Aaaaiisee upo ok lakini? Hemu ka kwanza kwenye tulia kidogo kwenywa maji. Haya sasa hemu anza mwanzo kutuambiaIran ameshampita Mturuki na Muisrael kwenye Scientific Output, So far Middle East ndio Taifa lenye Gunduzi nyingi kushinda wote.
Na sio Kwao Tu Iran bali dunia nzima, mfano Usa si waisrael , si wahindi si taifa lolote bali ni Iranian-Americans ndio most successfull immigrants, jamaa wameshika post za Scientist kote Usa kuanzia Google, IBM, Nasa etc position za juu za Scientist ni wao.
Mfano Hapo Nasa hadi Project ya Mars alikua ana lead Muiran.
CEO sio scientist hapo ndipo unapoanza kujichanganya, manager yoyote yule anaweza kuwa CEO, huhitaji kuwa smart kivile, ila kuwa scientist unahitaji kichwani uwe vizuri.njia ya muongo ni fupi mno, huna facts wacha nikugonge kwa facts
Ma ceo wa kampuni kubwa nyingi kuanzia Google, Ibm, Youtube, n,k ni wahindi, wamiliki ni wayahudi
Huko vijiweni mnapotoshana sana, kuna kijiwe niliwahi kupita nikasikia eti wanasifia Iran wanaongoza kwa uchumi mkubwa dunia nzima
View attachment 3183579
comment iliopita tumemaliza iranian American nimekupa list ndefu tu, hapa nakupa ushahidi mwengine kwamba wao ndio most educated Ethnic group Usa, utafiti umefanywa na MIT Massachusetts Institute of TechnologyTatizo lenu ni story za vijiwe vya gahawa na kalimati zisizo na facts
Drop the facts sio bla bla za vijiweni
| COUNTRY | TOP 100 | 101-500 | 501-1000 | 1001-5000 | 5001-10000 | TOTAL |
|---|---|---|---|---|---|---|
| Israel | 0 | 5 | 2 | 20 | 18 | 55 |
| Iran | 0 | 2 | 9 | 118 | 31 | 440 |
| Rank | Country | Number of Annual Engineering/Manufacturing/Construction Graduates |
|---|---|---|
| 1 | Russian Federation | 454,436 |
| 2 | United States | 237,826 |
| 3 | Iran | 233,695 |
| 4 | Japan | 168,214 |
| 5 | South Korea | 147,858 |
| 6 | Indonesia | 140,169 |
| 7 | Ukraine | 130,391 |
| 8 | Mexico | 113,944 |
| 9 | France | 104,746 |
| 10 | Vietnam | 100,390 |
Hao computer scientists uliowaweka hapo ni wachache sana kulinganisha na wayahudi, Kwa kukurahishia ni kwamba Noble Prizes nyingi za Science na Technology zipo kwa wayahudi, Lakini bado haimaanishi kwamba hakuna wanasayansi wengine, wapo hata wa Iran na wana michango yao,CEO sio scientist hapo ndipo unapoanza kujichanganya, manager yoyote yule anaweza kuwa CEO, huhitaji kuwa smart kivile, ila kuwa scientist unahitaji kichwani uwe vizuri.
nimekupa mfano Hapo Nasa mtu aliekua responsible na project ya Mars Firouz Nadari ni Muiran
sio yeye Tu hapo NASA wamejaa kibao,
si NASA tu angalia hizi contribution za hawa scientist
1. Ghavam Shahidi, head wa silicon IBM soma contribution yake kwenye computer na silicon hapa
2. ben Fathi moja ya vichwa vilivyodevelop software nyingi tunazotumia leo kuanzia core ya windows, Cisco na vinginevyo
3. Pierre Omidyar, founder wa Ebay na software egnineer
4. sarkis Acopian mvumbuzi wa solar radio
5. siavashi alamouti mgunduzi wa Alamouti code ambayo mpaka leo imefanya space time block kuwa possible na unatumia technology za wireless.
