Kufanya biashara na Watanzania mtandaoni ni taabu sana

Ukiona hivyo ujue kuna upigaji, kila mnunuzi anapewa bei yake kulingana na alivyokuja. Mteja mwingine anaanza kusifia bidhaa kwanza ilivyo nzuri kabla hajauliza bei. Unategemea atapewa bei sawa na wengine?
 
Ukiona hivyo ujue kuna upigaji, kila mnunuzi anapewa bei yake kulingana na alivyokuja. Mteja mwingine anaanza kusifia bidhaa kwanza ilivyo nzuri kabla hajauliza bei. Unategemea atapewa bei sawa na wengine?
Ndio chAnzo
 
Mbona hayo ni mambo ya kawaida....? Tena hilo la feedback kwa wateja wengine ni la muhimu sana
 
Qfl magodoro dodoma

Tx(cover ya kushona)
5/6/6=196,000
5/6/8=264,000
5/6/10=320,000
5/6/12=380,000

6/6/6=224,000
6/6/8=320,000
6/6/10=380,000
6/6/12=450,000

Call [emoji338] 0717811059
Tunapatikana ubungo kibo
 
Ni kweli watanzania wengi hawapo serious kwenye biashara,imagine mtu kama huyu hapo [emoji116][emoji116] anauza sim halafu anafunga comments,unategemea nin hio bei yenyewe aliyoandika hapo unaona kabisa huyu ni mpigaji,so wauzaji na wanunuzi wote ni wamoja tuu
 
Kweli kabisa kama ilo ni JIZI kabisa
 
Una elimu gani
 
Qfl magodoro dodoma

Tx(cover ya kushona)
5/6/6=196,000
5/6/8=264,000
5/6/10=320,000
5/6/12=380,000

6/6/6=224,000
6/6/8=320,000
6/6/10=380,000
6/6/12=450,000

Call [emoji338] 0717811059
Tunapatikana ubungo kibo
Picha ya magodoro, wengine hatuyajui.
 
Mmoja wa wateja wasumbufu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeshtuka ee, hawa watu vichwa panz sana , wasumbufu mno

Utatuma picha alafu atasema akiwa tayar atakutafuta, siku mbili tatu anajisahau kama alisha kutafuta anarudia tena ujinga ule ule
 
Uza kwanza ndio utajua , hawa wa kuuliza uliza maswal wanao nunua n chini ya 2% .. nawapotezeaga tu , usumbufu

Una msg 1000 za kujibu niache jibu wateja nihangaike na hizo kenge?
 
Yes nikweli aise wateja wengi awapo seriously kama FB Mungu wangu FB kuna ujinga mno unalipia tangazo lako alafu watu wanakuja kukuuliza maswali ulio yatolea majibu kwenye post
Wengi hua nawapuuzia

Na mara nyingi hao hua hawanunui atakusumbua tu
 
Uko sahihi mkuu.
Nimemsoma jamaa nikaishia kumuona kama yeye ndio tatizo kabisaaaaaaaaa
 
Wengi hua nawapuuzia

Na mara nyingi hao hua hawanunui atakusumbua tu
Kwa wafanya biashara serious kitendo cha ku get in touch tu na mteja kwetu ni opportunity.

Kwanza tunafurahia toka moyon kwamba unaongea na mteja.
Tunaamnin licha ya kuweka maelezo kwenye banner bado haitoshi kum convince so hivyo akipiga simu hata kama hakua na mpango wa kununua basi atajikuta analazimika kununua.

Katika kuzungumza nae una pata fursa ya kujua persperctive ya bajet yake na ku propose product iliyo katika bajet yake.

Pendeni kazi zenu vijana muache kulialia maisha magumu.

Yan mkisha jaza mipicha picha kwenye page zenu na watsap basi mnaona kama ndio mshamaliza kazi wasiponunua mnaanza kuona biashara ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…