Kufanya ngono na mtu au wakati usio sahihi kumeharibu maisha ya watu wengi hasa vijana. Tumia njia hii kujinasua

Dada wa kazi shepu ipo kidogo?
Hadi nimepigilia misumari mawazo yangu, nilikuwa zaidi ya sahihi🤣🤣

Hili naongea serious, mdada anayenisaidia malezi ya madogo siwezi kumgusa katu. Yule ni sehemu ya familia yangu, ingekuwa hivyo mbona zamani sanaaa...
 
Shimo si shimo tu wazeee au beki 3 linapindia upande😎😎😎😎
 
Ngono ni haramu na laana kwa wasio wana ndoa
 
After i cum i come to my sense. Lil wayne aliwahi tamka hii sentensi.
 
KWENYE CHAMA CHETU HUWEZI KUWA MWANACHAMA HAI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…