Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Ezekieli 44:22-23Asilimia kubwa umeongozwa na Mungu kuandika hapa asilimia chache ni akili ya kawaida tu generally Mungu akubariki.
Hawa watu wanaosomba wanaume au wanawake wakichoka wakataka kuoa au kuolewa wasisumbuke kuvaa shera au mavazi rasmi maana yanaashiria bado bikra.Acheni unafiki wafahamishe wazazi na viongozi wa dini mahali iwe ndogo sana muoane yaishe.
Asante muleta mada
Hufundishiki sio?Imba zako mapambio achana na miili isiyokuhusu
Kuto kumsahau aliyemtoa bikra huo ni uongo, ukipiga NAO stori wengine walishasahau hata hiyo bikra ilitokaje. Sanasana wanasema humkumbuka sana mwanaume aliemdatisha hili kwao hata kama yuko kwenye ndoa anaweza akachitiMojawapo ya Dalili ya mwanaume aliye jishusha thamani yeye mwenyewe ni kuoa mwanamke aliyetumika yaani asiye bikira!
Yeye mwenyewe muolewaji anakuona wewe ni rofa tu na huna maajabu.
Kiasili mwanamke Hadi anaingia kaburini Huwa hawasahau wanaume Hawa duniani:-
1:-Baba yake mzazi
2:- Aliyemtoa Bikira
3:- Aliyemzalisha mtoto wa kwanza( mwanaume aliye mfanya aitwe mama)
Wengine woote mtakao fuata hapo hamna maajabu kwake Bali ni marofa TU kama malofa wengine
Automatically ndoa yako au mahusiano yako yatakuwa chini ya Ex wake siku zote za maisha yenu siku akiamua kurudisha majeshi yake wewe lofa huna chako!
Ndio maana tunasema siku zote usioe mke wa mtu jombaa.
hahahahahaha,lazima wasikupende ,kwa mada hizi ngumu kwaoMada mbaya hizi. Hizi ndio zinafanya nisipendwe na dada zangu. Wanasema Nina mitazamo ya kizee
Lakini mkuu Robert Heriel Mtibeli kwa huku kijijini watu wanaoa single mother wanaoa wasio na bikra,pia wanaishi vizuri na wanazaliana kama kawaida halafu hakuna kuibiana watoto.
Sijui nyie wa huko wa mjini
Aisee...
Kumbe huwa zinatokewa na nini?
Au wanajitoa wenyewe!.
Utafiti wako ulikupa jibu gani?!
Hili nalo ni neno aseeh
Wanaopaswa kusheherekea honyemoon na harusi zao ni wale wenye bikra ya kiume na kike
Huwezi kuniambia mwanamke kalala na watu zaidi ya 5 eti nae anaenda honeymoon
Zamani honeymon watu walikuwa wanategemea kuona shuka lina damu au that day ndio siku ya kwanza kwa mwanamke kuingililiwa… mtoto analia kitu haipiti…. That was honeymoon
Now days honeymoon watu wanaenda kukaliana ma dogy style na blow job za kufa mtu ni kuoneshana maufundi
Ukiona honeymoon unaenda kukaliwa dogy………🤣 wafwaa 🏃🏿
Kwangu ikishafika mitano basi tena, kazi hakuna😬Mikia mingi ni kuanzia mingapi mkuu
Unajuaje kiliolewa bikira?Vilivyoolewa vibirikira huwa tunavikamua sana huku mtaani! Kuna kamoja nilikakamua kakawa kanashangaa baada ya kukafikisha Mawenzi ni cha awali Kibo kilele cha Pili!
Kufuatilia kuhusu nini kupigiwa mzigo au kiaje sijaelewaHakuna kuiabiana watoto?
Siku zote utaishi vizuri kama huna maarifa mengi na umeamua kufumba macho yako yasione.
Hata kwenye siasa usipoifuatilia huwezi kuwa na stress, huzuni na utaishi kwa amani. Sio kwa sababu kuna amani bali ni kwa sababu umeamua kutofuatilia.
Mods unagnisheni nyuzi zote za bikra sehemu moja..!!
Halafu unaanza kumpost post eti my the only one
Ni kweli wanawqke hubadilika ila akishameza meza mikia wewe oa then lea familia