Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

Ndugu yangu ivi wewe unadhan MWENYEZI MUNGU ni mwanadamu mwenzio, hebu kuwa na hofu kidogo bas

Acha mizaha ndugu yangu, acha kabisa
Acha kuambia watu wawe na hofu.
Bora umshauri apunguze ukali wa maneno kwa heshima ya ninyi waamini uzushi wa dini.
 
Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira

Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno wanapokosea kisha kusamehewa.

Wayahudi ni asilimia 1 tu duniani lakini wao ndio wanaongoza kwa kubeba Noble Prizes kwenye
  • Physics
  • Chemistry
  • Medicine (Physiology or Medicine)
  • Economics
  • Literature
Walipotolewa nchi yao na kupelekwa nchi za Ulaya, walinyimwa mashamba, walinyimwa fursa nyingi kwa kuamini watakuwa masikini milele, kilichotokea wao wakajikita kwenye banking, ni kweli benki zilikuwepo ila wao walienda kuleta mapinduzi makubwa kiasi cha watu hata wa kawaida kuanza kuziamini benki na kutumia huduma mbalimbali, Wengine wakajikita kwenye masomo na wakaweza kuushangaza ulimwengu kwa kushinda noble prizes kibao,

Ni ngumu kuamini Israel ipo vitani miaka nenda rudi lakini wao ni nchi ya pili kiuchumi Mashariki ya Kati, Uchumi wao ni Dola bilioni 500 (zaidi ya shilingi trilioni elfu 1) unganisha nchi zote za Africa Mashariki na kati zenye rasilimali kibao bado hazifikii, Ile dola bilioni 3 wanayopewa na Marekani kila mwaka ni sawa na Marekani anavyoipa Tanzania msaada wa kujenga vyoo.

Pesa zao huzipata kwa akili kwasababu ardhi yao haina rasili mali nyingi, Ndio nchi inayoongoza kwenye mambo ya kuwagundulia na kuwaboreshea huduma / bidhaa makampuni makubwa duniani, makampuni mengi yameweka ofisi za utafiti Israel kama Samsung, Intel, Huawei, Google, Ericsson, Sony, Microsoft, Siemens, i phone, Nokia, Facebook, Instagram, Whatsapp, Fujitsu, Amazon, NVIDIA, Philips, Cisco, Systems, IBM

Hadi sasa unapoongelea ishu ya cyber security, Israel ndie mbabe wa ulinzi wa mifumo ya computer, maadui zao kama Hezbollah ni mashahidi

Kampuni kubwa ya kilimo duniani ipo Israel,

Marekani ndio nchi inayoongoza kwa mabilionea, wayahudi ndio wapo wengi zaidi licha ya kuwa asilimia 2 ya wamarekani

Wayahudi ndio waanzilishi wa Hollywood, Movies unazoziona Hollywood kampuni takribani 80% ni za wayahudi
Kwahiyo Mungu anaupendeleo?mimi Mungu ninayemjua hana upendeleo anambariki mtu yoyote kwa Muda wowote.
 
Ngoja yake Sasa shauli zako. Wew huogopi key board jihadist?
 
Marekani kuna wanasayansi wengi wairan kuliko Wayahudi, na hata ukiangalia Actual papers za Sayansi na namna Zinavyokua Recited Iran wapo juu zaidi. Hizi propaganda mnazipenda kweli mna ongea habari za vijiweni bila hata Ushahidi.

Na jews Halisi according to science ni hao wapalestina Wanaouliwa sasa hivi. Hao Ashkenazi ambao unawasifia kwenye huu uzi wana vinasaba vidogo sana vya hilo eneo.

Kwa Tanzania wao na Israeli huwaambii kitu . Ukifsnya research utagundua wa Iran wamefanya paper nyingi sana MAeno mbali mbali lakin ukiwa mlokole kamwe Hilo hutaliona maana brain washed ni kubwa
Tatizo lenu ni story za vijiwe vya gahawa na kalimati zisizo na facts

Drop the facts sio bla bla za vijiweni
 
Bado walibondwa na iran kwa zaidi ya missel 110
Ajabu ni kwamba hizo missles zote zililenga makazi ya watu lakini zikaishia vichakani kwa kukosa teknolojia nzuri ya tareting.

