Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

Iran ameshampita Mturuki na Muisrael kwenye Scientific Output, So far Middle East ndio Taifa lenye Gunduzi nyingi kushinda wote.

Na sio Kwao Tu Iran bali dunia nzima, mfano Usa si waisrael , si wahindi si taifa lolote bali ni Iranian-Americans ndio most successfull immigrants, jamaa wameshika post za Scientist kote Usa kuanzia Google, IBM, Nasa etc position za juu za Scientist ni wao.

Mfano Hapo Nasa hadi Project ya Mars alikua ana lead Muiran.
Aaaaiisee upo ok lakini? Hemu ka kwanza kwenye tulia kidogo kwenywa maji. Haya sasa hemu anza mwanzo kutuambia
 
njia ya muongo ni fupi mno, huna facts wacha nikugonge kwa facts

Ma ceo wa kampuni kubwa nyingi kuanzia Google, Ibm, Youtube, n,k ni wahindi, wamiliki ni wayahudi

Huko vijiweni mnapotoshana sana, kuna kijiwe niliwahi kupita nikasikia eti wanasifia Iran wanaongoza kwa uchumi mkubwa dunia nzima

View attachment 3183579
CEO sio scientist hapo ndipo unapoanza kujichanganya, manager yoyote yule anaweza kuwa CEO, huhitaji kuwa smart kivile, ila kuwa scientist unahitaji kichwani uwe vizuri.

nimekupa mfano Hapo Nasa mtu aliekua responsible na project ya Mars Firouz Nadari ni Muiran

sio yeye Tu hapo NASA wamejaa kibao,

si NASA tu angalia hizi contribution za hawa scientist

1. Ghavam Shahidi, head wa silicon IBM soma contribution yake kwenye computer na silicon hapa

2. ben Fathi moja ya vichwa vilivyodevelop software nyingi tunazotumia leo kuanzia core ya windows, Cisco na vinginevyo

3. Pierre Omidyar, founder wa Ebay na software egnineer

4. sarkis Acopian mvumbuzi wa solar radio

5. siavashi alamouti mgunduzi wa Alamouti code ambayo mpaka leo imefanya space time block kuwa possible na unatumia technology za wireless.
6. Arashi Ferdowsi founder wa dropbox
7. Bob Miner co founder wa Oracle
8. justin Mateen founder wa Tinder
9. Farzad Nazeem aliyeitoa Yahoo from Nothing hadi kuwa Giant
10. parisa tabreez bi dada behind project nyingi unazizona za chrome, na security za google

hao ni wachache tu Iranian American ambao wamegundua ama kuanzisha vitu ambavyo vimekuwa ma giant ulimwengu wetu wa sasa.

kama mimi na wewe unaweza niwekea wavumbuzi wahindi wenye contribution kama hio?
 
Ila hao jamaa kiukweli akili wanazo!
Mengine namwachia mtoa post.
 
Israel wanachukiwa kwa mambo mengine, kuhusu akili kuna wenye akili zaidi...
 
Tatizo lenu ni story za vijiwe vya gahawa na kalimati zisizo na facts

Drop the facts sio bla bla za vijiweni
comment iliopita tumemaliza iranian American nimekupa list ndefu tu, hapa nakupa ushahidi mwengine kwamba wao ndio most educated Ethnic group Usa, utafiti umefanywa na MIT Massachusetts Institute of Technology

The group estimates that the actual number of Iranian-Americans may top 691,000 — more than twice the figure of 338,000 cited in the 2000 U.S. census. According to the latest census data available, more than one in four Iranian-Americans holds a master’s or doctoral degree, the highest rate among 67 ethnic groups studied.

source imekuwa archived hapa

ukiwa na community kila watu 4 basi mmoja ana PHD au Master utaiitaje?

tuje sasa Middle East,

1. ubora wa vyuo

COUNTRYTOP 100101-500501-10001001-50005001-10000TOTAL
Israel052201855
Iran02911831440
source Countries arranged by Number of Universities in Top Ranks | Ranking Web of Universities: Webometrics ranks 30000 institutions
kwenye Vyuo by Far Muiran ana Vyuo vingi na Bora.

