Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
-
- #81
Hakuna mwanaume mwenye wajibu wa kumuhudumia girlfriend, demu au mdangaji. Anaehudumiwa ni mkeWakati mke wake anamtegemea mpaka pedi!, usidanganywe na hizi fake ID watu hawaishi wanayo preach humu....
Kabisa kabisaHonestly kuwa na mtu ambaye hana hela kabisa ni mzigo
Unachosema ni sahihi kwa kiasi kikubwa ila pia kuna wanawake wengi sana hasa mabinti wa mjini ombaomba sio hata kwa mahitaji maalumu bali ni kwa ajili ya vitu visivyo vya lazima kama vile kununua mawigi, Rasta na expensive hairstyles, iPhones, mikoba ghali, kunywa bruto n.kMpaka pale gap kati ya wanaume na wanawake katika education and employment opportunities litakapofungwa ndio mtaanza kuona wanawake wasio tegemezi( slowly tunaelekea huko). By the way hili la mwanaume ku provide limekuwa kama trait. Zamani males walikuwa aggressive kuonyesha dominance ili kuwavuta wanawake sababu dominance ilikuwa associated na resources control/security ila men in modern era wanaonyesha dominance kwa ku spend cash...vitu km hivi ndio vina create dhana mwanamke ni wa kupokea.....
Vitu vingine visikuumize kichwa, viko wired deeply in the society, leo ukipeleka mwanaume home kitu kinachoangaliwa kwanza ni uchumi wake, kama anaweza ku provide kwa mtoto wao..kutokua vizuri kiuchumi ni sign ya weakness....hata kama mwanamke ana kipato kukubwa bado inakua expected mwanaume kuwa na kipato zaidi..jiulize why????
Ndio maana nakubaliana na @siner saved by christ, kama una struggle financially muwezeshe mwenzio..rather than complaining....modern economies zina demand wote tuwe provider ila kama mkeo unfortunately hakupata hio nafasi muwezeshe kwanza.....ila mjue hizo mindset zetu za kugaiwa tu kubadilisha won't be overnight...lol
Kinga zipo mkuuUtanunua maradhi.
Broo umeanza lini kuwa mpiga ramli?Mleta mada kakusonya kwa hasira.
Anapenda akileta mada kama hii basi comments ziwe za kushambulia wanawake.
God na akubless Broh...😄naendelea vyema bro la ma bro..!
nipo na enjoy weekend tulivu..!😂
Mwanamke anatakiwa kuwa na wanaume wawili. Waziri wa fedha na waziri wa mambo ya ndani. Kwahiyo tutagawana majukumu hapo😅😅😅😅😅
Unawaachia Sasa wanaoziweza hizi mambo.
Mwanamke kulelewa jamani.
Unaposema umnunue yeye bidhaa?Ahudumiwe kwani ni mlemavu au mtoto yatima.! Yeye ana-compensate hizo gharama na nini?
😂😂😂God na akubless Broh...😄
Enjoy your Weekend.
Sasa hela zake ni za nini?Mwanamke mwenye hela ni expensive zaidi kuishi naye kuliko maskini.
Utaweza kusurvive vizinga vingapi vya kodi ya mzigo uliokwamba bandarini ?
Utatoboa marejesho mangapi ya kikoba cha rejesho la milioni kumi per week ?
Mfuko wako utaweza kusurvive DORIME za kujaza Fridge ?
Basi tutanunua maana wa kuhudumiwa na wanaouza wanataka kile kile na wanatoa kile kileMpaka pale gap kati ya wanaume na wanawake katika education and employment opportunities litakapofungwa ndio mtaanza kuona wanawake wasio tegemezi( slowly tunaelekea huko). By the way hili la mwanaume ku provide limekuwa kama trait. Zamani males walikuwa aggressive kuonyesha dominance ili kuwavuta wanawake sababu dominance ilikuwa associated na resources control/security ila men in modern era wanaonyesha dominance kwa ku spend cash...vitu km hivi ndio vina create dhana mwanamke ni wa kupokea.....
Vitu vingine visikuumize kichwa, viko wired deeply in the society, leo ukipeleka mwanaume home kitu kinachoangaliwa kwanza ni uchumi wake, kama anaweza ku provide kwa mtoto wao..kutokua vizuri kiuchumi ni sign ya weakness....hata kama mwanamke ana kipato kukubwa bado inakua expected mwanaume kuwa na kipato zaidi..jiulize why????
Ndio maana nakubaliana na @siner saved by christ, kama una struggle financially muwezeshe mwenzio..rather than complaining....modern economies zina demand wote tuwe provider ila kama mkeo unfortunately hakupata hio nafasi muwezeshe kwanza.....ila mjue hizo mindset zetu za kugaiwa tu kubadilisha won't be overnight...lol
Muongelee mumeo. Mimi mke wangu nilimkuta akiwa bikiraMwanamke ni yule yule..alikua mdangaji, akawa demu sasa hivi ni mke!
Muongelee mumeo. Mimi mke wangu nilimkuta akiwa bikiraMwanamke ni yule yule..alikua mdangaji, akawa demu sasa hivi ni mke!
Nimeipenda honesty yakoHonestly kuwa na mtu ambaye hana hela kabisa ni mzigo
Muongelee mumeo. Mimi mke wangu nilimkuta akiwa bikiraMwanamke ni yule yule..alikua mdangaji, akawa demu sasa hivi ni mke!
Swali zuri sana. Kama kiwango cha wanawake tegemezi ni kikubwa zaidi hapa nchini, kwanini wasiwe wanaomba hela kwa baba na kaka zao?Halafu kwa nini mabinti wasiombe hizi pesa kwa baba na kaka zao badala yake wanaomba kwa boyfriends/ wapenzi??
Hiyo kutukana Mods utakuwa umeanza lini Broh? Najua huyo atakuwa siyo wewe🤣😂😂😂
ahsante bro, naomba nitoke huku nisije anza tukana Mods..!🙌🏾