Ni mtu moja tu alifariki ambae ni mpalestina aliedondokewa na kombora lililofeli

Israel harushi makombora, wanatuma marubani tena ni wa kike kwenda Iran, walichofanya wale watoto wa kike mpaka leo umeme umekuwa ni tatizo Iran
 
Iran ameshampita Mturuki na Muisrael kwenye Scientific Output, So far Middle East ndio Taifa lenye Gunduzi nyingi kushinda wote.

Na sio Kwao Tu Iran bali dunia nzima, mfano Usa si waisrael , si wahindi si taifa lolote bali ni Iranian-Americans ndio most successfull immigrants, jamaa wameshika post za Scientist kote Usa kuanzia Google, IBM, Nasa etc position za juu za Scientist ni wao.

Mfano Hapo Nasa hadi Project ya Mars alikua ana lead Muiran.
njia ya muongo ni fupi mno, huna facts wacha nikugonge kwa facts

Ma ceo wa kampuni kubwa nyingi kuanzia Google, Ibm, Youtube, n,k ni wahindi, wamiliki ni wayahudi

Huko vijiweni mnapotoshana sana, kuna kijiwe niliwahi kupita nikasikia eti wanasifia Iran wanaongoza kwa uchumi mkubwa dunia nzima

1734984877727.png
 
Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira

Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno wanapokosea kisha kusamehewa.

Wayahudi ni asilimia 1 tu duniani lakini wao ndio wanaongoza kwa kubeba Noble Prizes kwenye
  • Physics
  • Chemistry
  • Medicine (Physiology or Medicine)
  • Economics
  • Literature
Walipotolewa nchi yao na kupelekwa nchi za Ulaya, walinyimwa mashamba, walinyimwa fursa nyingi kwa kuamini watakuwa masikini milele, kilichotokea wao wakajikita kwenye banking, ni kweli benki zilikuwepo ila wao walienda kuleta mapinduzi makubwa kiasi cha watu hata wa kawaida kuanza kuziamini benki na kutumia huduma mbalimbali, Wengine wakajikita kwenye masomo na wakaweza kuushangaza ulimwengu kwa kushinda noble prizes kibao,

Ni ngumu kuamini Israel ipo vitani miaka nenda rudi lakini wao ni nchi ya pili kiuchumi Mashariki ya Kati, Uchumi wao ni Dola bilioni 500 (zaidi ya shilingi trilioni elfu 1) unganisha nchi zote za Africa Mashariki na kati zenye rasilimali kibao bado hazifikii, Ile dola bilioni 3 wanayopewa na Marekani kila mwaka ni sawa na Marekani anavyoipa Tanzania msaada wa kujenga vyoo.

Pesa zao huzipata kwa akili kwasababu ardhi yao haina rasili mali nyingi, Ndio nchi inayoongoza kwenye mambo ya kuwagundulia na kuwaboreshea huduma / bidhaa makampuni makubwa duniani, makampuni mengi yameweka ofisi za utafiti Israel kama Samsung, Intel, Huawei, Google, Ericsson, Sony, Microsoft, Siemens, i phone, Nokia, Facebook, Instagram, Whatsapp, Fujitsu, Amazon, NVIDIA, Philips, Cisco, Systems, IBM

Hadi sasa unapoongelea ishu ya cyber security, Israel ndie mbabe wa ulinzi wa mifumo ya computer, maadui zao kama Hezbollah ni mashahidi

Kampuni kubwa ya kilimo duniani ipo Israel,

Marekani ndio nchi inayoongoza kwa mabilionea, wayahudi ndio wapo wengi zaidi licha ya kuwa asilimia 2 ya wamarekani

Wayahudi ndio waanzilishi wa Hollywood, Movies unazoziona Hollywood kampuni takribani 80% ni za wayahudi
Either wewe ni mdini,mjinga ama Mpumbavu au*vyote* kama wale wakristo wachache wanaoamini Israel ni taifa lao,wakati dini kubwa pale ni Judaism na Islam😄😅😂🤣
Hizi hapa statistics za largest economy in the world,............
Hivi unajua ya kua top 5 strongest currencies in the world 80% zinatoka middle east na Israel haipo?
Bado hauamini kua wewe ni mpumbavu?😆😃😂🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20241223-230900.png
    Screenshot_20241223-230900.png
    502.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241223-231126.png
    Screenshot_20241223-231126.png
    239.7 KB · Views: 3
Ajabu ni kwamba hizo missles zote zililenga makazi ya watu lakini zikaishia vichakani kwa kukosa teknolojia nzuri ya tareting.