2. publications za Sayansi
nako Iran anachuana na Saudi na Mturuki israel akifuatia kwa mbali

source

3. Engineer graduates
Iran ni Nchi ya 3 Duniani nyuma ya Urusi na USA kuproduce ma Engineer wengi zaidi
RankCountryNumber of Annual Engineering/Manufacturing/Construction Graduates
1Russian Federation454,436
2United States237,826
3Iran233,695
4Japan168,214
5South Korea147,858
6Indonesia140,169
7Ukraine130,391
8Mexico113,944
9France104,746
10Vietnam100,390

source

kitu pekee Ambacho Muisrael anampita Muiran ni kuomba misaada.
 
CEO sio scientist hapo ndipo unapoanza kujichanganya, manager yoyote yule anaweza kuwa CEO, huhitaji kuwa smart kivile, ila kuwa scientist unahitaji kichwani uwe vizuri.

nimekupa mfano Hapo Nasa mtu aliekua responsible na project ya Mars Firouz Nadari ni Muiran

sio yeye Tu hapo NASA wamejaa kibao,

si NASA tu angalia hizi contribution za hawa scientist

1. Ghavam Shahidi, head wa silicon IBM soma contribution yake kwenye computer na silicon hapa

2. ben Fathi moja ya vichwa vilivyodevelop software nyingi tunazotumia leo kuanzia core ya windows, Cisco na vinginevyo

3. Pierre Omidyar, founder wa Ebay na software egnineer

4. sarkis Acopian mvumbuzi wa solar radio

5. siavashi alamouti mgunduzi wa Alamouti code ambayo mpaka leo imefanya space time block kuwa possible na unatumia technology za wireless.
6. Arashi Ferdowsi founder wa dropbox
7. Bob Miner co founder wa Oracle
8. justin Mateen founder wa Tinder
9. Farzad Nazeem aliyeitoa Yahoo from Nothing hadi kuwa Giant
10. parisa tabreez bi dada behind project nyingi unazizona za chrome, na security za google

hao ni wachache tu Iranian American ambao wamegundua ama kuanzisha vitu ambavyo vimekuwa ma giant ulimwengu wetu wa sasa.

kama mimi na wewe unaweza niwekea wavumbuzi wahindi wenye contribution kama hio?
Hao computer scientists uliowaweka hapo ni wachache sana kulinganisha na wayahudi, Kwa kukurahishia ni kwamba Noble Prizes nyingi za Science na Technology zipo kwa wayahudi, Lakini bado haimaanishi kwamba hakuna wanasayansi wengine, wapo hata wa Iran na wana michango yao,
 
Hapo Nasa kuna kina Armstrong, Baba wa Apollo

Ingawa Firouz Naderi ana mchango wake katika maendeleo ya uchunguzi wa anga za juu, jukumu la Neil Armstrong kama mtu wa kwanza kutua kwenye Mwezi linaashiria mojawapo ya mafanikio makubwa zaidi katika historia ya binadamu, na kufanya mchango wake kuwa wa umuhimu wa kiulimwengu zaidi.

Hao computer scientists uliowaweka hapo ni wachache sana kulinganisha na wayahudi, Kwa kukurahishia ni kwamba Noble Prizes nyingi za Science na Technology zipo kwa wayahudi, Lakini bado haimaanishi kwamba hakuna wanasayansi wengine, wapo hata wa Iran na wana michango yao,
Nobel prize ni Tuzo imeanzishwa na wayahudi, kuna wauaji wangapi wamepewa hio Tuzo wapo kibao ni Tuzo yenye utata iliojaa damu. So kutumia Tuzo ya wayahudi ambayo wanamchagua wanayemtaka kama kigezo cha kuangalia ubora wa wanasayansi ni ujinga tu.

Na Armstrong alikua Mjerumani/Mscotland sijajua anahusika vipi na hii Mada.

Pia nimekutajia baadhi sio kwamba hao ni wote kuna maelfu ya scientist wa kiiran hapo Usa kama nilivyokwambia comment nyengine kila Iranian American 4 basi mmoja ana master ama PhD, they are that smart,
 
Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira

Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno wanapokosea kisha kusamehewa.