6. Arashi Ferdowsi founder wa dropbox
7. Bob Miner co founder wa Oracle
8. justin Mateen founder wa Tinder
9. Farzad Nazeem aliyeitoa Yahoo from Nothing hadi kuwa Giant
10. parisa tabreez bi dada behind project nyingi unazizona za chrome, na security za google
hao ni wachache tu Iranian American ambao wamegundua ama kuanzisha vitu ambavyo vimekuwa ma giant ulimwengu wetu wa sasa.
kama mimi na wewe unaweza niwekea wavumbuzi wahindi wenye contribution kama hio?
Nobel prize ni Tuzo imeanzishwa na wayahudi, kuna wauaji wangapi wamepewa hio Tuzo wapo kibao ni Tuzo yenye utata iliojaa damu. So kutumia Tuzo ya wayahudi ambayo wanamchagua wanayemtaka kama kigezo cha kuangalia ubora wa wanasayansi ni ujinga tu.Hapo Nasa kuna kina Armstrong, Baba wa Apollo
Ingawa Firouz Naderi ana mchango wake katika maendeleo ya uchunguzi wa anga za juu, jukumu la Neil Armstrong kama mtu wa kwanza kutua kwenye Mwezi linaashiria mojawapo ya mafanikio makubwa zaidi katika historia ya binadamu, na kufanya mchango wake kuwa wa umuhimu wa kiulimwengu zaidi.
Hao computer scientists uliowaweka hapo ni wachache sana kulinganisha na wayahudi, Kwa kukurahishia ni kwamba Noble Prizes nyingi za Science na Technology zipo kwa wayahudi, Lakini bado haimaanishi kwamba hakuna wanasayansi wengine, wapo hata wa Iran na wana michango yao,
Mungu hapendelei. Wayahudi hawajapndelewa bali wanasifika kwa utapeli, kujipendekeza hata usaliti. Kuna waswahili wengi waliogundua vitu vingi huko Marekani lakini wazungu wakapachika majina yao au kutowatambua hebu Bonyeza hapa na hapa hii mfano mdogo tu.Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira
Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno wanapokosea kisha kusamehewa.
Wayahudi ni asilimia 0.2% tu duniani lakini wao ndio wanaongoza kwa kubeba Noble Prizes kwenye
Walipotolewa nchi yao na kupelekwa nchi za Ulaya, walinyimwa mashamba, walinyimwa fursa nyingi kwa kuamini watakuwa masikini milele, kilichotokea wao wakajikita kwenye banking, ni kweli benki zilikuwepo ila wao walienda kuleta mapinduzi makubwa kiasi cha watu hata wa kawaida kuanza kuziamini benki na kutumia huduma mbalimbali, Wengine wakajikita kwenye masomo na wakaweza kuushangaza ulimwengu kwa kushinda noble prizes kibao,
- Physics
- Chemistry
- Medicine (Physiology or Medicine)
- Economics
- Literature
Ni ngumu kuamini Israel ipo vitani miaka nenda rudi lakini wao ni nchi ya pili kiuchumi Mashariki ya Kati, Uchumi wao ni Dola bilioni 500 (zaidi ya shilingi trilioni elfu 1) unganisha nchi zote za Africa Mashariki na kati zenye rasilimali kibao bado hazifikii, Ile dola bilioni 3 wanayopewa na Marekani kila mwaka ni sawa na Marekani anavyoipa Tanzania msaada wa kujenga vyoo.