Ni mtu moja tu alifariki ambae ni mpalestina aliedondokewa na kombora lililofeli

Israel harushi makombora, wanatuma marubani tena ni wa kike kwenda Iran, walichofanya wale watoto wa kike mpaka leo umeme umekuwa ni tatizo Iran
Mpaka sasa ukienda YouTube , Instagram, Tiktok, X na mitandao yote ya kijamii imejaa video za makombora ya Iran yakipiga base za kijeshi za Israel, lakini hakuna hata video moja inayo onesha kipindi hizo ndege za Israel zilivyo kuwa zinaipiga Iran.

Badala yake kuna video zinazo onesha makombora yakidunguliwa.
 
Hao sio wa Israeli wa kweli Hao ni mamluki kutoka ulaya mashariki wanaitwa khazarian au Ashkenaz sio wayaudi wa kwenye biblia wala hawana Uhusiano kabisa hao ni fake
walijipeleka ulaya ?
 
Kwa Tanzania wao na Israeli huwaambii kitu . Ukifsnya research utagundua wa Iran wamefanya paper nyingi sana MAeno mbali mbali lakin ukiwa mlokole kamwe Hilo hutaliona maana brain washed ni kubwa
Ushahidi please
 
Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira

Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno wanapokosea kisha kusamehewa.

Wayahudi ni asilimia 1 tu duniani lakini wao ndio wanaongoza kwa kubeba Noble Prizes kwenye
  • Physics
  • Chemistry
  • Medicine (Physiology or Medicine)
  • Economics
  • Literature
Walipotolewa nchi yao na kupelekwa nchi za Ulaya, walinyimwa mashamba, walinyimwa fursa nyingi kwa kuamini watakuwa masikini milele, kilichotokea wao wakajikita kwenye banking, ni kweli benki zilikuwepo ila wao walienda kuleta mapinduzi makubwa kiasi cha watu hata wa kawaida kuanza kuziamini benki na kutumia huduma mbalimbali, Wengine wakajikita kwenye masomo na wakaweza kuushangaza ulimwengu kwa kushinda noble prizes kibao,

Ni ngumu kuamini Israel ipo vitani miaka nenda rudi lakini wao ni nchi ya pili kiuchumi Mashariki ya Kati, Uchumi wao ni Dola bilioni 500 (zaidi ya shilingi trilioni elfu 1) unganisha nchi zote za Africa Mashariki na kati zenye rasilimali kibao bado hazifikii, Ile dola bilioni 3 wanayopewa na Marekani kila mwaka ni sawa na Marekani anavyoipa Tanzania msaada wa kujenga vyoo.

Pesa zao huzipata kwa akili kwasababu ardhi yao haina rasili mali nyingi, Ndio nchi inayoongoza kwenye mambo ya kuwagundulia na kuwaboreshea huduma / bidhaa makampuni makubwa duniani, makampuni mengi yameweka ofisi za utafiti Israel kama Samsung, Intel, Huawei, Google, Ericsson, Sony, Microsoft, Siemens, i phone, Nokia, Facebook, Instagram, Whatsapp, Fujitsu, Amazon, NVIDIA, Philips, Cisco, Systems, IBM

Hadi sasa unapoongelea ishu ya cyber security, Israel ndie mbabe wa ulinzi wa mifumo ya computer, maadui zao kama Hezbollah ni mashahidi

Kampuni kubwa ya kilimo duniani ipo Israel,

Marekani ndio nchi inayoongoza kwa mabilionea, wayahudi ndio wapo wengi zaidi licha ya kuwa asilimia 2 ya wamarekani