Wayahudi ni asilimia 0.2% tu duniani lakini wao ndio wanaongoza kwa kubeba Noble Prizes kwenye
  • Physics
  • Chemistry
  • Medicine (Physiology or Medicine)
  • Economics
  • Literature
Walipotolewa nchi yao na kupelekwa nchi za Ulaya, walinyimwa mashamba, walinyimwa fursa nyingi kwa kuamini watakuwa masikini milele, kilichotokea wao wakajikita kwenye banking, ni kweli benki zilikuwepo ila wao walienda kuleta mapinduzi makubwa kiasi cha watu hata wa kawaida kuanza kuziamini benki na kutumia huduma mbalimbali, Wengine wakajikita kwenye masomo na wakaweza kuushangaza ulimwengu kwa kushinda noble prizes kibao,

Ni ngumu kuamini Israel ipo vitani miaka nenda rudi lakini wao ni nchi ya pili kiuchumi Mashariki ya Kati, Uchumi wao ni Dola bilioni 500 (zaidi ya shilingi trilioni elfu 1) unganisha nchi zote za Africa Mashariki na kati zenye rasilimali kibao bado hazifikii, Ile dola bilioni 3 wanayopewa na Marekani kila mwaka ni sawa na Marekani anavyoipa Tanzania msaada wa kujenga vyoo.

Pesa zao huzipata kwa akili kwasababu ardhi yao haina rasili mali nyingi, Ndio nchi inayoongoza kwenye mambo ya kuwagundulia na kuwaboreshea huduma / bidhaa makampuni makubwa duniani, makampuni mengi yameweka ofisi za utafiti Israel kama Samsung, Intel, Huawei, Google, Ericsson, Sony, Microsoft, Siemens, i phone, Nokia, Facebook, Instagram, Whatsapp, Fujitsu, Amazon, NVIDIA, Philips, Cisco, Systems, IBM

Hadi sasa unapoongelea ishu ya cyber security, Israel ndie mbabe wa ulinzi wa mifumo ya computer, maadui zao kama Hezbollah ni mashahidi

Kampuni kubwa ya kilimo duniani ipo Israel,

Marekani ndio nchi inayoongoza kwa mabilionea, wayahudi ndio wapo wengi zaidi licha ya kuwa asilimia 2 ya wamarekani

Wayahudi ndio waanzilishi wa Hollywood, Movies unazoziona Hollywood kampuni takribani 80% ni za wayahudi
Mungu hapendelei. Wayahudi hawajapndelewa bali wanasifika kwa utapeli, kujipendekeza hata usaliti. Kuna waswahili wengi waliogundua vitu vingi huko Marekani lakini wazungu wakapachika majina yao au kutowatambua hebu Bonyeza hapa na hapa hii mfano mdogo tu.
 
comment iliopita tumemaliza iranian American nimekupa list ndefu tu, hapa nakupa ushahidi mwengine kwamba wao ndio most educated Ethnic group Usa, utafiti umefanywa na MIT Massachusetts Institute of Technology

The group estimates that the actual number of Iranian-Americans may top 691,000 — more than twice the figure of 338,000 cited in the 2000 U.S. census. According to the latest census data available, more than one in four Iranian-Americans holds a master’s or doctoral degree, the highest rate among 67 ethnic groups studied.

source imekuwa archived hapa

ukiwa na community kila watu 4 basi mmoja ana PHD au Master utaiitaje?

tuje sasa Middle East,

1. ubora wa vyuo

COUNTRYTOP 100101-500501-10001001-50005001-10000TOTAL
Israel052201855
Iran02911831440

source Countries arranged by Number of Universities in Top Ranks | Ranking Web of Universities: Webometrics ranks 30000 institutions
kwenye Vyuo by Far Muiran ana Vyuo vingi na Bora.

2. publications za Sayansi
nako Iran anachuana na Saudi na Mturuki israel akifuatia kwa mbali

source

3. Engineer graduates
Iran ni Nchi ya 3 Duniani nyuma ya Urusi na USA kuproduce ma Engineer wengi zaidi
RankCountryNumber of Annual Engineering/Manufacturing/Construction Graduates
1Russian Federation454,436
2United States237,826
3Iran233,695
4Japan168,214
5South Korea147,858
6Indonesia140,169
7Ukraine130,391
8Mexico113,944
9France104,746
10Vietnam100,390

source

kitu pekee Ambacho Muisrael anampita Muiran ni kuomba misaada.
chanzo ulichoweka website hakina uzito wowote, Mwenye website hana hata pesa ya kuiendesha imefungiwa

www.payvand.com

Hata mimi naweza kuweka video kwamba Wanigeria ndio watu waliolemika zaidi duniani

1734996348758.png

Kuhusu ubora wa vyuo kwa picha uliyoweka ni kwamba Israel wana vyuo bora vingi kwenye nafasi ya juu kuzidi Iran, Halafu uwe unajiongeza mkuu, Iran ina ukubwa zaidi ya mara 100 ya Israel, Israel ipp limited kujenga vyuo

Hii ni Havard university inaonyesha graduates kulingana na mataifa, Kila mwaka idadi ya wayahudi walioelimika inaongezeka hawa ni kutoka Israel waweke kando wa Marekani, Hakuna hata nchi moja ya kiarabu iliyoweza kupenya hii list.