Pesa zao huzipata kwa akili kwasababu ardhi yao haina rasili mali nyingi, Ndio nchi inayoongoza kwenye mambo ya kuwagundulia na kuwaboreshea huduma / bidhaa makampuni makubwa duniani, makampuni mengi yameweka ofisi za utafiti Israel kama Samsung, Intel, Huawei, Google, Ericsson, Sony, Microsoft, Siemens, i phone, Nokia, Facebook, Instagram, Whatsapp, Fujitsu, Amazon, NVIDIA, Philips, Cisco, Systems, IBM
Hadi sasa unapoongelea ishu ya cyber security, Israel ndie mbabe wa ulinzi wa mifumo ya computer, maadui zao kama Hezbollah ni mashahidi
Kampuni kubwa ya kilimo duniani ipo Israel,
Marekani ndio nchi inayoongoza kwa mabilionea, wayahudi ndio wapo wengi zaidi licha ya kuwa asilimia 2 ya wamarekani
Wayahudi ndio waanzilishi wa Hollywood, Movies unazoziona Hollywood kampuni takribani 80% ni za wayahudi
chanzo ulichoweka website hakina uzito wowote, Mwenye website hana hata pesa ya kuiendesha imefungiwacomment iliopita tumemaliza iranian American nimekupa list ndefu tu, hapa nakupa ushahidi mwengine kwamba wao ndio most educated Ethnic group Usa, utafiti umefanywa na MIT Massachusetts Institute of Technology
The group estimates that the actual number of Iranian-Americans may top 691,000 — more than twice the figure of 338,000 cited in the 2000 U.S. census. According to the latest census data available, more than one in four Iranian-Americans holds a master’s or doctoral degree, the highest rate among 67 ethnic groups studied.
source imekuwa archived hapa
ukiwa na community kila watu 4 basi mmoja ana PHD au Master utaiitaje?
tuje sasa Middle East,
1. ubora wa vyuo
COUNTRY TOP 100 101-500 501-1000 1001-5000 5001-10000 TOTAL Israel 0 5 2 20 18 55 Iran 0 2 9 118 31 440
source Countries arranged by Number of Universities in Top Ranks | Ranking Web of Universities: Webometrics ranks 30000 institutions
kwenye Vyuo by Far Muiran ana Vyuo vingi na Bora.
2. publications za Sayansi
nako Iran anachuana na Saudi na Mturuki israel akifuatia kwa mbali
source
3. Engineer graduates
Iran ni Nchi ya 3 Duniani nyuma ya Urusi na USA kuproduce ma Engineer wengi zaidi
Rank Country Number of Annual Engineering/Manufacturing/Construction Graduates 1 Russian Federation 454,436 2 United States 237,826 3 Iran 233,695 4 Japan 168,214 5 South Korea 147,858 6 Indonesia 140,169 7 Ukraine 130,391 8 Mexico 113,944 9 France 104,746 10 Vietnam 100,390
source
Countries That Produce the Most Engineers
Russia produces the highest number of engineering/manufacturing/construction graduates in the world.www.worldatlas.com
kitu pekee Ambacho Muisrael anampita Muiran ni kuomba misaada.
Kwa haya uliyo yaandika hapa ina onesha kiwango cha upumbavu kilichoko kwenye kichwa chako,Iran irushe makombora kwenye makazi ya watu ili ipate faida gani?Iran wamefunga internet kwa muda mrefu sana ni ngumu kuona videos zao isipokuwa za maafisa wa serikali
Iran ilirusha makombora 110 kuelekea makazi ya watu, Guess what ? Ni mtu mmoja tu alifariki tena ni upande wa Palestina.
Israel haikurusha makombora, waliwafuata huko kwao na ndege tena kwa kuwatumia marubani wa kike, unajua kilichotokea ??