Wayahudi ndio waanzilishi wa Hollywood, Movies unazoziona Hollywood kampuni takribani 80% ni za wayahudi
Either wewe ni mjinga,mpumbavu,mdini ama vyote..............
Hivi unajua >60% ya misaada U.S anatoa inaenda Israel...........Iran Wala Saudi Arabia hawaishi kwa msaada.
Msaada anaopewa Israel kuendesha maisha hata angepewa Msumbiji ingekua Dunia ya kwanza.
Hauamini kuwa wewe ni mpumbavu?😆😃😅
 
Attachments

  • images (26)_1.jpeg
    images (26)_1.jpeg
    49.6 KB · Views: 3
Either wewe ni mdini,mjinga ama Mpumbavu au*vyote* kama wale wakristo wachache wanaoamini Israel ni taifa lao,wakati dini kubwa pale ni Judaism na Islam😄😅😂🤣
Hizi hapa statistics za largest economy in the world,............
Hivi unajua ya kua top 5 strongest currencies in the world 80% zinatoka middle east na Israel haipo?
Bado hauamini kua wewe ni mpumbavu?😆😃😂🤣
Shilingi moja ya kitanzania ni sawa na won 0.6 ya Korea kusini, tumewapita kiuchumi ??

channe ya youtube hata wewe unaweza kuweka Tanzania ni nchi ya kwanza kiuchumi, Source ikiwa story za vijiweni

Source ya uhakika wikipedia kwa backup ya imf statistics

1734985535123.png
 
njia ya muongo ni fupi mno, huna facts wacha nikugonge kwa facts

Ma ceo wa kampuni kubwa nyingi kuanzia Google, Ibm, Youtube, n,k ni wahindi, wamiliki ni wayahudi

Huko vijiweni mnapotoshana sana, kuna kijiwe niliwahi kupita nikasikia eti wanasifia Iran wanaongoza kwa uchumi mkubwa dunia nzima

View attachment 3183579
Yes jamaa yupo Sahihi,linapokuja sual la science pale middle east Iran yupo mbele ya muda😃😄
 
Attachments

  • Screenshot_20241223-232540.png
    Screenshot_20241223-232540.png
    214.5 KB · Views: 3
Shilingi moja ya kitanzania ni sawa na won 0.6 ya Korea kusini, tumewapita kiuchumi ??

channe ya youtube hata wewe unaweza kuweka Tanzania ni nchi ya kwanza kiuchumi, Source ikiwa story za vijiweni

Source ya uhakika wikipedia kwa backup ya imf statistics

View attachment 3183591
Sasa hapo ya kwanza ni parokia ya Roman catholic?,.......😁😃😅😃
Katika nchi zote hizo Waislam ni 99%😅😃😂
 
Attachments

  • Screenshot_20241223-232820.png
    Screenshot_20241223-232820.png
    199.5 KB · Views: 3
Wajinga wanaandika papers kila Leo...........salute kwao
 
Attachments

  • Screenshot_20241223-232540.png
    Screenshot_20241223-232540.png
    214.5 KB · Views: 3
Mpaka sasa ukienda YouTube , Instagram, Tiktok, X na mitandao yote ya kijamii imejaa video za makombora ya Iran yakipiga base za kijeshi za Israel, lakini hakuna hata video moja inayo onesha kipindi hizo ndege za Israel zilivyo kuwa zinaipiga Iran.

Badala yake kuna video zinazo onesha makombora yakidunguliwa.
Iran wamefunga internet kwa muda mrefu sana ni ngumu kuona videos zao isipokuwa za maafisa wa serikali

Iran ilirusha makombora 110 kuelekea makazi ya watu, Guess what ? Ni mtu mmoja tu alifariki tena ni upande wa Palestina.

Israel haikurusha makombora, waliwafuata huko kwao na ndege tena kwa kuwatumia marubani wa kike, unajua kilichotokea ??