1734996768059.png

Mimi nakuwekea source za uhakika sio za kubangaiza Worldwide Data | Harvard Worldwide

Unaweza kuwa na utitiri wa scientific publications lakini ukazidiwa mbali mifano ni nchi kama Indonesia, Brazil, n.k. Israel ipo kivitendo zaidi ndio maana makampuni mengi yamejazana huko kutafitiwa na kuendelezewa bidhaa / huduma.

Hao engineers ungejiongeza kidogo kutathmini population kwa kila nchi, Pia source uliyoweka haijaweka reference ya uhakika ya ku proove, Lakini muhimu kuzidi vyote hao engineers wana impact ipi ? Ukienda Israel Engineers wameweza kutengeneza kampuni kubwa ya kilimo dunia nzima, Kwenye cyber security wanakimbiza, Makampuni ya nchi kibao yanawekeza Israel kubuniwa bidhaa na engineers.
 
Iran wamefunga internet kwa muda mrefu sana ni ngumu kuona videos zao isipokuwa za maafisa wa serikali

Iran ilirusha makombora 110 kuelekea makazi ya watu, Guess what ? Ni mtu mmoja tu alifariki tena ni upande wa Palestina.

Israel haikurusha makombora, waliwafuata huko kwao na ndege tena kwa kuwatumia marubani wa kike, unajua kilichotokea ??

Mawaziri kupitia chombo cha Al Jazeera walikiri (siongei maneno matupu chanzo hiki hapa )

  1. Idadi ya askari wake waliouawa imeongezeka 2 hadi 4
  2. Radar zimeteketezwa
  3. Viwanda vya makombora vimelipuliwa
  4. Viwanda vya drones vimelipuliwa
Baada ya muda ikagundulika vinu vya kutengeneza umeme navyo vilipigwa, hadi sasa kuna tatizo sugu la umeme Iran

Kwa haya uliyo yaandika hapa ina onesha kiwango cha upumbavu kilichoko kwenye kichwa chako,Iran irushe makombora kwenye makazi ya watu ili ipate faida gani?
Kwahiyo hizo video zilizo jaa mitandaoni zinazo onesha makombora yakipiga talikuwa yana piga kwenye makazi ya raia?

Eti Iran hakuna intanet hivi ww jamaa una akili kweli?
 
chanzo ulichoweka website hakina uzito wowote, Mwenye website hana hata pesa ya kuiendesha imefungiwa

www.payvand.com

Hata mimi naweza kuweka video kwamba Wanigeria ndio watu waliolemika zaidi duniani

View attachment 3183675

Kuhusu ubora wa vyuo kwa picha uliyoweka ni kwamba Israel wana vyuo bora vingi kwenye nafasi ya juu kuzidi Iran, Halafu uwe unajiongeza mkuu, Iran ina ukubwa zaidi ya mara 100 ya Israel, Israel ipp limited kujenga vyuo

Hii ni Havard university inaonyesha graduates kulingana na mataifa, Kila mwaka idadi ya wayahudi walioelimika inaongezeka hawa ni kutoka Israel waweke kando wa Marekani, Hakuna hata nchi moja ya kiarabu iliyoweza kupenya hii list.

View attachment 3183676

Mimi nakuwekea source za uhakika sio za kubangaiza Worldwide Data | Harvard Worldwide

Unaweza kuwa na utitiri wa scientific publications lakini ukazidiwa mbali mifano ni nchi kama Indonesia, Brazil, n.k. Israel ipo kivitendo zaidi ndio maana makampuni mengi yamejazana huko kutafitiwa na kuendelezewa bidhaa / huduma.

