Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
Dada wa kazi shepu ipo kidogo?
Hadi nimepigilia misumari mawazo yangu, nilikuwa zaidi ya sahihi🤣🤣
Hili naongea serious, mdada anayenisaidia malezi ya madogo siwezi kumgusa katu. Yule ni sehemu ya familia yangu, ingekuwa hivyo mbona zamani sanaaa...