Kudumisha mahusiano na mwanamke asie na hela ni gharama zaidi ya kununua

Inafikirisha! Navyofahamu wanawake wamejiweka katika nafasi ya kuhudumiwa kikawaida. Itatofautiana gharama tu.

Apart from wanyang'anyi na chuna buzi wapo wanawake wema tu ni vile wanaume tukimpata tunamchukulia poa na mara nyingi hatudumu nae.
Ahudumiwe kwani ni mlemavu au mtoto yatima.! Yeye ana-compensate hizo gharama na nini?
 
It will cost you more to be in relationship with a broke woman than to pay for sex.

Wadogo zangu na vijana wenzangu leo sina mengi ya kuandika.
Mwanamke mwenye hela ni expensive zaidi kuishi naye kuliko maskini.

Utaweza kusurvive vizinga vingapi vya kodi ya mzigo uliokwamba bandarini ?
Utatoboa marejesho mangapi ya kikoba cha rejesho la milioni kumi per week ?
Mfuko wako utaweza kusurvive DORIME za kujaza Fridge ?
 
Huu ni wajibu wa wazazi wake
 
Mpaka pale gap kati ya wanaume na wanawake katika education and employment opportunities litakapofungwa ndio mtaanza kuona wanawake wasio tegemezi( slowly tunaelekea huko). By the way hili la mwanaume ku provide limekuwa kama trait. Zamani males walikuwa aggressive kuonyesha dominance ili kuwavuta wanawake sababu dominance ilikuwa associated na resources control/security ila men in modern era wanaonyesha dominance kwa ku spend cash...vitu km hivi ndio vina create dhana mwanamke ni wa kupokea.....

Vitu vingine visikuumize kichwa, viko wired deeply in the society, leo ukipeleka mwanaume home kitu kinachoangaliwa kwanza ni uchumi wake, kama anaweza ku provide kwa mtoto wao..kutokua vizuri kiuchumi ni sign ya weakness....hata kama mwanamke ana kipato kukubwa bado inakua expected mwanaume kuwa na kipato zaidi..jiulize why????

Ndio maana nakubaliana na @siner saved by christ, kama una struggle financially muwezeshe mwenzio..rather than complaining....modern economies zina demand wote tuwe provider ila kama mkeo unfortunately hakupata hio nafasi muwezeshe kwanza.....ila mjue hizo mindset zetu za kugaiwa tu kubadilisha won't be overnight...lol
 
hakuna anayekulazmishia tu nafanyaga kwa upendo wetu wenyewe
 
Bora awe broke lakini sio mtupu kichwani

Akiwa broke na mtupu kichwani hapo ndo changamoto kubwa, maana hawezi hata kukupa ushauri wa kinamna yoyote zaidi ya kukuomba hela. All she can provide ni punani tu.
Sasa mkuu, kujua sio mtupu kichwani si ndo umkute angalao kuna kitu ameshaanza kukifanya. Umkute angalao mahitaji yake ya muhimu anajimudu

Mwanaume umepambana umeweka maisha yako kwenye mstari je unahitaji ushauri, muongozo au sala za mwanamke ambaye yeye mwenyewe maisha yake yanamshinda?
 
Bora awe broke lakini sio mtupu kichwani

Akiwa broke na mtupu kichwani hapo ndo changamoto kubwa, maana hawezi hata kukupa ushauri wa kinamna yoyote zaidi ya kukuomba hela. All she can provide ni punani tu.
Sasa mkuu, kujua sio mtupu kichwani si ndo umkute angalao kuna kitu ameshaanza kukifanya. Umkute angalao mahitaji yake ya muhimu anajimudu

Mwanaume umepambana umeweka maisha yako kwenye mstari je unahitaji ushauri, muongozo au sala za mwanamke ambaye yeye mwenyewe maisha yake yanamshinda?
 
Reactions: Nus
Mkuuu tafadhali fafanuaa
Gharama za ku-maintain mahusiano na mwanamke asiye kuwa na hela ni kubwa kwa sababu utabebeshwa matarajio ya kumuhudumiwa mahitaji yake na kuboresha maisha yake. In return ushirika wake yeye kwenye hayo mahusiano ni tendo la sex, ambalo ukienda kulipia kwa demu anaeuza unamaliza haja zako unamlipa hela yake asubuhi kila mtu anachukua njia yake. Kesho na kesho kutwa akitaka hela ya kusuka, gesi, keki ya birthday n.k hayo hayakuhusu kwa sababu siku mliyolala pamoja ulishamlipa hela mliyokubaliana mkamalizana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…