Hao engineers ungejiongeza kidogo kutathmini population kwa kila nchi, Pia source uliyoweka haijaweka reference ya uhakika ya ku proove, Lakini muhimu kuzidi vyote hao engineers wana impact ipi ? Ukienda Israel Engineers wameweza kutengeneza kampuni kubwa ya kilimo dunia nzima, Kwenye cyber security wanakimbiza, Makampuni ya nchi kibao yanawekeza Israel kubuniwa bidhaa na engineers.
Source sio Payvands hao ndio walio report source Ni MIT university. Unaweza tafuta site yoyote ilioreport kama unataka ku question data Question hio university na sio website ilio report.

Halafu twende taratibu usichanganye mambo kama tunaongea Iranian-Usa uwe specific na kama tunaongelea Iran pia uwe specific.

Scientific papers ndio zinarun Dunia kila kitu unachokiona cha kisayansi kinatoka huko, na Ili uelewe kama hao jamaa wapo vizuri angalia Data za Stanford University walivyo rank juu scientist wao. Stanford wana list ya ya top 2% researcher, ambao ni researchers wanaokuwa cited kushinda wote Duniani.
Hii list ya researcher wakubwa Israel

Hii list ya researcher wakubwa Iran

By far Muiran kamu outclass Israel, Top researcher wa Israel ana rank 2500 Duniani na angekua Iran hata top 5 asingekuwepo

So mnavyokuja kutupiga kamba humu muwe hata mnasoma Soma, haki ka nchi kenu hata Top 20 ya nchi zinazorun Dunia kisayansi hawamo,

Halafu hio list ya Havard sijajua hata unataka ku maanisha nini, angalau hata ungetoa contribution, kuonesha tu idadi ya wanafunzi means nothing kwenye tunachozungumzia hapa.
 
Kwa nini waisrael a.k.a wayahudi wa sasa wawe wazungu huku ndugu zao na jirani yao ni waarabu???
 
Iran ameshampita Mturuki na Muisrael kwenye Scientific Output, So far Middle East ndio Taifa lenye Gunduzi nyingi kushinda wote.

Na sio Kwao Tu Iran bali dunia nzima, mfano Usa si waisrael , si wahindi si taifa lolote bali ni Iranian-Americans ndio most

Mfano Hapo Nasa hadi Project ya Mars alikua ana lead Muiran.
Hebu tutajie huyo Muiran anayeongoza Project za Nasa kama sio kutulisha matango pori ya Ukobazini..
 
Tatizo lenu ni story za vijiwe vya gahawa na kalimati zisizo na facts

Drop the facts sio bla bla za vijiweni
0
Tuanzie hapa
1.Ukitaja nchi 10 duniani zenye uchumi mkubwa israel haipo.

2.Ukitaja nchi 10 zenye viwanda vingi duniani israel haipo.

3.Ukitaja nchi 10 zenye teknolojia ya hali ya juu israel haipo.
×Simu zote zinazotumika duniani zinatoka marekani(iphone),korea kusini(samsung),china(xiaomi,huawei,oppo,vivo,oneplus,nothing phone,tecno,infinix,itel).
×Magari yote yanayotumika duniani yanatoka marekani(usa),ulaya na china.
×Vifaa vingi vya elektroniksi vinatoka china.
×Nguo nyingi zinatoka china.

4.Ukitaja nchi 10 zenye nguvu kubwa ya kijeshi israel haipo.

5.israel hawatengenezi simu,friji,kompyuta,saa,majiko ya umeme na gas etc,magari,ndege,meli,n.k

Akili zao wanazitumia wapi sasa?
 
Ni
Iran ameshampita Mturuki na Muisrael kwenye Scientific Output, So far Middle East ndio Taifa lenye Gunduzi nyingi kushinda wote.

Na sio Kwao Tu Iran bali dunia nzima, mfano Usa si waisrael , si wahindi si taifa lolote bali ni Iranian-Americans ndio most successfull immigrants, jamaa wameshika post za Scientist kote Usa kuanzia Google, IBM, Nasa etc position za juu za Scientist ni wao.

Mfano Hapo Nasa hadi Project ya Mars alikua ana lead Muiran.
Nilikuwa Nafanya litrature review ya topic flan nilipewa kwa hakiki Jamaa wanapepar nyingi sana kwenye eneo la vaccine pake yake sikuku hata na paper moja iliyotoka iseael taifa la mungu
 
Back
Top Bottom