Mawaziri kupitia chombo cha Al Jazeera walikiri (siongei maneno matupu chanzo hiki hapa )

  1. Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
  2. Radar zimeteketezwa
  3. Viwanda vya makombora vimelipuliwa
  4. Viwanda vya drones vimelipuliwa
Baada ya muda ikagundulika vinu vya kutengeneza umeme navyo vilipigwa, hadi sasa kuna tatizo sugu la umeme Iran

Huko nako wameshikilia vilivyo,

Kiwanda cha Pilau huingiza dola bilioni 12 (Trilioni 28) kwa mwaka

Kuna orodha iliwahi kutolewa hapa nchini ya mitandao inayotembelewa zaidi 😁 ngoja nikae kimya
Akili huna wewe, newton,keynes,galileo, socrates,adam smith etc walikua wayahudi?..aliyekwambia ukiwa myahudi unakua na akili nani?
 
Yes jamaa yupo Sahihi,linapokuja sual la science pale middle east Iran yupo mbele ya muda😃😄
Innovation efficiency ni kipimo kisicho kamilifu, hata Wakenya wana rank nzuri

Ukitaka kujua hilo niambie Iran wana kampuni gani ya Tech inayokimbiza, Israel wana kampuni nyingi za Cyber security na Kilimo zinaongoza duniani

Iran kuna start ups ngapi kama ilivyo kwa Israel yenye utiriri wa startups kiasi cha kuitwa startup nation ?

Kampuni gani kubwa imeweka reseach na development centers Iran kama ilivyo kwa makampuni mengi makubwa kuweka ofisi zao Israel ?

Kitu kingine uwe unajibu ulichoulizwa sio kuanzisha vingine, Huyo jamaa yako kasema Iranian-Americans ndio most successfull immigrants, jamaa wameshika post za Scientist kote Usa kuanzia Google, IBM, Nimempinga kwa facts kwamba Ceos ni wahindi na owners ni Wayahudi, nadhani ungeenelezea hapo sio kuanzisha mada nyingine
 
Wayahudi hawaonewi wivu. Kuna sababu za msingi na zinajulikana kwanini nchi yoyote wanapokuwa wengi huwa hawapendwi, wanabaguliwa, kutengwa au hata kuuwawa.

Soviet Union hawakutakiwa sana, Stalin alikaa nao mbali. Stalin hakutaka kabisa kutibiwa na madaktari Wayahudi waliokuwa wengi.

Ufaransa walisababisha mgogoro wa Dreyfusards na anti-Dreyfusards.

Marekani Wayahudi kutumia udanganyifu na lobying kwenye kesi ya Leo Frank walisababisha raia kujichukulia sheria mkononi. Na kundi la Ku Klux Klan lilitokana na sababu zao.

Ujerumani uko kwanini Hitler alihamasisha watu wawachukie Wayahudi, na watu wakamuunga mkono haraka sana. Mbona kulikuwa na French descendants, Poles, Austrians na wengine, mbona hawakuchukiwa? How comes Ujerumani ilikuwa na ubaguzi, ila inabagua jamii moja tu!
Yaani mfano unasema Wayao ni wabaguzi ila sasa wanawachukia Wagogo peke yao kati ya makabila 120+ Tanzania, hapo Wayao wabaguzi au kuna kitu behind katika hao Wagogo wanaobaguliwa?

Waarabu ndio hawa hawawataki Wayahudi.

Warumi hawakuwapenda Wayahudi kati ya makoloni yao yote Judea ndio ilichukiwa. Na ndio maana makamanda Titus na Tiberius walifanya siege kwa miezi mitano kuhakikisha Wayahudi wanakosa chakula, maji na hawatoki. Na wakavunja temple, hadi leo sanduku la agano halijulikani lilipo.

Popote pale ambapo Myahudi anakuwa kwa wingi, eventually atachukiwa. Sasa shida ni walimwengu dunia nzima au Wayahudi wenyewe?
Daaa! Haya mambo mnayatoaga wapi jamani. Hiyo mifano yako sielew hata mmoja labda wa Hitler tuuu. Watu mko deep sana
 
Hao sio wa Israeli wa kweli Hao ni mamluki kutoka ulaya mashariki wanaitwa khazarian au Ashkenaz sio wayaudi wa kwenye biblia wala hawana Uhusiano kabisa hao ni fake
Kwa hiyo na kiebrania walifundishwa ulaya?
 
Back
Top Bottom