Mawaziri kupitia chombo cha Al Jazeera walikiri (siongei maneno matupu chanzo hiki hapa )
Baada ya muda ikagundulika vinu vya kutengeneza umeme navyo vilipigwa, hadi sasa kuna tatizo sugu la umeme Iran
- Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
- Radar zimeteketezwa
- Viwanda vya makombora vimelipuliwa
- Viwanda vya drones vimelipuliwa
Iran key services shut as rial plunges amid energy crisis, regional tension
Iranians reel from worsening power cuts, fuel shortages, partial shutdowns and a falling purchasing power.www.aljazeera.com
Source sio Payvands hao ndio walio report source Ni MIT university. Unaweza tafuta site yoyote ilioreport kama unataka ku question data Question hio university na sio website ilio report.chanzo ulichoweka website hakina uzito wowote, Mwenye website hana hata pesa ya kuiendesha imefungiwa
www.payvand.com
Hata mimi naweza kuweka video kwamba Wanigeria ndio watu waliolemika zaidi duniani
View attachment 3183675
Kuhusu ubora wa vyuo kwa picha uliyoweka ni kwamba Israel wana vyuo bora vingi kwenye nafasi ya juu kuzidi Iran, Halafu uwe unajiongeza mkuu, Iran ina ukubwa zaidi ya mara 100 ya Israel, Israel ipp limited kujenga vyuo
Hii ni Havard university inaonyesha graduates kulingana na mataifa, Kila mwaka idadi ya wayahudi walioelimika inaongezeka hawa ni kutoka Israel waweke kando wa Marekani, Hakuna hata nchi moja ya kiarabu iliyoweza kupenya hii list.
View attachment 3183676
Mimi nakuwekea source za uhakika sio za kubangaiza Worldwide Data | Harvard Worldwide
Unaweza kuwa na utitiri wa scientific publications lakini ukazidiwa mbali mifano ni nchi kama Indonesia, Brazil, n.k. Israel ipo kivitendo zaidi ndio maana makampuni mengi yamejazana huko kutafitiwa na kuendelezewa bidhaa / huduma.
Hao engineers ungejiongeza kidogo kutathmini population kwa kila nchi, Pia source uliyoweka haijaweka reference ya uhakika ya ku proove, Lakini muhimu kuzidi vyote hao engineers wana impact ipi ? Ukienda Israel Engineers wameweza kutengeneza kampuni kubwa ya kilimo dunia nzima, Kwenye cyber security wanakimbiza, Makampuni ya nchi kibao yanawekeza Israel kubuniwa bidhaa na engineers.
Hebu tutajie huyo Muiran anayeongoza Project za Nasa kama sio kutulisha matango pori ya Ukobazini..Iran ameshampita Mturuki na Muisrael kwenye Scientific Output, So far Middle East ndio Taifa lenye Gunduzi nyingi kushinda wote.
Na sio Kwao Tu Iran bali dunia nzima, mfano Usa si waisrael , si wahindi si taifa lolote bali ni Iranian-Americans ndio most
Mfano Hapo Nasa hadi Project ya Mars alikua ana lead Muiran.
Firouz Naderi jina LakeHebu tutajie huyo Muiran anayeongoza Project za Nasa kama sio kutulisha matango pori ya Ukobazini..
Kama ndo ivyo mamaeee basi hakuna munguKama Mungu ana upendeleo basi huyo Mungu analiwa tako.
Kwanini awe na tabia za kibinadamu?
Mungu ana wivu, Mungu ana watu wake, Mungu anapata hasira.
Sasa huyo Mungu au choko.
0Tatizo lenu ni story za vijiwe vya gahawa na kalimati zisizo na facts
Drop the facts sio bla bla za vijiweni
Nilikuwa Nafanya litrature review ya topic flan nilipewa kwa hakiki Jamaa wanapepar nyingi sana kwenye eneo la vaccine pake yake sikuku hata na paper moja iliyotoka iseael taifa la munguIran ameshampita Mturuki na Muisrael kwenye Scientific Output, So far Middle East ndio Taifa lenye Gunduzi nyingi kushinda wote.
Na sio Kwao Tu Iran bali dunia nzima, mfano Usa si waisrael , si wahindi si taifa lolote bali ni Iranian-Americans ndio most successfull immigrants, jamaa wameshika post za Scientist kote Usa kuanzia Google, IBM, Nasa etc position za juu za Scientist ni wao.
Mfano Hapo Nasa hadi Project ya Mars alikua ana lead Muiran.