye biblia wala hawana Uhusiano kabisa hao ni fake
Kwa hiyo na kiebrania walifundishwa ulaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…